Buriani Amina Chifupa!

Buriani Amina Chifupa!

Status
Not open for further replies.
Tusiojua islamic law hatuwezi kupinga unayosema. Hata hivyo jambo hili lilichambuliwa na mwandishi mmoja katika gazeti la Majira hapa na kuonekana kuwepo kwa possibility kuwa talaka aliyopewa ni separation ambapo atakaa eda kwa miezi mitatu wakati wakijaribu kusuluhisha tofauti zao. Endapo katika miezi hiyo mitatu watashindwa kabisa kumaliza tofauti zao, ndipo talaka hiyo inakuwa divorce na hapo hawawezi kurudiana tena; ila wakiweza kumaliza tofauti zao, wanaweza kurudiana wakati wowote kabla ya hiyo miezi mitatu.

KICHUGUU

narudia tena

KIISLAM huwezi kutoa TALAKA YA SEPARATION....SEPARATION na TALAKA ni vitu VIWILI TOFAUTI

Amina alipewa TALAKA sasa kama yeye na mumewe walikuwa separated kabla ya hapo ni suala lingine lakini huyo bibie kafariki bila ya MUME

Marudiano yanaklubalika lakini mpaka huyo Mwanamke MTALIKIWA AOLEWE NA MTU Mwinginge kisha aachwe ndipo MTALIKI wa mwanzo anaweza kuoa tena

MFANO WA AMINA:

MEDI MPAKA NJIA ATOE TALAKA

ZITO KABWE AOE

KISHA AMINA AACHWE

MEDIA ANARUHUSIWA KUOA TENA

reference ni hapa:[Suratul al-Baqarah, Aayah ya 230]
 
Ndiyo, ninafahamu hivyo.

Inaonekana statement yangu hiyo imeonekana kuwa awkward kwa vile niliondoa sentense moja mbele yake iliyokuwa inasema "Mazishi yalifanyika kwa babu yake marehemu upande wa mama ambaye ni mkiristo." nikaweka ile ya "Jina la mama yake ni "Juliana Mbanga.""

sasa in this case kiislam je AMINA lizikwa kwa ubini wa MAMA YAKE (JAPO SI MUISLAM ) au BABA YAKE AMBAYE NI MUISLAM?
 
Barabara, wewe ulitaka wakristu wasiende hapo na ukatuwekea picha ya masista. Kwa maneno mengine ulitaka kuashiria kuwa ni waislamu pekee waliotakiwa kuwepo msibani. Ndio sababu mimi nikauliza suala la dini ya mama yake. Hivyo, nakushauri utoe ile picha pale kwani kusudio lake ni kuleta mambo ya udini. Ingekuwa hoja kubwa zaidi kama katika swala zile mkristu naye angetakiwa kuombea maiti. Hilo pia siyo kubwa zaidi kwani walipokufa viongozi wa kikristu na kiislamu watu wamadhehebu mbalimbali wanaalikwa kutoa sala zao zile za hadhara.

Wote tunajua Amina alikuwa ni muislamu na alizikizwa kwa desturi za kiislamu ambayo ni haki yake (unless kama angekuwa amebadili dini). Lakini swala la wakristu kuwepo msibani ni haki yao na hakuna cha kutumia neno la "UGALA" ili kuonesha hisia zako kwa watu wenye dini tofauti na wewe.
 
JK naye alikwepoo................

dsc026333el4.jpg

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini Kitabu cha maombolezo Nyumbani Kwa Wazazi wa Marehemu Amina Chifupa jana jioni. Rais alikwenda nyumbani hapo kifariji familia ya marehemu.

dsc026466mn9.jpg

Rais Jakaya Mrisho kiwete akimfariji Juliana Solomon Mbanga ambaye ni mama yake Marehemu Amina Chifupa wakati Rais alipokwenda kuifariji familia ya marehemu nyumabni kwa Mikocheni jijini Dar es salaam jana jioni(picha na Freddy Maro).
 
Kichuguu, tena huo ni mfano kamili na mzuri wa ushirikiano na udugu wa wakristu na waislamu, siyo tu kuoana bali pia kuzikana.
 
Barabara, wewe ulitaka wakristu wasiende hapo na ukatuwekea picha ya masista. Kwa maneno mengine ulitaka kuashiria kuwa ni waislamu pekee waliotakiwa kuwepo msibani. Ndio sababu mimi nikauliza suala la dini ya mama yake. Hivyo, nakushauri utoe ile picha pale kwani kusudio lake ni kuleta mambo ya udini. Ingekuwa hoja kubwa zaidi kama katika swala zile mkristu naye angetakiwa kuombea maiti. Hilo pia siyo kubwa zaidi kwani walipokufa viongozi wa kikristu na kiislamu watu wamadhehebu mbalimbali wanaalikwa kutoa sala zao zile za hadhara.

Wote tunajua Amina alikuwa ni muislamu na alizikizwa kwa desturi za kiislamu ambayo ni haki yake (unless kama angekuwa amebadili dini). Lakini swala la wakristu kuwepo msibani ni haki yao na hakuna cha kutumia neno la "UGALA" ili kuonesha hisia zako kwa watu wenye dini tofauti na wewe.

