Bunju Complex ni mali ya Mo, si mali ya Simba SC

Ponjoro Mo katumwa pesa yule

Wacha awapigee mambumbumbu
 
Hivyo munambembeleza ili hata akitaka kufanya amuzi lisilo ageuke nyuma na kukumbuka.

Mmeona mbali Mtani. [emoji28][emoji28]
Mnafungia vibwebwe kukosoa hatua za maendeleo ya wenzenu.
Badala mchukue hatua kwenda kusafisha kule mlikopewa na Mh. Makonda, mmekalia kuanzisha majungu.
Kweli hasidi hana sababu.

Wahamasisheni wananchi wachangie muanze kujenga na ninyi. [emoji196] [emoji196] [emoji196]
 
Chura wenzio ndio watakusapoti sababu wivu wa kike tu ndio unawasumbua
 
Hivi Yule mwenyekiti wa Yanga alisema Yanga kuna wapumbavu wengi eeh?
 
Mmiliki wa Simba
Ni wanachama wa Simba na ndio wenye hisa nyingi.

Na ukijue waswahili wakiamua walete kelele hisa zake mo ataziona chungu na kuzikimbia.

Boss hii ni Africa
Kibaya ni kwamba wanaoumia ni Yanga.
Mi mshabiki wa Simba Furaha ni kuona timu inafanya vizuri haijalishi nani anaimiliki Simba.
Wale Chelsea wanafurahia matokeo ya timu yao hawaangalii nani anamiliki timu, nenda pale man city hivyo vivyo.
 
Kwani shida ikowapi mbona unateseka sana, hata MO akiimiliki simba % sisi tunataka ushindi
 
Wanasubiri kulipiwa nauli ya pantoni ...
 
Kwani unateseka Mkuu?
 
Mmiliki wa Simba
Ni wanachama wa Simba na ndio wenye hisa nyingi.

Na ukijue waswahili wakiamua walete kelele hisa zake mo ataziona chungu na kuzikimbia.

Boss hii ni Africa
Embu tupe thamani za hizo so called Hisa zenu nyingi Wanachama Mambumbumbu.
 
Kipi kinachonyonya simba?
simba Ina hela kiasi gani?
Kwani pesa nani katoa mzee, mashabiki huwa mnafurahisha sana. BTW hivi vilabu ni jamvi la wajanja, unaingia unatega mrija wako unanyonya ukishiba unatupa kule anakuja mwingine.
 
Young Akilimali Stadium kumalizika mapema mwezi wa 5 mwaka 2020
 

Sawa shida yetu sisi ni ushindi tu hata akichukua kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…