TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

Ndugu zanguni hebu someni hii:
MENGI BWANA ABBAS ALINIELEZA NA MENGI BALOZI AMEINGIANAYO KABURINI HAKUNAMBIA

"Tuko kwenye khitma ya Abbas Sykes Msikiti wa Makuti, Kisiwandui Zanzibar niko bega kwa bega na Sheikh Ibrahim Moeva.

Sheikh Moeva na Abbas Sykes wote wametumikia Tanzania nchi za nje na wakifahamiana vyema.

Nimefahamiana na Sheikh Ibrahim Jeddah mwaka wa 1997 na aliyenijulisha kwake alikuwa Balozi Ramadhani Kitwana Dau siku hizo bado hajawa Balozi.

Basi Sheikh Ibrahim akanambia kuwa jamaa wangependa kusikia wasifu wa Balozi Sykes.

Nimeingiwa na hofu hapo hapo.
Kipi kimenitia hofu?

Nimepata uoga kwa kuwa ikiwa kweli nataka kumweleza Abbas Sykes kwa haki ya kumweleza ni lazima nieleze uhusiano wake au uhusiano wao yeye na kaka zake Abdulwahid na Ally na Zanzibar ndani ya chama cha TANU na ASP wakati wa kupigania uhuru wa Zanzibar miaka ya 1950.

Ninatetemeka.

Ishapigwa fatha na khitma zinakusanywa.

Siwezi kukataa kuzungumza.

Lakini najua unyeti wa historia ya Zanzibar.

Ilikuwa kila ninapolileta suala la Zanzibar katika mazungumzo yangu na Bwana Abbas pale Majlis ghafla atakuwa kimya na ataniangalia na "blank face," kama vile sipo pale mbele yake hanioni.

Ali Mwinyi Tambwe alipata kumfukuza mtu nyumbani kwake kwa kumuuliza habari za Zanzibar.

Kipi kilimghadhibisha Ali Mwinyi Tambwe?

Hamza Aziz tukiwa kwenye Majlis yetu yeye alikuwa akiniambia, "Tafiti Mohamed utajua mimi nimekula kiapo mimi nina miaka 74 sasa watanifunga hawa siwezi jela mimi ''raise some dust."

Kwa maneno mengine Hamza Aziz alikuwa ananiambia kuwa hilo somo ninalotaka kusomeshwa na yeye ni somo gumu sana kwa mwalimu na mwanafunzi pia.

Nikasimama kuzungumza.

Nikaeleza maingiliano ya kidugu yaliyokuwapo baina ya wazee wetu Tanganyika na wenzao Zanzibar kiasi cha Sheikh Hassan bin kuwa katika uongozi wa juu wa TAA na kushiriki katika kuasisi TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Nikaeleza na yaliyopita bila ya kueleza yale yaliyopita yalikuwa kitu gani.

Hapa nikasimama na kuomba dua Allah awasamehe wazee wetu kwa makosa waliyofanya.

Sikuamini masikio yangu.

Msikiti mzima uliitika, "Amin," kwa sauti ya uchangamfu na ya juu.

Hakika historia ya Zanzibar inataka moyo kuieleza.

Abbas Sykes ndiye aliyekuwa akimpelekea fedha Karume katika mifuko kutoka TANU kusaidia ASP.

Wakati ule Abbas Sykes alikuwa Mweka Hazina Msaidizi wa TANU, Mweka Hazina alikuwa Iddi Faiz Mafungo.

Sijajua kwa nini TANU hawakumtuma Iddi Faiz.

Iddi Faiz Mafungo alikuwa pia ni Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika.

Usafirishaji wa fedha hizi ulikuwa siri kubwa na vyombo alivyotumia vilikuwa vya wavuvi.

Abdul Sykes na Dossa Aziz ndiyo walimchukua Nyerere kwendanae Zanzibar kumjulisha kwa Karume.

Inasemekana usiku wa mapinduzi Karume alikuwa amejificha nyumbani kwa Abbas Sykes.

Damu nyingi ilimwagika katika mapinduzi tena bila ya sababu za maana kwani Wamakonde wakata mkonge kutoka Kipumbwi walioingizwa kwa siri Zanzibar kusaidia mapinduzi waliua watu ilhali serikali ya Mohamed Shamte ilikuwa tayari ishaanguka zamani.

