TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

Hongera Mzee Mohamed Said kwa kutujuza historia ya nchi yetu. Kuna wakati nashangaa kwanini historia imepindishwa makusudi hivi na kumnyenyua mtu mmoja na kuwapotezea wahusika wakuu. Maana kila mtu anajua Nyerere alitoka mashambani huko akaja mjini akakutana na magwiji wakamshika mkono. Walimpa miongozo, fedha, chakula,malazi, connection nk bure. Lakin ghafla historia ya nchi hii imekuwa ni yeye tu! Yaleyale ya Magufuli kujifanya nchi nzima yeye ndo mzalendo peke yake.. mungu mtu, ndo hulka zile zile za Nyerere. Walichotofautiana ni kuwa Nyerere alikuwa smart. Lakin the same character. Huwezi andika historia ya nchi hii ukaacha kuwaweka mbele kina Sykes, Rupia, Kambona,Mwapachu nk.. lakin hawasemwi. Asante kwa kutupa ukweli. Ubarikiwe sana Mzee Mohamed [emoji120]
 
Ndugu yangu Mohamed Said,umeweka simulizi nzuri lakini mara zote kama kawaida moyo wako haukubali kama Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa TANU, Tanganyika,Tanzania na CCM.Unaamini kuwa kuna watu wako walistahili,ulitamani leo Hamza (RIP) na Abdul (RIP) ndio wawe wenye kuelezea historia ya nchi hii,unaamini Julius hajui historia ya nchi hii.Ni dhahiri moyo wako unatoa machozi kwani historia haiko kama unavyotaka.Uongozi ni riziki itokayo kwa Mola!
Wakudada...
Historia ya kweli ya TANU ilifutwa yote ikapachikwa historia nyingine.

Kilio changu kilikuwa hapo na sababu ni kuwa waliofutwa ni wazee wangu.

Leo sibubujikwi na machozi kwani nimeiandika upya historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Screenshot_20210516-111813_Chrome~2.jpg
 
Hongera Mzee Mohamed Said kwa kutujuza historia ya nchi yetu. Kuna wakati nashangaa kwanini historia imepindishwa makusudi hivi na kumnyenyua mtu mmoja na kuwapotezea wahusika wakuu. Maana kila mtu anajua Nyerere alitoka mashambani huko akaja mjini akakutana na magwiji wakamshika mkono. Walimpa miongozo, fedha, chakula,malazi, connection nk bure. Lakin ghafla historia ya nchi hii imekuwa ni yeye tu! Yaleyale ya Magufuli kujifanya nchi nzima yeye ndo mzalendo peke yake.. mungu mtu, ndo hulka zile zile za Nyerere. Walichotofautiana ni kuwa Nyerere alikuwa smart. Lakin the same character. Huwezi andika historia ya nchi hii ukaacha kuwaweka mbele kina Sykes, Rupia, Kambona,Mwapachu nk.. lakin hawasemwi. Asante kwa kutupa ukweli. Ubarikiwe sana Mzee Mohamed 🙏
LE,
Ahsante sana.
 
R.I.P Amb. Sykes.

Mimi naona tatizo tazia ya Sykes inapomuandika Nyerere kuliko Sykes.

Na hata Sykes anapoandikwa anaandikwa kama mtu ambaye hakuwa na maisha yake nje ya uhusiano wake na Nyerere.

Yani imekuwa kama Balozi Sykes hajafanya chochote kikubwa nje ya uhusiano wake na Nyerere, na hajafanya lolote tangu Nyerere afariki mpaka leo.
Kiranga,
Wazee wangu walifutwa kwenye historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Ninachokifanya ni kueleza historia ya TAA, TANU na vipi Nyerere aliweza kuingia ndani ya chama.
 
Unamvika sifa isiyo yake,Shekh Said ni mtu wa kujisifu na kuwasifu watu wa deen yake.

