Buriani Benard Membe, Umepigana Vita Vilivyo Vitakatifu, Mwendo Umeumaliza, Imani Umeitunza, Madeni Yako Yaliyobakia Karma Itakulipia!

Hivi inawezeka kwenye kile kinyang'anyiro Cha urais 2015, Mr January ndio alikuwa anahitajika, Kama sio kundi la edwad kupiga Kura ya hasira, Basi bwana huyu bado tunaye sana
 
Pasco ! Jaribu muda mwingine kuficha japo kidogo tuu uelewa wako finyu!
 
Mungu aiweke roho yake mahala panapostahili.
Mkuu Pascal, Membe ameshakata kauli hana tena uwezo wa kusamehe wala kuadhibu,kwa yeyote yule anaehitaji msamaha kutoka kwa Benard Membe (marehemu)amuombe Mwenye-ez-mungu badala yake.
 
Mkuu Paskali, mbona unapitwa na basic fact kuwa Balozi Asha Rose Migiro ndiye waziri wa kwanza wa mambo ya Nje wa JK 2007; na BKM alifaidika kurithi nafasi iliachwa wazi baada ya balozi Asha kuteuliwa na Ban Kim Moon kuwa N/Katibu Mkuu UN.
Pia nikukumbushe, Rais Benjamin W Mkapa alikuwa waziri wa Habari na Utengazaji na baadae waziri wa Elimu ya Juu, Sayansi na Technology akiwa anachukua form ya kugombea Urais. Kipindi cha pili cha Mzee Ruksa 1990-95; waziri wa mambo ya nje alikuwa Mzenji (balozi Hasan Diria)

So far, kaka mkubwa uko vizuri sana kwenye uandishi wako na nikupe angalizo na kukumbuka small facts ku-decorate uandishi wako hapa na kwenye mainstream media!

Asante kaka mkubwa.
 
Pasco
(1.) usiseme alitegemewa kuwa rais sema alitarajiwa kuwa raisi.
(2) Usilazimishe mwandishi aombe msamaha yeye alisisitiza anauhakika na tuhuma alizotoaga!! Msisitize atimize agizo la mahakama.
(3) Usikazanie Membe alimsamehe Wewe hauko rohoni make na swala la karma sio Kwa membe tuu waliotusiwa na Huyo mwehu niwengi unaowajua na usiowajua.
(4) Mwandishi mwehu aliwasema vibaya watu wengi kumtaka amwombe msamaha marehemu pekee ni uzwazwa na kurukia mambo yawezekana wapo waliokasirika zaidi hawakuamini mahakama wako waliomshtaki Kwa Mungu na wengine Kwa wachawi!
(5) Membe anatajwa Kwa mazuri mengi ukifananisha na mabaya nahilo ndiyo muhimu sikuwa hakuwahi kukosea.
(6) umesoma SHERIA hukumu haikomi pale mshtaki anapokufa wapo next of kin wake so tuwe watulivu gtuone yanayofuata
RIP Membe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…