Baadhi ya waliouliwa katika mapinduzi na baada ya mapinduzi walikuwa jamaa, ndugu na marafiki wa wazee wetu.

Abbas Sykes alikuwa amehifadhi mengi kifuani kwake.

Baadhi niliyajua."

20210522_173652.jpg
 
View attachment 1794099

Shukran sana Mudeer,

Jazakallahu khair,ilmu hii ni kubwa sana,,Tupo hapa tumetandika jamvi,kama kawaida yetu,wanaoumia kwa kuelezwa history hii sisi hatuna Cha kuwasaidia
 
Wasenge maarufu duniani kwa sasa ni hawa

1) IMAMU DAAIYE ABDULLAH

2) Nur WARSAME

3) MUHSIN HENRICK

Hao ni maimamu wakiojitangaza rasmi kuwa ni Mashoga na wa kwanza ana waumin wengi zaidi USA

Wapili ana waumin wengi zaidi CANADA na watatu ana waumin na wafuasi wengi zaidi South Africa

Teh teh teh,

Imenibid nicheke tuh Sina jins,umeshawahi skia wapi dunian hapa misikiti inafungisha ndoa za wasenge??

Ha ha ha,Ila makanisa sasa hadi Kiongoz wenu PaPa anawakingia kifua mashoga na kubariki hizo ndoa zao,vip nawewe tayar nin??

Teh teh teh,haki ya nan huna marinda wewe😃,kama naongea uongo hebu piga picha huko back kisha tuoneshe ikiwa wewe ni miongon mwa wasemao ukweli,najua huwez teh teh teh
 
Weka CV yake hapa wacha maneno mengi kama Mwajuma tako laini wa Magomeni mapipa....!

Kutwa kutuvalia baibui, usiku asambaza tupu yake

Weka CV ya huyu Mzee wako hapa
Heko bwana mdogo, japo umejidhihirisha kutokua na hoja yoyote' hiyo cv yake sitaiweka lakini ungepaswa kujiuliza kabla ya kujibu, je hii post inamzungumza nani? Haya katafute CV ya matusi na hao wamapipa wenzio
 
Si umesema ni Msomi? Nayeye alituambia hapa kuwa ana Bachelor Degree ya History

Wekeni Ushahidi wa CV ya Mohamed Said hapa ili tuamini.
 
Tuelezee kuhusu marehemu acha manung'uniko
Ndugu zanguni hebu someni hii:
MENGI BWANA ABBAS ALINIELEZA NA MENGI BALOZI AMEINGIANAYO KABURINI HAKUNAMBIA

"Tuko kwenye khitma ya Abbas Sykes Msikiti wa Makuti, Kisiwandui Zanzibar niko bega kwa bega na Sheikh Ibrahim Moeva.

Sheikh Moeva na Abbas Sykes wote wametumikia Tanzania nchi za nje na wakifahamiana vyema.

Nimefahamiana na Sheikh Ibrahim Jeddah mwaka wa 1997 na aliyenijulisha kwake alikuwa Balozi Ramadhani Kitwana Dau siku hizo bado hajawa Balozi.

Basi Sheikh Ibrahim akanambia kuwa jamaa wangependa kusikia wasifu wa Balozi Sykes.

Nimeingiwa na hofu hapo hapo.
Kipi kimenitia hofu?

Nimepata uoga kwa kuwa ikiwa kweli nataka kumweleza Abbas Sykes kwa haki ya kumweleza ni lazima nieleze uhusiano wake au uhusiano wao yeye na kaka zake Abdulwahid na Ally na Zanzibar ndani ya chama cha TANU na ASP wakati wa kupigania uhuru wa Zanzibar miaka ya 1950.

Ninatetemeka.

Ishapigwa fatha na khitma zinakusanywa.

Siwezi kukataa kuzungumza.

Lakini najua unyeti wa historia ya Zanzibar.

Ilikuwa kila ninapolileta suala la Zanzibar katika mazungumzo yangu na Bwana Abbas pale Majlis ghafla atakuwa kimya na ataniangalia na "blank face," kama vile sipo pale mbele yake hanioni.

Ali Mwinyi Tambwe alipata kumfukuza mtu nyumbani kwake kwa kumuuliza habari za Zanzibar.

Kipi kilimghadhibisha Ali Mwinyi Tambwe?

