Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenifikirisha sana, hizi mbinu hata Putin amezitumia kustawisha utawala wake, eliminate matajiri tengeneza matajiri loyal kwako. Lakini sijui kama hii itafaa kwetu, labda kwa kuwa tumetoka kwenye mfumo wa ujamaa,
Huenda mshauri mkuu wa awamu hii anacopy na kupaste toka Russia
Eliminate matajiri, very primitive approach
Tatizo kaleta ujuaji, angekuwa anahitaji elimu asingeleta kebehi za kijinga hivi na kutomkemea ni kumhujumu marehemu.
Hata wewe wakitaka kukueliminate wanapata file lako kamili toka kwa doctor wako, alafu wanapitia mulemule, ili jamii isishituke. Kama una akili utanielewaMistake tuwaseme marehemu bujre. Ruge na Mengi matatizo yao yalifahamika long time kitambo. Mfano Mengi alishaanza kuharibikiwavakili na familia ililifahamu hilo, Ruge ndio usiseme, it was just a matter of time kama nanihi wake ambaye walikuwa wakijadili Mani ataanza kuondoka. Do not insinuate things, Ali may have died due to a lot of cause, depression including, soon we are going to hear what have been going on within Mufuruki family, stay tuned
Hata wewe wakitaka kukueliminate wanapata file kamili Lako toka kwa doctor wako, alafu wanapitia mulemule, ili jamii isishituke. Kama una akili utanielewa
Lawama zote kwa JohnUliowataja sio walimu....tunawazungumzia hapa ni wamatumbi wenzetu ambao wameenda shule .... wamepractice..... hawakuiba .....na wanafundisha.
Mbona wanaomsifia huwa husemi wana upendo wa kiwango cha kimataifa?!Chuki uliyonayo kwa JPM ni ya kiwango cha kimataifa. Alichokufanyia miaka ya nyuma unakijua mwenyewe.
Ndg hujawahi kuona hata Wafanyakazi wa king'amuzi cha Zuku ambacho Marehemu ni mali yake.?
Inatisha sana.Verily i tell you she knows how?what?the man died for!!!After the coming of this regime mengi,ruge and now mufruki are gone!!!Others of that calibre should watch out!!!!many to follow!!!
If you see an iceberg you only see 10% forgetting 90% below the surface of the ocean.Yani mtu kubargain bei ndio umehitimisha ana tatizo la kipesa? Hizi ni akili za wapi?
The best i know ni kuwa Ali aliamua kuifunga Kampuni ya kuuza ving'amuzi vya ZUKU kwa kuhujumiwa na wazawa.Kama ndie mmiliki wa Zuku basi hata mimi nishakula pesa yake maana Zuku ndio kampuni ya kwanza kuniajiri baada ya kuhitimu Chuo kikuu, kwa wakati ule maslahi yale yalikua mazuri japo nlikula mshahara wa mwezi mmoja tu nikasepa zangu baada ya ukiritimba wa pak..a mmoja wa kihindi aliekua boss wangu
Hasira? hata nikipiga chafya wewe utaona hasira.Bado siekewi kwa nini hasira hizi, jibu tu kaifanyia nini nchi, basi. Si wote ni ma CEO, si wote ni wafanya biashara, wengine sisi in wakulima wa viazi ulaya, tunajiona muhimu kwa vile vibanda vya chips vipo all over the country. Tunaamini tukiacha kulima nchi itatikisika, hatujawahi kumsikia Ali. Tunashangaa na kujiuliza, hyu Ali kalifanyia mini Taifa? Tuelekezeni basi kwa staha ninyi ma CEO, watu muhimu kuliko sisi wakulima tusiojua kitu. Nimefurahi kufahamu aikuwa tajiri mamba tano nchini