barabaraya18
Senior Member
- Sep 18, 2006
- 106
- 8
Tusiojua islamic law hatuwezi kupinga unayosema. Hata hivyo jambo hili lilichambuliwa na mwandishi mmoja katika gazeti la Majira hapa na kuonekana kuwepo kwa possibility kuwa talaka aliyopewa ni separation ambapo atakaa eda kwa miezi mitatu wakati wakijaribu kusuluhisha tofauti zao. Endapo katika miezi hiyo mitatu watashindwa kabisa kumaliza tofauti zao, ndipo talaka hiyo inakuwa divorce na hapo hawawezi kurudiana tena; ila wakiweza kumaliza tofauti zao, wanaweza kurudiana wakati wowote kabla ya hiyo miezi mitatu.
KICHUGUU
narudia tena
KIISLAM huwezi kutoa TALAKA YA SEPARATION....SEPARATION na TALAKA ni vitu VIWILI TOFAUTI
Amina alipewa TALAKA sasa kama yeye na mumewe walikuwa separated kabla ya hapo ni suala lingine lakini huyo bibie kafariki bila ya MUME
Marudiano yanaklubalika lakini mpaka huyo Mwanamke MTALIKIWA AOLEWE NA MTU Mwinginge kisha aachwe ndipo MTALIKI wa mwanzo anaweza kuoa tena
MFANO WA AMINA:
MEDI MPAKA NJIA ATOE TALAKA
ZITO KABWE AOE
KISHA AMINA AACHWE
MEDIA ANARUHUSIWA KUOA TENA
reference ni hapa:[Suratul al-Baqarah, Aayah ya 230]