Buriani Amina Chifupa!

Buriani Amina Chifupa!

Status
Not open for further replies.
..sometimes tunakosa la kusema..... Safiri salama Amina ukifika RIP.

FD
 
Poleni familia ya wafiwa.

Waungwana, Kifo cha Amina has nothing to do with CCM ama Nchimbi. Ukweli wa kifo chake ni kama ifuatavyo.

Kwanza she was diagnosed with Ngoma kwa lugha ya mjini aliikanyaga miwaya, and Medi Mpakanjia was mad koz obviously nae nae ana miwaya. Katika kubishana na Medi, Amina yeye akawa anadai kwamba Medi ndio kamletea miwaya. Wakakubaliana kitabu kisomwe (watoto wa kiislam mnanielewa) mbuzi akachinjwa pale, somo likashushwa na ndio yaliyomkuta dada yetu. Inasemekana alipagawa kabisa in recent weeks and familia waliamua kumuuguza kienyeji until it was really late wakampeleka Lugalo.

Am out. Msiniulize maswali, either u believe me or Not.

"Hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea" again poleni sana wafiwa, she was soo young and such an inspiration to the youth. Mungu amlaze mahala anapostahili.
 
Makubwa haya! Leteni conspiracy theories tu. Lakini ukweli unabaki kuwa mlimzuia kuongea. Baba mtu hapa anawajibika kutueleza ukweli, vinginenevyo naye ataonekana anaridhia madhia yaliyofanyika.
 
Poleni familia ya wafiwa.

Waungwana, Kifo cha Amina has nothing to do with CCM ama Nchimbi. Ukweli wa kifo chake ni kama ifuatavyo.

Kwanza she was diagnosed with Ngoma kwa lugha ya mjini aliikanyaga miwaya, and Medi Mpakanjia was mad koz obviously nae nae ana miwaya. Katika kubishana na Medi, Amina yeye akawa anadai kwamba Medi ndio kamletea miwaya. Wakakubaliana kitabu kisomwe (watoto wa kiislam mnanielewa) mbuzi akachinjwa pale, somo likashushwa na ndio yaliyomkuta dada yetu. Inasemekana alipagawa kabisa in recent weeks and familia waliamua kumuuguza kienyeji until it was really late wakampeleka Lugalo.

Am out. Msiniulize maswali, either u believe me or Not.

"Hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea" again poleni sana wafiwa, she was soo young and such an inspiration to the youth. Mungu amlaze mahala anapostahili.

I just hope you are right Suleiman,
But by the way if you dont mind,how do you know how to co-ordinate events like that?
WHO ARE YOU?,
unajua mengi zaidi kutokana na maneneo yako.
Tueleze ukweli zaidi ya hayo
 
Nawapa pole ndugu, marafiki, jamaa na hasa mtoto wake ambaye ameachwa mkiwa. Amina, Rest in Peace.
 
Jamani at the end of the day source ya kifo hiki ni dhambi ya uzinzi. Hao akina walimchukia kwa sababu ya uzinzi baada ya kuwatema (dhambi hiyo). Isingekuwa ni hii dhambi ya uzinzi mume wake asingempa talaka kwa hiyo asinge-collapse na leo tungekuwa naye. Jamani dhambi ya uzinzi mbaya sana. Mungu amrehemu huyu binti, na atuepushe na dhambi ya uzinzi!
 
Poleni familia ya wafiwa.

Waungwana, Kifo cha Amina has nothing to do with CCM ama Nchimbi. Ukweli wa kifo chake ni kama ifuatavyo.

Kwanza she was diagnosed with Ngoma kwa lugha ya mjini aliikanyaga miwaya, and Medi Mpakanjia was mad koz obviously nae nae ana miwaya. Katika kubishana na Medi, Amina yeye akawa anadai kwamba Medi ndio kamletea miwaya. Wakakubaliana kitabu kisomwe (watoto wa kiislam mnanielewa) mbuzi akachinjwa pale, somo likashushwa na ndio yaliyomkuta dada yetu. Inasemekana alipagawa kabisa in recent weeks and familia waliamua kumuuguza kienyeji until it was really late wakampeleka Lugalo.

Am out. Msiniulize maswali, either u believe me or Not.

"Hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea" again poleni sana wafiwa, she was soo young and such an inspiration to the youth. Mungu amlaze mahala anapostahili.

Somo hilo lilifanyika lini, kabla au baada ya talaka?

Habari zilizokuwapo ni kuwa kwanza alipewa talaka, halafu akaahidi kwenda kuzungumza na waandishi kuhusu hiyo talaka, baba yake akamzuia asiongelee jambo hilo. Wakati huo huo Amina akawa hajulikani alipo, ila ikasemekana kuwa hali yake ikaanza kuwa mbaya na akili yake ikawa unstable. Ndipo ile kampeini fa Free Amina Now ikaanza. Tangu hapo hajaonekana wala kusikika hadi kifo chake. Inasemekana kuwa wiki tatu hivi zilizopita ndipo mumewe alienda kumsalimia kwa mara ya kwanza na kuangusha machozi baada ya kumwona hali aliyokuwa nayo.

Je somo hilo lilifanyika mara tu baada ya talaka? na hiyo "ngoma" iliingiaje hapo iwapo talaka yenyewe ilikuwa inahusu ugoni na Zitto?