Akikusimulia kuhusu Mwl Nyerere robo tatu ya simulizi zitahusu Wazee wake wa Kariakoo.Robo nyingine zitahusu mihadhara yake yeye halafu page mbili za mwisho atamtia Mwl Nyerere kiduchu.
Hakuna ubaya wowote Mzee Mohamed kuelezea ukweli. Nyerere amekuja mjini, akaacha kazi ya ualimu. Watu Walikuwa wanamlisha,wanampa malazi zaidi ya miaka 8, mpaka nchi ilivyopata uhuru ndo akawa waziri mkuu angalau ndo akaanza kujimudu. Miaka yote toka ameacha ualimu umewahi jiuliza alikuwa anaishije yeye na watoto wake wakati hana ajira? Sasa hao watu waliokuwa wanamlisha mbona hamtaki michango yao ijulikane ? Au kwasababu ni waislamu? Au kuwa mwislamu ni dhambi? Tatizo nchi hii kanisa katoliki inataka iiendeshe kupitia mlango wa nyuma. Umewahi kujiuliza kwanini kila rais wa nchi hii mkristo lazima awe mkatoliki?
 
Historia ya Nyerere haijawahi kuwekwa wazi, bahati nzuri nimewahi kuwa karibu na watu wanaomfahamu Nyerere kwa karibu.
Wakati anasafirishwa kuja Dar es salaam kulikuwa na padri anahojiwa kutoka Marekani, yule padri alifanya jambo kubwa na zito kwa marehemu Nyerere ila sitalitaja kwa sababu litafukua makaburi.
 
Mwenyezi Mungu ndiye alimnyamyua Nyerere,baadaye Mwinyi kisha Mkapa akaja Kikwete,Magufuli na sasa Samia.Hii ni riziki toka kwa Mungu mtajisumbua kwa chuki na husda
Hongera Mzee Mohamed Said kwa kutujuza historia ya nchi yetu. Kuna wakati nashangaa kwanini historia imepindishwa makusudi hivi na kumnyenyua mtu mmoja na kuwapotezea wahusika wakuu. Maana kila mtu anajua Nyerere alitoka mashambani huko akaja mjini akakutana na magwiji wakamshika mkono. Walimpa miongozo, fedha, chakula,malazi, connection nk bure. Lakin ghafla historia ya nchi hii imekuwa ni yeye tu! Yaleyale ya Magufuli kujifanya nchi nzima yeye ndo mzalendo peke yake.. mungu mtu, ndo hulka zile zile za Nyerere. Walichotofautiana ni kuwa Nyerere alikuwa smart. Lakin the same character. Huwezi andika historia ya nchi hii ukaacha kuwaweka mbele kina Sykes, Rupia, Kambona,Mwapachu nk.. lakin hawasemwi. Asante kwa kutupa ukweli. Ubarikiwe sana Mzee Mohamed [emoji120]
 
Hiyo historia ni kwa mujibu wako,unataka tuamini kuwa bila watu fulani basi TANU isingekuwepo.Kuna matukio mengi na watu wengi toka kila pembe ya Tanganyika walitoa michango yao.Kuhusu Nyerere kuwa katika historia hayo ni mapenzi ya Mungu si binadamu.Kule Afrika Kusini kinara ni Mandela lakini kuna watu chungu mzima walikuwa nyuma yake.Kuna gharama na hatari ambazo Nyerere alipitia kwa kuwa kinara tofauti na wengine
Wakudada...
Historia ya kweli ya TANU ilifutwa yote ikapachikwa historia nyingine.

Kilio changu kilikuwa hapo na sababu ni kuwa waliofutwa ni wazee wangu.

