Bungoma court sentences Tanzanian men to 42 years in jail

Bungoma court sentences Tanzanian men to 42 years in jail

Na nyie mna export majambazi Tunayapiga Risasi na kuyaua huku
unajivunia kuua?...pumbavu alshabaab wewe...muwajie omba omba wenu humu wanatusumbua😀😀😀kila kukicha wamejaa na vikomb vyao jijini...wamtoroka utajiri wa tanzania😀😀😀😀
 
unajivunia kuua?...pumbavu alshabaab wewe...muwajie omba omba wenu humu wanatusumbua😀😀😀kila kukicha wamejaa na vikomb vyao jijini...wamtoroka utajiri wa tanzania😀😀😀😀
Alafu ndugu sijui mnaishije mijambazi kibao ya kenya inakuja kuiba Tanzania
Police ya Tanzania wanaitwanga.Yanaanzisha ligi halafu yanashindwa kuimaliza. Hao ombaomba siyo watanzania wafukuzeni kama tunavyowafukuzaga illegal immigrants from kenya
 
Shauri yako na omba omba wenu. Fact ni kuwa it's an epidemic all over Kenya na ni aibu sana mnavyokohoa hapa kwa utangamano wa jamii zenu huko Tz kuwa na mambo haya. Kwetu sisi ni ajabu kwa sababu hatupendi uzembe
Vipi kuhusu majambazi wenu waliojazana kwenye jela za Tanzania, vipi kuhusu raia wa Tanzania waliopoteza maisha kwa kuuliwa na makundi ya majambazi na magaidi toka Kenya?.
 
Hope there is no framing to facilitate other issues behind the door.

I just wish to know how Nairobi deals with irresponsible parents.




Hapo ndipo Nairobi ? Mi nikajua Kasulu aisee maana jiji limejengekaa !!

Ama kweli tusipomsifu Mungu kwa kuimba Mawe yatapiga kelele na kumsifu Mungu.
Yaani mbwa anabeba majukumu ya Mzazi !! Mungu atulehemu.
 
Hawa ndugu zenu muwasaidie kwa kuwaambia wachakarike, mambo ya ujamaa hayana nafasi tena kwenye karne hii, kila mtu apambane na hali yake, aje awe hata fundi wa viatu, mbeba mabox na mengineyo, lakini kuchomwa na jua akiomba omba mnatia aibu, Waganda na majirani wengine wote hawafanyi huu upuzi.


Nyimbo zimewaisha mnaanza kusingizia hawa ni watanzania. Tunatowa vitambulisho vipya, asiyekuwa na kitambulisho cha Tanzania huyo sio Mtanzania, kama ana amini yeye ni mtazania aje athibitishe uraia wake tutamkaribisha. Zaidi ya hapo huyo ni wenu mshugulike naye.
 
Two Tanzanian men were, on Wednesday, January 31, sentenced to 42 years in jail by a Bungoma court for using children living with disabilities to beg for money, which they (Tanzanian men) end up pocketing.
While giving her verdict, Webuye Resident Magistrate Nancy Barasa said the two, Madukhu Mbashani, 26, and Manywele Kwela, 23, were also found guilty of being in the country illegally.
The two were sentenced to 40 years in jail for illegal trafficking and parading of children living with disabilities. They were sentenced to another two years in prison for being in Kenya without legal documentation.
The court heard that Mbashani and Kwela were, until their recent arrest, parading two children in the streets of Bungoma to beg for money from passersby.
Police said they arrested the two after receiving a tip-off from Webuye town residents.
Confirming the incident, Bungoma East DCIO Paul Mumo urged unscrupulous ‘businessmen’ to refrain from using children living with disabilities to make money.

what does the penal code say about suchlike an offence??
 
Unajua hii ni kesi ya ombaomba wa barabarani waliokua wanazunguka na ho watoto wawili kuomba..!?

Sasa hukumu hiyo ni ya ajabu kabisa...Miaka 42 kwa kesi ya ombaomba?Aisee,huyo Nancy Barasa ana matatizo kabisa ya akili!

Miaka 42????

Jesus!

hata Mimi ningeshangaa. how 42 yrs??
what does the penal code SAY?
 
Back
Top Bottom