Mungu Ailaze Pema Peponi Roho ya Marehemu Amina
 
kama wenzangu wengu walivyoongea kwa kweli nimeshikwa na bumbuwazi na kifo cha Amina,awali ya yote nami namwombea kwa mwenyezi mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi,amina.Kuna vitu viwili vinaiingiliana,kwanza ni Nchimbi lakini la pili ambalo ni la hatari na hatutakiwi kulipuuza ni lile la wauza unga,kwa jinsi nyepesi nyepesi zilivyodai orodha aliyotoa inadaiwa ilikuwa na watu wazito ambao ni wa kutisha na wasiokuwa na mchezo,katika nukuu zake kwa hilo alisema "yupo tayari kufa na sasa hatuko naye tena",lakini kwa upande wa Nchimbi mnakumbuka siku moja kabla ya kusema kuwa atapasua jibu kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake alisema wazi kuwa "watu anaopambana nao anajua ni hatari na kweli wamekuwa hatari",amina hatuko naye tena,mambo hayo mawili,lakini pia yanaweza kwenda pamoja,time will tell
 
Mungu amlaze pema peponi. Tuiache roho yake ipumzike kwa amani badala ya kutoa maneno mengi ya nini kilimuua. Msemakweli ni wale mabingwa wa kuchunguza maiti na sababu za kifo. Pengine ni vyema uchunguzi ufanyike ili sababu za kifo chake kijulikane kwa ndugu zake ama sivyo watu wataanza kutafutana "uchawi"i.
 
Jamani wanajambo nimepata tetesi kuwa Amina Chifupa amefariki dunia jana tarehe 26/6/2007 SAA TATU USIKU, Nyie mliko huko Dar es salaam tuhakikishieni jamani kama ni kweli unajua wengine pembeni kabisa ya nchi hii.
 
Maana yangu ni, si usome threads hizo nyingine ambazo tayari wamesha bainisha kwamba dada yaetu ametutoka na mambo mengimengine soma utaona
 
Jamani at the end of the day source ya kifo hiki ni dhambi ya uzinzi. Hao akina walimchukia kwa sababu ya uzinzi baada ya kuwatema (dhambi hiyo). Isingekuwa ni hii dhambi ya uzinzi mume wake asingempa talaka kwa hiyo asinge-collapse na leo tungekuwa naye. Jamani dhambi ya uzinzi mbaya sana. Mungu amrehemu huyu binti, na atuepushe na dhambi ya uzinzi!

Mh, haya we! yamekuwa ya uzinzi; heri yeye asiyekuwa na mikono michafu; maana wengineo wote tutaangamia kama Amina!

Mama Maria;
Ina maana hayo yooote yalikuwa yanazungumzwa hapa JF mwenzetu ulikuwa unaona tunashabikia tu uzinzi?
Kweli dhambi ya uzinzi ni mbaya; lakini is that all you can say katika suala hili?
Umeniongezea majonzi.

Poleni familia ya wafiwa.

Waungwana, Kifo cha Amina has nothing to do with CCM ama Nchimbi. Ukweli wa kifo chake ni kama ifuatavyo.

Kwanza she was diagnosed with Ngoma kwa lugha ya mjini aliikanyaga miwaya, and Medi Mpakanjia was mad koz obviously nae nae ana miwaya. Katika kubishana na Medi, Amina yeye akawa anadai kwamba Medi ndio kamletea miwaya. Wakakubaliana kitabu kisomwe (watoto wa kiislam mnanielewa) mbuzi akachinjwa pale, somo likashushwa na ndio yaliyomkuta dada yetu. Inasemekana alipagawa kabisa in recent weeks and familia waliamua kumuuguza kienyeji until it was really late wakampeleka Lugalo.

Am out. Msiniulize maswali, either u believe me or Not.

"Hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea" again poleni sana wafiwa, she was soo young and such an inspiration to the youth. Mungu amlaze mahala anapostahili.

habari hii ungeileta mapema wakati tunatoana roho na mzee Zitto hapa ungekuwa umebadili mwelekeo wa mjadala mzima, pengine tungekuwa tunampa pole, au pengine tusingemvaa mzee Nchimbi...Mzee, hii umeiiibua wapi at this late hour?

JF ipitishe utaratibu wa maombolezo ya mpiganaji mwenzetu. Mimi binafsi sijali mambo yoyote ya binafsi/kifamilia ya marehemu, najali moyo wake wa ujasiri na uzalendo ambao tutaukosa daima. katika historia ya Tz ndiye mbunge pekee aliyethubutu kusimama kidete na suala la madawa, akiwa katika umri mdogo, alikuwa na kila sababu ya kutohatarisha maisha yake, lakini aliamua kusimamia ukweli; hizi ni sifa ambazo hatuwezi kuzisahau au kuzifukia kwa visababu vya matatizo yake binafsi. Viongozi wenzie na wa-Tz wote wenye mapenzi mema na nchi hii wanatakiwa kumuenzi kwa kuendeleza vita alivyovianza, sio kusema..'aliyataka mwenyewe...tulijua hatafika mbali...' mzimu wake utawandama wale wote watakaobeza juhudi zake za dhati katika kupiga vita madawa ya kulevya.
Kwa kuwa JF nayo inapigania uzalendo, haki na ukweli, huu ni msiba wetu, tuubebe kiustaarabu sio kuanza tena kufukua mambo ya kumkashifu marehemu.
Mungu ailaze Roho yake mahala pema peponi
 
Hivi kwa mfano tukiambiwa Mr A , B na C ndio waliomuua. Tutafanyaje? Tutawaua au...
Maanake katika chimba chimba hii......sijui tunaelekea wapi. ..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom