Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu wapige mahesabu kodi ngapi itachangia taifa pindi wabunge wote watakapolipa kodihuyu mtu kwanini wasiwaze kukatwa kodi wao na maposho yao.
Taja mfano wa hzo nchi na rasilimali walizonazo kulinganisha na sisi kidogo inaweza kuniingia akiliniNaunga mkono na miguu, kichwa na mdomo, pua hoja hii, naungana na Mh. Zungu, nchi zote zimewekeza kupata kodi kupitia data, calls, sms, kutuma na kupokea fedha mtandao, hapa kwetu serikali haipati kodi yoyote kupitia data.. Data kodi yake serikali ingepata kubwa sana
Mwl. Nyerere alishasema kwamba serikali corrupt huwa haikusanyi kodi bali huwa inakombilia kutoza ushuru na vikodi uchwara watu wa kipato Cha chini. Hzi ni dalili za hii serikali ya Samia kuelekea kwenye grand corruption scandles.Viongozi wasiokuwa na huruma hawatufai.
Hivi hii jamaa si ndo ilipendekeza tozo na leo imebadilishwa?Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi ya data.
ITV
Huyu atastaafu kwa maumivuNaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi ya data.
ITV
Hawa watu hawafai kuwepo madarakani hata kwa sekunde moja, Watanzania wapole sana. Na huyu ndiye huwa mwanzilishi wa wazo kisha linatekelezwaNaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi ya data.
ITV
Maana ya serikali corrupt ni serikali kuwekwa mfukoni na matajiri wachache..Mwl. Nyerere alishasema kwamba serikali corrupt huwa haikusanyi kodi bali huwa inakombilia kutoza ushuru na vikodi uchwara watu wa kipato Cha chini. Hzi ni dalili za hii serikali ya Samia kuelekea kwenye grand corruption scandles.