BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Wasauzi Watakuja tena, alafu tuone Simba mtafanya nini tena. Haji kuwa msemaji wa familia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnafungia vibwebwe kukosoa hatua za maendeleo ya wenzenu.Hivyo munambembeleza ili hata akitaka kufanya amuzi lisilo ageuke nyuma na kukumbuka.
Mmeona mbali Mtani. [emoji28][emoji28]
Nakwambia!! Yaani majumbani hamkaliki sasa, mimacho [emoji102] kodooo kwa vya majirani kuutafuta umbea.Haya sasa kigodoro icho toka jangwani kimekurupuka hakijavaa hata chupi kimeanza umbea.
Hivi Yule mwenyekiti wa Yanga alisema Yanga kuna wapumbavu wengi eeh?Uwanja huu unaosemekana ni mali ya Simba ila ukweli sio mali ya simba bali ni mali binafsi ya mfanyabiashara mwenye share kubwa ndani ya club ya Simba Mohamed Dewj "Mo".
Jina la uwanja huo ni Bunju Complex na hautakaa upewe jina linalishabihiana na Club ya Simba.
Pia doccument za umiliki wa eneo pamoja na viwanja vyote cha mchezo na cha mazoezi hazijasajiliwa na kwa jina la Club ya Simba.
Kibaya ni kwamba wanaoumia ni Yanga.Mmiliki wa Simba
Ni wanachama wa Simba na ndio wenye hisa nyingi.
Na ukijue waswahili wakiamua walete kelele hisa zake mo ataziona chungu na kuzikimbia.
Boss hii ni Africa
Kwani shida ikowapi mbona unateseka sana, hata MO akiimiliki simba % sisi tunataka ushindiHakuna chochote wanachama wa simba wamewekeza kwenye simba , ulishawah kuona press release ya simba iliyotoka kwa hao wanachama? Au hata press release yeyote yenye maamuzi yeyote ikiwataja kama sehemu ya walio fanya maamuzi?
Press hua inatoka kwa body ya wakurugenzi inayoongozwa na Mo alafu pia kuna voting right/power.
Lakn pia, hisi ziliso salia zinauzwa kwa watu/mtu..kwa taarifa zilizopo.. Mo 49%, kuna mdau ana 10%, So 49+10=59, hisa ambazo bado ni hizo.
Na mchakato utakapo kamilika mwakan, watu wachache wanaweza nunua zilizo baki, wanachama wao watapewa 10%.
Huwez uka stake 0 alafu ukamfanyia maamuz aliweka bil 20, hakuna kitu kama hicho.
Wanasubiri kulipiwa nauli ya pantoni ...Mnafungia vibwebwe kukosoa hatua za maendeleo ya wenzenu.
Badala mchukue hatua kwenda kusafisha kule mlikopewa na Mh. Makonda, mmekalia kuanzisha majungu.
Kweli hasidi hana sababu.
Wahamasisheni wananchi wachangie muanze kujenga na ninyi. [emoji196] [emoji196] [emoji196]
Hata ikiwa madimbwini complex hakuna shidahati ya viwanja iko Bombay India
Kwani unateseka Mkuu?Mnafungia vibwebwe kukosoa hatua za maendeleo ya wenzenu.
Badala mchukue hatua kwenda kusafisha kule mlikopewa na Mh. Makonda, mmekalia kuanzisha majungu.
Kweli hasidi hana sababu.
Wahamasisheni wananchi wachangie muanze kujenga na ninyi. [emoji196] [emoji196] [emoji196]
Embu tupe thamani za hizo so called Hisa zenu nyingi Wanachama Mambumbumbu.Mmiliki wa Simba
Ni wanachama wa Simba na ndio wenye hisa nyingi.
Na ukijue waswahili wakiamua walete kelele hisa zake mo ataziona chungu na kuzikimbia.
Boss hii ni Africa
Kwani pesa nani katoa mzee, mashabiki huwa mnafurahisha sana. BTW hivi vilabu ni jamvi la wajanja, unaingia unatega mrija wako unanyonya ukishiba unatupa kule anakuja mwingine.
Njaa mbaya sana kwanini isiwe SIMBA MANARA ARENASimba Mo Arena.
Hahaha ni heshima tu mtani tunampa
Kama ambavyo taifa kule tumempa Mzee Mkapa.
Kumbuka baada ya uwekezaji wake ndo haya yote yanafanyika.
Uwanja huu unaosemekana ni mali ya Simba ila ukweli sio mali ya simba bali ni mali binafsi ya mfanyabiashara mwenye share kubwa ndani ya club ya Simba Mohamed Dewj "Mo".
Jina la uwanja huo ni Bunju Complex na hautakaa upewe jina linalishabihiana na Club ya Simba.
Pia doccument za umiliki wa eneo pamoja na viwanja vyote cha mchezo na cha mazoezi hazijasajiliwa na kwa jina la Club ya Simba.