FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Banda lipi la kuuza kitimoto Oysterbay ya mwaka wa 80 unaijuwa lakini au unaisikia tu? Hebubtueleze hichonkibanda cha kuuza nguruwe Oysterbay mwaka 80 kilikuwa wapi?Miaka ya 80s kitimoto imeuzwa sana , nyumba nyingi Oysterbay walikuwa na mifugo tena Nguruwe walikuwa hawakosekani mabandni, nimeona nguruwe kw ara y kwana sio Kijijini ni Oyesterbay .
Labda unambie Oysterbay Hotel kwa siku hizo. Coco beach yenyewe kulikuwa hakupo kama sasa, kulikuwa na vyoo tu vya kuogea maji ya chumvi watu wakitoka kuogelea, ukitoka hivyo vyoo kwa upande wa beach, hakuna jengo wala kibanda kingine mpaka police officers mess.
Wewe Oysterbay ya mwaka 80 huijuwi, labda ulikuwa unapitishwa njia kwenda Oysterbay kuogelea ndiyo kila unapopita unaona ni Oysterbay .
Kwanza post namba moja haikuongelea kabisa Oysterbay.