Hamza Aziz tukiwa kwenye Majlis yetu yeye alikuwa akiniambia, "Tafiti Mohamed utajua mimi nimekula kiapo mimi nina miaka 74 sasa watanifunga hawa siwezi jela mimi ''raise some dust."

Kwa maneno mengine Hamza Aziz alikuwa ananiambia kuwa hilo somo ninalotaka kusomeshwa na yeye ni somo gumu sana kwa mwalimu na mwanafunzi pia.

Nikasimama kuzungumza.

Nikaeleza maingiliano ya kidugu yaliyokuwapo baina ya wazee wetu Tanganyika na wenzao Zanzibar kiasi cha Sheikh Hassan bin kuwa katika uongozi wa juu wa TAA na kushiriki katika kuasisi TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Nikaeleza na yaliyopita bila ya kueleza yale yaliyopita yalikuwa kitu gani.

Hapa nikasimama na kuomba dua Allah awasamehe wazee wetu kwa makosa waliyofanya.

Sikuamini masikio yangu.

Msikiti mzima uliitika, "Amin," kwa sauti ya uchangamfu na ya juu.

Hakika historia ya Zanzibar inataka moyo kuieleza.

Abbas Sykes ndiye aliyekuwa akimpelekea fedha Karume katika mifuko kutoka TANU kusaidia ASP.

Wakati ule Abbas Sykes alikuwa Mweka Hazina Msaidizi wa TANU, Mweka Hazina alikuwa Iddi Faiz Mafungo.

Sijajua kwa nini TANU hawakumtuma Iddi Faiz.

Iddi Faiz Mafungo alikuwa pia ni Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika.

Usafirishaji wa fedha hizi ulikuwa siri kubwa na vyombo alivyotumia vilikuwa vya wavuvi.

Abdul Sykes na Dossa Aziz ndiyo walimchukua Nyerere kwendanae Zanzibar kumjulisha kwa Karume.

Inasemekana usiku wa mapinduzi Karume alikuwa amejificha nyumbani kwa Abbas Sykes.

Damu nyingi ilimwagika katika mapinduzi tena bila ya sababu za maana kwani Wamakonde wakata mkonge kutoka Kipumbwi walioingizwa kwa siri Zanzibar kusaidia mapinduzi waliua watu ilhali serikali ya Mohamed Shamte ilikuwa tayari ishaanguka zamani.

Baadhi ya waliouliwa katika mapinduzi na baada ya mapinduzi walikuwa jamaa, ndugu na marafiki wa wazee wetu.

Abbas Sykes alikuwa amehifadhi mengi kifuani kwake.

Baadhi niliyajua."

View attachment 1794099
 
Wapigania uhuru ndo wanamalizika na uhuru wenyewe haujapatikana
 
Heko bwana mdogo, japo umejidhihirisha kutokua na hoja yoyote' hiyo cv yake sitaiweka lakini ungepaswa kujiuliza kabla ya kujibu, je hii post inamzungumza nani? Haya katafute CV ya matusi na hao wamapipa wenzio
Ndugu zanguni,
Hasad ni maradhi mabaya sana kwani yanakula mwili na fikra za mtu kama moto unavyoteketeza kuni.

Labda hayo hapo chini yatasaidia:
''Naweza kusema balaa lilianza Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam ule wa zamani.

Ndege inaondoka saa sita usiku kwenda Cairo na hapo nitachukua ndege nyingine hadi London.
Tukatangaziwa tukiwa tushafunga mikanda tayari kuruka kuwa tuchukue mizigo yetu ya mikononi tutoke.

Ndege ilikuwa na hitilafu.
Tukakesha hapo uwanjani hadi mchana siku ya pili ndipo tuliporuka.

Tumefika Cairo ndege ya London inekwisha ondoka.
Tukawekwa Movenpick Hotel, Heliopolis kusubiri ndege ya kutupeleka London siku ya pili mchana.

Sikuwa mgeni wa Cairo nilikuwa nishafika kabla.

Asubuhi nikawapeleka abiria wenzangu vijana wa Kirietria Giza kuona Pyramids na kutoka hapo nikawapitisha Al Azhar, Chuo kikubwa sana cha Kiislam duniani.

Heathrow Airport nimetoa pasi yangu kwa watu wa Immigration.
Siku hizo tunaingia Uingereza bila visa.

Afisa wa Uhamiaji Muhindi mtu mzima.
Akaipekua pasi yangu taratibu ukurasa baada ya ukurasa.

