Waswahili mkitoa mrejesho hasi mnajiona mnaa akili. Maisha mafupi wacha watu waenjoy radha za vyakula.Waswahili wakila burgers wanafikiri ndio maendeleo hawajui hizo ni junk foods!! Kuleni viazi vya kuchemsha na mboga za majani mtakuwa na afya; hayo maburger yanaleta maradhi!!
Kuna Burger pia ziko healthy na zenye afya. Burger ni mkate na nyama tu, wenye mbwembwe.