NAONA MKJJ unataka kucreate issue ambayo wewe unajua kuwa haipo.wapi nilipowasema WAKRISTO? wewe hiyo picha ya mastista ndio imekukuna mbona picha zingine hujasema kitu? hapa mimi na jamaa tunajaribu kueleweshana kuhusu DIVORCE & MARRIAGE katika uislam na issue ilianza pale watu walipoquestin SHEKHE WA BAKWATA kukaa kimya ilihali marehemu kakaa zaidi ya 24 hrs bila kuzikwa

Hili la sheria za kiislam sijui kama unazijua lakini mindhali unlitaka sijui kama uko tayari kulimaliza hapo mbeleni
 
Barabara, wewe ulitaka wakristu wasiende hapo na ukatuwekea picha ya masista. Kwa maneno mengine ulitaka kuashiria kuwa ni waislamu pekee waliotakiwa kuwepo msibani. Ndio sababu mimi nikauliza suala la dini ya mama yake. Hivyo, nakushauri utoe ile picha pale kwani kusudio lake ni kuleta mambo ya udini. Ingekuwa hoja kubwa zaidi kama katika swala zile mkristu naye angetakiwa kuombea maiti. Hilo pia siyo kubwa zaidi kwani walipokufa viongozi wa kikristu na kiislamu watu wamadhehebu mbalimbali wanaalikwa kutoa sala zao zile za hadhara.

Wote tunajua Amina alikuwa ni muislamu na alizikizwa kwa desturi za kiislamu ambayo ni haki yake (unless kama angekuwa amebadili dini). Lakini swala la wakristu kuwepo msibani ni haki yao na hakuna cha kutumia neno la "UGALA" ili kuonesha hisia zako kwa watu wenye dini tofauti na wewe.

Nilikuwa sijasoma ile post ya kwanza ya barabara yenye kusema "waislamu" wamechukia kwa sababu ya "wagala"...

Tabu kweli kweli.
 
Kuna taarifa kuwa waislam wamekuja juu baada ya waGALA kuingilia shunguli nzima ya kumzika Amina ambaye leo ni siku ya Pili hajazikwa. Kuna taarifa kuwa kulikuwa na mipango ya kuipeleka MAITI Dodoma kisha ikazikwe kijijini kwao

ac13.jpg

Lawama zaidi zimepelewa kwa Baba yakle Amina ambaye anaonyesha kila dalili za ku CAPITALISE msiba wa mwanae kwa ajili ya Political ambitions zake kwa kukubali kuburuzwa na mijitu ya serikali.Huyu mzee japo ni Muislam lakini ajabu ni kwamba anakubali kupelekwa pelekwa ili kuwafurahisha waGALA ambao wanaongoza huu msiba kupitia magazeti,ma TV na kadhalika

Hebu tufafanulie hawa waGALA niwa watu wa mkoa gani? na walijaribu vipi kuingilia shughuli za msiba?
 
jamani ndugu, naombeni tusilete mambo ya udini plz plz plz plz !! halafu wewe barabara ndio umeanzisha haya mambo, najua kila mtu ana haki ya kutoa comment yoyote, lakini tuangalie isije ikaleta hisia mbaya hapa ! wakristo na waislamu ukiangalia vitabu hivi viwili havina tofauti kubwa sana esp. old testament na quran. jamani tuacheni mambo ya udini plz.
 
Come on now guys....sasa nyinyi mnataka kuteka nyara msiba wa Amina na kuanza mambo yenu ya udini. Jamani hebu kuwenu wastaarabu kidogo...huu si muda wala wakati muafaka kufanya hivyo. Mwanakijiji....let it go man...by going back and forth with him (Barabara) you are just going to escalate it.
 
jamani ndugu, naombeni tusilete mambo ya udini plz plz plz plz !! halafu wewe barabara ndio umeanzisha haya mambo, najua kila mtu ana haki ya kutoa comment yoyote, lakini tuangalie isije ikaleta hisia mbaya hapa ! wakristo na waislamu ukiangalia vitabu hivi viwili havina tofauti kubwa sana esp. old testament na quran. jamani tuacheni mambo ya udini plz.

NIONYESHE WAPI NIMEWALAUMU WAKRISTO?
 
Basi kaka Barabaraya18...umetoa jibu na imetosha. Waungwana naombeni muache sasa.
 
oh kumbe... sasa ile picha ya wale masista inahusiana vipi....help me out halafu nitakuacha
 
Duh imeshakuwa hivyo tena?

Haya na sisi Marasta tulikuwepo ingawa kwa nyumaaa!
 
haya.. yameisha.. ila naona watu leo hambanduki humu... mnaitolea usongo JF? haya miye niko break..(working break on a makala tentatively titled "Kwa hili la Amina, tunachora mstari".
 
oh kumbe... sasa ile picha ya wale masista inahusiana vipi....help me out halafu nitakuacha

Nakushangaa hukusema kitu juu ya huyo bwana aliyemsogelea sehemu za nyuma huyo sista, lakini kwa sabau akili zako zinakutuma UDINI basi wewe umeona UDINI ndio muhimu kwako

Sisi tulikuwa na mjadala wetu mzuri sana kuhusu sheria ya KIISLAM na TALAKA lakini wapi kama kawaida yako hukuona raha bila kuingilia na kutaka kuvuruga watu. Kuna picha kibao zipo humu za kule msibani lakini hukuona hizo zaidi ya hiyo ya ma SISTA. Tatizo lako wewe unataka ATTENTION 24/7 na bila hiyo wewe hujisikii raha

lakini vipi wewe?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom