TANZIA Buriani Dr. Gilbert Sanga a.k.a Gill Biz

TANZIA Buriani Dr. Gilbert Sanga a.k.a Gill Biz

Tutakukumbuka milele milele yote, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema.

Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa.

JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose ID yako na iendelee kubaki kificho.

Hi-Lo tumelitenda kwa nguvu ya Mungu atupaye Leo na kesho.

Lala kwa amani Ninja

Pole nyingi Kwa familia ya Mr F SANGA,
Marehem alikuwa role modo, kitaa hapa walikuwa wanataka kuwa Kama Dr sanga
Namimi na disclose other information
 
uwiiiiiii...uwiii....nn kimemsibu? jamani aliwahi nitxt...aise kweli kifo ni fumbo ..nimeumia mno mno..rip Mshikaji
Alikuwa anamhudumia mgonjwa, akasema hajisikii vizuri anaenda wodini kupumzika. Alipofika wodini, akakipanda kitandani cha wodini, hakuamka tena.
 
Uliniasa nisi disclose ID yako na iendelee kubaki kificho. Hi-Lo tumelitenda kwa nguvu ya Mungu atupaye Leo na kesho.
Alijua anakaribia kufa?

Unajua ungefanya la maana kama bila ku-disclose unhesema tu kuwa member fulani wa JF hatunae tena. Bado tusingejua alikuwa nani na tungerudi kuangalia michango yake na kumkumbuka kwa hayo. Na bado uneweza kuweka hii thread bila kutamka alikuasa ili tusiunganishe. Ingekuwa bora zaidi
 
Back
Top Bottom