Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

Kiranga,

Mkuu

Namnba 6 hapo juu!

Wewe ni Mkatoliki?

Aisee umeniangusha sana!

Usiekua na imani yeyote ya uwepo wa mungu au shetani leo ni Mkatoliki?

Umetuangusha sisi faithless kabisa!
 
Nahitimisha kuwa matajiri wazawa hawana maisha marefu halafu matajiri wenye asili ya Asia wana maisha marefu!!!!Hii ndio tz na maajabu yake!!!

Mkuu unafikiri ni kwa nini?
 
Wyatt Mathewson,
Mimi si Mkatoliki, nimeandika kama Mkatoliki, kwa maana kama vile Wakatoliki wanavyofundishwa kutomchukia mtu, na mimi simchukii mtu.

Hiyo kama ni "like a Catholic" si "as a Catholic".

Mimi siamini uwepo wa Mungu, nitakuwaje Mkatoliki?
 
Mimi si Mkatoliki, nimeandika kama Mkatoliki, kwa maana kama vile Wakatoliki wanavyofundishwa kutomchukia mtu, na mimi simchukii mtu.

Hiyo kama ni "like a Catholic" si "as a Catholic".

Mimi siamini uwepo wa Mungu, nitakuwaje Mkatoliki?

Mkuu

Hiyo ni bla blah my nigga

Delete that shit,hakuna mtoto hapa bana!
 
Ati naye alikuwa miongoni mwa wale waliokuwa wamepangisha vyumba vya hoteli fulani fulani mjini permanently? Yaani room inajulikana ni ya kwake na amelipia mwaka mzima? Wengine wanadai rooms hizo zilikuwa machinjio.

Na majina ya hizo hoteli wengine wanayajua moja baada ya nyingine.

Na hata mkulu aliwahi kusema katika moja ya hotuba yake kuwa watu wa aina hiyo amewakomesha, wanaisoma namba!
 
Kiranga,

Na nimesema wazi, sipo katika level za ma CEO, lakini ndio sina haki ya kuuliza nisichokifahamu? Inawezekana unajiona huna wajibu wa kunielewesha kwa kuwa level yako ni ya juu sana, lakini pia kuna uwezekano eego yako iko katika levels za juu sana kiasi utu wako umekuwa bora mno nafsini mwako kuliko sisi binadamu wengi hivyo hats jambo dogo tu la kuwaelezea qatu wajinga linakushinda badala yake unakimbilia kutaka kusema we we ni nani.

Hakuna haki pasipo wajibu, kama mumependezewa kumsifu na kumpingeza Ali kwa mchango wake kwa watanzania, basis mbao wajibu wa kutuelezea aliifanyia mini nchi tofauti na watu wengine, vinginevyo kwa mini asipewe hadhi saws na walimu wetu wanaowafundisha watoto wetu kusoma, kwa mini asipewe hadhi kama sisi wakulima was viazi, kwa mini asipewe hadhi sawa na wanajeshi wetu wanaokesha kutulinda au madaktari wetu wanaohangaika kuokoa maisha yetu katika hali mbaya ya ufanyaji kazi?

Mimi hilo tu, Socrates sijui rapid Socratic questions za nini sasa?

Unashindwaje kumuelezea mtu mjinga asiyejua lolote kwa maneno rahisi kabisa?
 
schlumberger,
Huzi ndo akili za watz jamani!kuomba kupunguziwa bei ndo alikua ameyumba kiuchumi?jaribu kufikiria upya..au la unajitibu maumivu yako ww kwa kumsukumizia mtu baki!...unajipa relief!pole hata hvyo!😊
 

Umefurahi mwenyewee!
 
Hata wewe wakitaka kukueliminate wanapata file lako kamili toka kwa doctor wako, alafu wanapitia mulemule, ili jamii isishituke. Kama una akili utanielewa


Unapoteza muda kuwaelemisha vilaza wa lumumba!
 
Mtu kukusaidia sio mpaka akuajiri hata mawazo yake na influence inafanya mengi


Watu wengi hatuna utambuzi..wanataka waone anatoa misaada kwa yatima ndo wajue alikua msaada kwa nchi!hata kusoma majarida yake tu inasaidia sana!
 
Barbarosa,
Hata kuacha kuchangia pia ni hekima.Kuliko kuandika Pumba bora ujikalie tu kimya na ufuatilie hoja za wengine wanavyochangia!
 
umehisi kisha ukatumia hisia kutengeneza conclusion...
Ukalazimisha siasa mavi nk....

Labda hakuwaza hayo...
 
English mbovu...
Plus umalazimisha tuamini kuwa wameuawa?
siasamavi.com
Verily i tell you she knows how?what?the man died for!!!After the coming of this regime mengi,ruge and now mufruki are gone!!!Others of that calibre should watch out!!!!many to follow!!!
 
share nasisi ushauri wake pls...
kwamba alikuwa na hoja nzuri watu wazidi kuishi mabondeni?
Nisaidie nijifunze something mkuu
 
Siasa tena? Mkuu acha hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…