Pasi imeingia Mozambique, Swaziland, Kenya, Sudan, Ethiopia, Egypt na kwengine mara mbili.
Afisa wa Uhamiaji akaniuliza, ‘’Huku kote umekwenda kwa shughuli gani?’’

Nikamfahamisha.
Inaelekea hakuridhika na majibu yangu akapiga simu akaja kijana wa Kiingereza.

Hapa sasa ndipo ilipoanza ‘’drama.’’
Wakanichukua chumba cha pembeni kwa mahojiano zaidi.

Nimebeba ‘’suit carrier,’’ na ndani kuna nguo chache lakini zote ‘’designer.’’
Raha ya ujana.

Wakaniamuru kuvua viatu.
Viatu pia ‘’designer shoes.’’

Wakaniambia kuwa wanataka kuvipitisha viatu kwenye X Ray kuangalia mihadarati.
Mtanzania na Waingereza wanatujua kuwa tulikuwa hoi lakini kijana aliyekuwa mbele yao anavaa nguo ghali.

‘’Umekuja Uingereza kufanya nini?’’
Nikawajibu nimekuja likizo.

Nawajibu bila hofu na wao nahisi wanashangazwa na ule utulivu wangu.
Wanatazamana hawaamini majibu yangu kuwa nimekuja London kutoka Dar es Salaam likizo.

Wanataka kujua nimekuja na fedha kiasi gani.
Nimekwishajua kuwa wananihisi mimi ni muuza unga.

Viatu vimerejeshwa havina unga.
Tumekaa kwenye viti tunaangaliana.

Wakachukua dairy yangu.
Miaka hiyo naweka dairy na naiandika kwa Kiingereza.

Kijana wa Kiingereza akawa anapekua kurasa anasoma.
Akaniluliza, ‘’Unesoma kwa kiwango gani?’’

Nadhani yale aliyosoma mle ndiyo yaliyomfanya aniulize elimu yangu.
Nikamjibu kuwa nina elimu ya Chuo Kikuu.

Tukawa tumemaliza mahojiano yetu na wakanitaka radhi wakaniambia isinipitikie akilini kwangu kuwa wamenifanyia yale kwa ajili ya rangi yangu.

Wakanambia kuwa walikuwa wanafanya ‘’random checking,’’ siku ile na kwa bahati mbaya kura imeniangukia mimi.

Hapa kwenye karatasi ni muda mfupi lakini waliniweka pale wananihoji kwa takriban saa nzima.
Siku nyingine niko Schiphol Airport, Amsterdam nakwenda Marekani.

Nikieleza niliyopitia Ubalozi wa Marekani katika kuomba visa makala itakuwa ndefu sana.
Tumefanyiwa ‘’security check,’’ abiria wote sasa tuko katika mstari tunaingia kwenye ndege.

Akaja ‘’Marine,’’ na nimemtambua kuwa ni askari wa Kimarekani kwa ‘’accent,’’ yake na mkato wa nywele zake.
Ananiita kwa kidole kama mbwa.

Nimemfuata kama mbwa kaona chatu.
Akanipiga maswali ambayo kwa kweli nilishayajibu Dar es Salaam kwenye ‘’Consulate,’’ wakati naomba visa.

Akataka kuona ‘’credentials,’’ zangu.
Akaniruhusu kuingia kwenye ndege.

Entry Point ni Detroit kisha napanda ndege za ndani kukamilisha safari yangu.
Foleni husimami hata dakika mbili ushapita.

Zamu yangu kapekuea pasi yangu.
Wamarekani hawagongi muhuri wana karatasi wanaweka kwenye pasi.

‘’Umekuja Amerika kufata nini?’’
''Kuzungumza chuo kikuu.''

Afisa akaniuliza nina kiasi gani cha fedha.
Akaniambia mbona hizo fedha ndogo.

Nikashangazwa na jibu hilo kwani fedha watu hawatembei nazo mifukoni zinakaa kwenye kadi.
Mastercard yangu ipo kibindoni.

Nikamjibu kuwa nitalipwa fedha na wenyeji wangu.

‘’Kiasi gani?’’
Nikamfahamisha.

‘’Mapesa hayo yote kwa kazi gani?’’
‘’Kwa kuzungumza.’’

