50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Huyu Mohamed Said anajua sana kusimulia mambo. Hongera zake kutujulisha yaliyopitaNami nahisi hivyo huyo Mohamed Said anajua vitu vingi sana na watu wengi sana hasa wale waliokula chumvi nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mohamed Said anajua sana kusimulia mambo. Hongera zake kutujulisha yaliyopitaNami nahisi hivyo huyo Mohamed Said anajua vitu vingi sana na watu wengi sana hasa wale waliokula chumvi nyingi.
Huyu Mohamed Said anajua sana kusimulia mambo. Hongera zake kutujulisha yaliyopita
Sijaona kosa lake.. Ndio aina ya uandishi wake.. Anakuchota, unajikuta unakubali stori unayopewa unapewa na mtu mwenye kujua mengi sio kubabia babia.Muhammed Said, this is not about you!
Nimewahi kukueleza si mara moja, umesoma-soma, ndio, lakini hukuelimika.
Tanzia ya mwenzio unaianza na story kuhusu WEWE ulivyokaa Dubai Carlton Hotel.
Aya ya pili interview yako WEWE na BBC
Aya ya tatu kitabu chako WEWE ulichokuwa unakinadi.
That's bad form, unbecoming a gentleman commentator, huo sio uandishi wa kiuungwana.
Umesoma literature?Muhammed Said, this is not about you!
Nimewahi kukueleza si mara moja, umesoma-soma, ndio, lakini hukuelimika.
Tanzia ya mwenzio unaianza na story kuhusu WEWE ulivyokaa Dubai Carlton Hotel.
Aya ya pili interview yako WEWE na BBC
Aya ya tatu kitabu chako WEWE ulichokuwa unakinadi.
That's bad form, unbecoming a gentleman commentator, huo sio uandishi wa kiuungwana.
Muhammed Said, this is not about you!
Nimewahi kukueleza si mara moja, umesoma-soma, ndio, lakini hukuelimika.
Tanzia ya mwenzio unaianza na story kuhusu WEWE ulivyokaa Dubai Carlton Hotel.
Aya ya pili interview yako WEWE na BBC
Aya ya tatu kitabu chako WEWE ulichokuwa unakinadi.
That's bad form, unbecoming a gentleman commentator, huo sio uandishi wa kiuungwana.
Unamvika sifa isiyo yake,Shekh Said ni mtu wa kujisifu na kuwasifu watu wa deen yake.
Akikusimulia kuhusu Mwl Nyerere robo tatu ya simulizi zitahusu Wazee wake wa Kariakoo.Robo nyingine zitahusu mihadhara yake yeye halafu page mbili za mwisho atamtia Mwl Nyerere kiduchu.
Hiyo ni style yake ya uandishi,ni nzuri sana anakuhamisha msomaji kifikra unajiona na wewe ulikuwa Dubai,ulikuwa kwenye ndege iliyobeba mwili wa mwalimu nk.Muhammed Said, this is not about you!
Nimewahi kukueleza si mara moja, umesoma-soma, ndio, lakini hukuelimika.
Tanzia ya mwenzio unaianza na story kuhusu WEWE ulivyokaa Dubai Carlton Hotel.
Aya ya pili interview yako WEWE na BBC
Aya ya tatu kitabu chako WEWE ulichokuwa unakinadi.
That's bad form, unbecoming a gentleman commentator, huo sio uandishi wa kiuungwana.
R.I.P Amb. Sykes.Hiyo ni style yake ya uandishi,ni nzuri sana anakuhamisha msomaji kifikra unajiona na wewe ulikuwa Dubai,ulikuwa kwenye ndege iliyobeba mwili wa mwalimu nk.
Unaweza kuona anajimwambafai lakini si kila mwandishi anaweza kuandika hivyo,hicho ni Kipaji Cha kipekee.
RIP Balozi Abbas Sykes,naona Sykes brothers washaisha.
Pole Dully Sykes na ndugu wengine.
Ndio uzuri wa Sheikh Mohamed Said. Kutujuza tusichojua. Nampongeza kwa vile hakuna mwandishi mwingine aliyejitoa kutujulisha marejeo ya kale tusiyoyafahamu.Unamvika sifa isiyo yake,Shekh Said ni mtu wa kujisifu na kuwasifu watu wa deen yake.
Akikusimulia kuhusu Mwl Nyerere robo tatu ya simulizi zitahusu Wazee wake wa Kariakoo.Robo nyingine zitahusu mihadhara yake yeye halafu page mbili za mwisho atamtia Mwl Nyerere kiduchu.
Generation ya Wapigania Uhuru ndio inazidi kupungua
Ama kwa hakika kila Nafsi itauonja umawti
Ndugu yangu Mohamed Said,umeweka simulizi nzuri lakini mara zote kama kawaida moyo wako haukubali kama Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa TANU, Tanganyika,Tanzania na CCM.Unaamini kuwa kuna watu wako walistahili,ulitamani leo Hamza (RIP) na Abdul (RIP) ndio wawe wenye kuelezea historia ya nchi hii,unaamini Julius hajui historia ya nchi hii.Ni dhahiri moyo wako unatoa machozi kwani historia haiko kama unavyotaka.Uongozi ni riziki itokayo kwa Mola!