Burger mitaa ya Posta

Waswahili wakila burgers wanafikiri ndio maendeleo hawajui hizo ni junk foods!! Kuleni viazi vya kuchemsha na mboga za majani mtakuwa na afya; hayo maburger yanaleta maradhi!!
Waswahili mkitoa mrejesho hasi mnajiona mnaa akili. Maisha mafupi wacha watu waenjoy radha za vyakula.
Kuna Burger pia ziko healthy na zenye afya. Burger ni mkate na nyama tu, wenye mbwembwe.
 
Hahaha umekosea, Kearsley Tours haipo opposite na ptrol station, kwa siku hizo za 80, labda iwe imehamia sasa.

Kama unamjua marehemu Mzee Ally Sykes lazima unamjua mwanae Abraham! Unajua Travel Agency yao hivi leo iko wapi? Hapo mbele ya hiyo Ofisi hakuna petrol station?
Ukiulizwa ni maradhi gani sidhan kama unaweza kuyataja!
Kwanini nisiweze na mimi nimewaona watu walioathirika kwa kula hayo maburger; wanakuwa na uzito unaosababisha wapate KISUKATI na High blood pressure!! Wanaota vitambi [ obese].
 
KUna mtu alisha wahi muona huyu Faiza in person? kwa jinsi anavyo cht siamini kama ni mwanamke nahisi huyu ni dume kajificha kujifanya mwanamke .
Halikadhalika kwako, unaweza kuwa ni mwanamke uliyejificha kwenye kivuli cha mwanamme.
 
Hata sisi ilikuwa hivyo hivyo , tulipo kuwa tuna wasiki story bibi zetu wakipiga , tuna shangaa miaka yao wskiwa vijana na wewe Muombe Mungu akupe umri mrefu uje pig story kama hizi wajukuu wawe wana kushangaa..
Wewe 80 hujazaliwa bado, maandiko yako yanajionesha, usijipe ukubwa usionao.
 
Mi ndo nlikua natengeneza hiyo mambo na ndo nilikua mtaalam wa kuchoma pizza enzi hizo E.A chef niko peke yangu nimesomea Auguste Escoffier school of culinary Texas USA
What is not happening now?
 
Umenikumbusha miaka ya 2000 Steers walivyokuwa wamoto mitaa hyo, hapo kulikuwa na imalaseko super market, kitega uchumi jengo lililokuwa linatamba na ndio clouds walipokuwa. Bila kusahau mitaa ya ohio street kwenye huduma pendwa
 
Nafikiri hamburger na beefburger ni vitu viwili tofauti. Moja katkat Ina ham nyengine Ina beef (I stand to be corrected)
Hapana zote ni hamberger , burger ni kifupisho tuu na hamberger ina weza kuwa na chochote , inaweza ikawa na Chicken, Turkey ,beef na hata verggie ,ham kwa haraka haraka jina la Hamberger limekuja toka na jina la mji wa Hamberg in Germany, lakini inadaiwa ni originally from Russia ambapo Russian soldgers wali kuwa wana stop hapo kwenye port city of Hamberg ndio wakaja na hiyo naina ya kusaga nyama ,kwa maana nyigine Hamberger ni a Sandwich.
 
Umenikumbusha miaka ya 2000 Steers walivyokuwa wamoto mitaa hyo, hapo kulikuwa na imalaseko super market, kitega uchumi jengo lililokuwa linatamba na ndio clouds walipokuwa. Bila kusahau mitaa ya ohio street kwenye huduma pendwa
Nilikuwa siijui Steers nikaja ikuta Nairobi , sikupenda chakula chao , sababu nilikua napenda zaidi KFC na KFC nilipenda ya UK zaidi , hivyo nikawa sina jinsi zaidi ya kula Steers ,nilipo fika US nikakuta kuna tofauti kubwa sana kati ya KFC America na KFC nyingine duniani, sikupenda kabisa KFC America na nilikula mara moja tuu na siku rudi tena hapo ndio nika fell in love with Burger King nikawa addicted nao .
 
Ukiulizwa ni maradhi gani sidhan kama unaweza kuyataja!
Ni kweli fast food sio salama , kwanza mafuta yanayo pikiwa na cheap kwa ajili ya ku save pesa kwa mass production, hivyo ni yana cause Inflamation mwilini , pili hizo nyama hazitoki kwa grass fed annimals ( hii haiepukiki ukiwa Ulaya) hivyo si salama, ila Kibaya zaidi ni zile buns ni carbs halaf mara zote unachanganya na soda or Milkshake, hapo ni a lot of sugar una tumia hivyo kuja kupatwa na obesity ni rahisi sana
 
... absolutely! Na ndio maana kuna Baby Boomers, Gen. X, Gen Y, Gen. Z, and latest Gen. Alpha. Each of those generations wanaona na kutafsiri vitu kwa mtazamo tofauti kabisa. Inategemea uko kundi gani. Kuna kundi hapo usipolipa wali maharage huo ugomvi hauwezi kuisha wakati kundi lingine chakula hicho hicho lazima wakamwone daktari.
 
In summary; age has a significant impact on how human beings perceive things. Simple!
You have summed it up amazingly...........

Ilikuwa hakuna kitu nakitarajia kwa bashasha kama wali na maharage nilipokuwa mtoto. Leo hii hata kwa fimbo hunilishi maharage.

To put it better, age has a way of heightening excitement in the simplest of things.

Imagine ilkuwaje mbinde kulala mchana ulipokuwa mtoto, leo hii katika utu uzima you'd kill for a 20min afternoon nap.
 
Rekebisha hapo ni hamburger or simply burger. Sio hamberger
Watanzania utawaweza, mtu hajuwi anacho kiandika lakini atalazimisha kuandika tu na kuboronga hata watangazaji redioni (hizi redio za kuokota) wako hivyo hivyo, yaani wako very pathetic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…