Alichukua pasi yangu akafunga ‘’cubicle,’’ yake.
Aliporudi akaniambia, ''Good day Sir.''

Nalala Hilton lakini sikusema kwa kuwa hakuniuliza.

Haya ndiyo maisha yangu na sikuomba iwe hivi ni Allah mwenyewe kwa mapenzi yake ndiye aliyeyaelekeza huko.

Kwangu mimi haya sielezi chembelecho kwa ‘’kujimwambafy.’’
Wala haijanipitikia kuwa ni mambo makubwa sana.

Nina mengi sana mfano wa haya.
Fursa kama hii niliyopata hapa ikitokea tena nitaeleza mengine In Shaa Allah.''

1621743740164.png

Columbia University, New York
 
Ulitaka atajwe kuwa anatawadha mara 5 kwa siku?

Ni nani aliyewanyima waislam kumtaja na kumwandika popote pale

Jilalamikieni kwa kukosa Elimu ya kumuandika vitabuni sio Mfumo Kristo

Mlimwandika halafu mfumo Kristo ukawashtaki?

Ninyi ni wa kulialia tu na kulalamika miaka yote

Maamuma.
Mzee wa Madrassa ndio katuletea hii mada, usisahu hilo.

Unaijua maana ya madrassa au unapayuka tu kwa kukosa cha kuponda?
 
Foleni husimama hata dakika mbili ushapita.

Zamu yangu kapekuea pasi yangu.

Wamarekani hawagongi muhuri wana karatasi wanaweka kwenye pasi.

‘’Umekuja Amerika kufata nini?’’

''Kuzungumza chuo kikuu.''
Afisa akaniuliza nina kiasi gani cha fedha.

Akaniambia mbona hizo fedha ndogo.

Nikashangazwa na jibu hilo kwani fedha watu hawatembei nazo mifukoni zinakaa kwenye kadi.

Mastercard yangu ipo kibindoni.
Nikamjibu kuwa nitalipwa fedha na wenyeji wangu.

‘’Kiasi gani?’’
Nikamfahamisha.

‘’Mapesa hayo yote kwa kazi gani?’’

‘’Kwa kuzungumza.’’

Alichukua pasi yangu akafunga ‘’cubicle,’’ yake.

Aliporudi akaniambia, ''Good day Sir.''

Nalala Hilton lakini sikusema kwa kuwa hakuniuliza.

Haya ndiyo maisha yangu na sikuomba iwe hivi ni Allah mwenyewe kwa mapenzi yake ndiye aliyeyaelekeza huko.

Kwangu mimi haya sielezi chembelecho kwa ‘’kujimwambafy.’’
Wala haijanipitikia kuwa ni mambo makubwa sana.

Nina mengi sana mfano wa haya.
Fursa kama hii niliyopata hapa ikitokea tena nitaeleza mengine In Shaa Allah.''

View attachment 1794605
Columbia University New York

Mudeer, Mudeer, Mudeer...

Ni burdan Sana kukufuatilia unavyotiririka,nukta hadi nukta...

Hakika kwetu sisi wengine Tunashukuru Allah kutupa nafasi ya upendeleo kama hii kuweza kujifunza haya,

Jazakallahu khair Mudeer.
 
Mzee wa Madrassa ndio katuletea hii mada, usisahu hilo.

Unaijua maana ya madrassa au unapayuka tu kwa kukosa cha kuponda?
Madrassat ni kule mnapowafunza wanenu kubinuka na kubinua

Nipo,
 
Ndiko ulikosoma? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chila,
Umesema kweli nina nostalgia kubwa sana na wajomba na shangazi zangu na hii ndiyo iliyonifanya nitafiti na kuandika historia ya TANU.

Hilo la vyeo umenisingizia sijapata kuzungumza hilo.
Hili la kutafutwa kuzungumza hii imekuwa kawaida - TBC, Azam, DW, BBC, ETV Hamza Kassongo on Sunday.

Harvad na University of Oxford Press New York na Nairobi wamenitia katika mradi wa kuandika historia nk.
Mialiko University of Iowa, Northwestern University, Chicago, Zentrum Moderner Orient, Berlin.

Sikutegemea hata siku moja kuwa kitabu cha Abdul Sykes kitanifikisha mbali kiasi hiki.
Kama unaghadhibishwa na haya hii ni bahati mbaya sana kwako.

You are now a world figure. Big up.
 
Back
Top Bottom