Leo sibubujikwi na machozi kwani nimeiandika upya historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

View attachment 1786786
 
Mwenyezi Mungu ndiye alimnyamyua Nyerere,baadaye Mwinyi kisha Mkapa akaja Kikwete,Magufuli na sasa Samia.Hii ni riziki toka kwa Mungu mtajisumbua kwa chuki na husda
Wewe ni mtu mjinga, kwasababu hakuna mtu anaongelea kunyanyuliwa mtu hapa, wala hatukusema kina Sykes wawe marais. Tunaongelea kupotosha historia makusudi na kuomit watu muhimu na kuwakweza wachache. Ukiangalia watu wanaoandikwa sana kwenye historia ya Tanzania wote ni wakristo, kina Nyerere, Rupia, Kambona etc. Eti unajiita wakudadavua..unajua maana ya kudadavua wewe?
 
Muddy,
kama unafikiri ilikuwa rahisi kuwa kinara wazee wako wangekuwa vinara bila kuhitaji msaada wa watu wenye vipaji toka kwa Mola.
Kiranga,
Wazee wangu walifutwa kwenye historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Ninachokifanya ni kueleza historia ya TAA, TANU na vipi Nyerere aliweza kuingia ndani ya chama.
 
Matusi ni alama ya kishindwa hoja.
Wewe ni mtu mjinga, kwasababu hakuna mtu anaongelea kunyanyuliwa mtu hapa, wala hatukusema kina Sykes wawe marais. Tunaongelea kupotosha historia makusudi na kuomit watu muhimu na kuwakweza wachache. Ukiangalia watu wanaoandikwa sana kwenye historia ya Tanzania wote ni wakristo, kina Nyerere, Rupia, Kambona etc. Eti unajiita wakudadavua..unajua maana ya kudadavua wewe?
 
Sio kwamba hawana umuhimu,wanao tena mchango mkubwa tu.Nchi yoyote duniani ina kinara,Tanzania Nyerere,SA Mandela,USA Washington nk
Wewe ni mtu mjinga, kwasababu hakuna mtu anaongelea kunyanyuliwa mtu hapa, wala hatukusema kina Sykes wawe marais. Tunaongelea kupotosha historia makusudi na kuomit watu muhimu na kuwakweza wachache. Ukiangalia watu wanaoandikwa sana kwenye historia ya Tanzania wote ni wakristo, kina Nyerere, Rupia, Kambona etc. Eti unajiita wakudadavua..unajua maana ya kudadavua wewe?
 
Matusi ni alama ya kishindwa hoja.
Kwasababu unapindisha hoja makusudi.. kwasababu inaonekana kana kwamba unamtetea Nyerere kwa misingi ya udini. I bet wewe ni mkristo. Hata Mimi ni mkristo. Lakin hiyo siyo sababu kuwapinga wale wazee wa kariakoo waliompokea Nyerere na kumtunza miaka yote ameacha kazi ya ualimu na kumpa kila aina ya support wasahauliwe michango yao. Sio sawa. Imejengwa image kuwa Nyerere ndio alikuwa mwanzo na mwisho. Yan yaleyale ya Magufuli kujifanya ndo mzalendo pekee Tanzania. Wengine wote ni vibaraka wa mabeberu
 
Kijana hayo ya udini wewe ndio unayaleta.Nyerere ndiye Rais wa kwanza wa TANU,chama kilichojenga hoja kumwondoa mkoloni.Sikatai alisaidiwa na wengi pande zote za Tanganyika.Nyerere alikuwa mgeni Dar lazima apokelewe na wenyeji na ndio maana katika utawala wake akina Sykes,Rupia na wengine wengi walikuwa na vyeo mbalimbali.

Pia,watu kukukaribusha au kukupokea isiwe sasa ukawa mtumwa wao kwani Mzee Sykes naye pia alitokea Afrika Kusini alikuja akapokelewa na kupewa heshima.

Mwisho,hadi Nyerere kupewa urais wa TANU alikuwa na talanta hakufanya mapinduzi,aliacha kazi yenye ujira mkubwa kuingia kwenye siasa.Kuna gharama kubwa aliingia kuliko aliowaongoza.

Naona kwako wewe historia inaanzia TANU kwasababu Nyerere ndo alikuwa kiongozi wa kwanza, na sio TAA kwasababu huko alikuta imeisha anzishwa
 
Back
Top Bottom