Buriani Kambale, umetesa sana Ukonga

Buriani Kambale, umetesa sana Ukonga

Sasa ndg yangu kaka yangu diwani mnyonge
Mbn ume shindwa kumshauri mpaka anajenga bwawani pale[emoji23][emoji23][emoji23] mvua zkija zinamtesa

Ova
Ngonji alihamaga mitaa hiyo muda ila mitaa hiyo ilikuwa a napendaga Kuja
Wazee wenyewe wanakuambia Ngonji alikuwa na sifa mbili (1)ana shaba hatari (2)alikuwa anajua kutumia pikipiki balaa

Ova
Ila ule mtaa si ilikuwaje ukawa na mijambazi maana ukigeuka huku Mashaka humo ndani kwa kina Ngonji kwenyewe balaa zaidi ya mmoja ila askari wakikuchoka wanakugeuza chujio tu
 
Sasa ndg yangu kaka yangu diwani mnyonge
Mbn ume shindwa kumshauri mpaka anajenga bwawani pale[emoji23][emoji23][emoji23] mvua zkija zinamtesa

Ova
Songoro sijui nani alimdanganyaga kuna siku kitu kilikuwa usawa wa geti lakini wala hajali,ila diwani mtu poa sana kwa kweli
 
Alikuwa mwanangu Miaka 100
Mpk Leo tuko poa licha hatujawasiliana kitambo
Mazab Zab yngu mengi alikuwa anayazima[emoji23][emoji23]

Ova
 
Ila ule mtaa si ilikuwaje ukawa na mijambazi maana ukigeuka huku Mashaka humo ndani kwa kina Ngonji kwenyewe balaa zaidi ya mmoja ila askari wakikuchoka wanakugeuza chujio tu
Ngonji naona Ile ilikuwa kwenye damu na familia
Ngonji alimuaga mshikaji mmoja alafu tulikuwa tuna jua tangu siku hyo ngonji sijawahi ongea naye wala msalimia,
Kuna dogo moja jimy jo ngonji aliwaingizaga kwenye kund lake..... Msala waliupata
Ile mitaa sijui ilikuwa je alafu watu wenyewe ukiwaona utasema walookoleeee

Nakumbuka kuna siku alikuja mahali na kifuko kumbe ndani kimejaa pesa hakuna mtu alijua,wakati anaondoka ndo akazionyesha kama kawaida vijana wakaanza tamaa unajua aliwaambia nini "anayetaka kesho saa kumi tukutane ...... tuyapange" uzuri kipindi kile neema sidhani kama aliwapata ila vijana wamechoka sasa hivi nakuambia wote wangekuwa wahanga wa Ngonji kwa kweli polisi walitusaidia sana
 
Alikuwa mwanangu Miaka 100
Mpk Leo tuko poa licha hatujawasiliana kitambo
Mazab Zab yngu mengi alikuwa anayazima[emoji23][emoji23]

Ova
Mtu wa watu diwani ila kujenga pale ndo uzwazwa wake unapoonekana
 
Nakumbuka kuna siku alikuja mahali na kifuko kumbe ndani kimejaa pesa hakuna mtu alijua,wakati anaondoka ndo akazionyesha kama kawaida vijana wakaanza tamaa unajua aliwaambia nini "anayetaka kesho saa kumi tukutane ...... tuyapange" uzuri kipindi kile neema sidhani kama aliwapata ila vijana wamechoka sasa hivi nakuambia wote wangekuwa wahanga wa Ngonji kwa kweli polisi walitusaidia sana
Yule alikuwa nyok
Kuna kipindi alikuwa anatafutwa sana
Kuna siku moja nlikuwa narudi mitungi mbayaa
Nkashuka pale buibui kama unavyo jua pombe nksema home sipendi Ngoja nkapige moja mbili
Nashuka pale de mug hotel ya zamani kwenye open space nkaona mtu kalalia pikipiki inanguruma, hpo nko bwx nkasikia ananiita Jina la Mtaani.. Mhh nkamkaushiaaaa mm huyoo
Kule ilikuwa lazima aje kwa dem wke yule
Na Ile mitaa alikuwa anaipenda si aliishiigi
Polisi kumuondoa walifanya vzr sana alikuwa mnyamaa yule

Ova
 
Nakumbuka kuna siku alikuja mahali na kifuko kumbe ndani kimejaa pesa hakuna mtu alijua,wakati anaondoka ndo akazionyesha kama kawaida vijana wakaanza tamaa unajua aliwaambia nini "anayetaka kesho saa kumi tukutane ...... tuyapange" uzuri kipindi kile neema sidhani kama aliwapata ila vijana wamechoka sasa hivi nakuambia wote wangekuwa wahanga wa Ngonji kwa kweli polisi walitusaidia sana
Kuna mangi mmj alikuwa anamuachiaga kiroba kakifunga, anamwambia niweke mzg
Tukamwambia ww unatafuta balaa utaenda kusaidia polisi ohoooo
Anawekaga vipisi yule

Ova
 
Nlikutana naye siku moja
Nlikuwa natoka big John alafu nlikuwa mitungi
Kuna jamaa akanionesha Ukisikia kambale ndy hyo

Ova
Hahaa mzee big john unapapata?ndo ilikuwa night club yang kipind nipo ukonga
 
Ila ule mtaa si ilikuwaje ukawa na mijambazi maana ukigeuka huku Mashaka humo ndani kwa kina Ngonji kwenyewe balaa zaidi ya mmoja ila askari wakikuchoka wanakugeuza chujio tu
Oy Mashaka yule wa somewhere Gongo la Mboto??
Hivi yupo wapi siku izi??

Ilikua 2016...tulimkamata maeneo ya Mnazi mmoja ...tulimpa kipigo cha mbwa mwizi.....piga sana karibu tuue...tukampeleka Central...ndugu zake wakaja kumtolea fidia ya 1m tukamuachia....

Mtoto wake wa kike alikua analia kama mtoto.....

Hajafaga kweli yule?
 
Hahaa mzee big john unapapata?ndo ilikuwa night club yang kipind nipo ukonga
Pale bwana Nisha piga sana mtungi
Ila nlikujaga pashindwa
Alafu kun chimbo moja Hivi kona ya kuelekea banana Kuna sehemu liuwanjaaaa kna vibar kama 100 pale ukiwa tungi ukitoka ukirudi unaweza sahau kituo chako aisee ulichokuwa

Ova
 
Oy Mashaka yule wa somewhere Gongo la Mboto??
Hivi yupo wapi siku izi??

Ilikua 2016...tulimkamata maeneo ya Mnazi mmoja ...tulimpa kipigo cha mbwa mwizi.....piga sana karibu tuue...tukampeleka Central...ndugu zake wakaja kumtolea fidia ya 1m tukamuachia....

Mtoto wake wa kike alikua analia kama mtoto.....

Hajafaga kweli yule?
Sio huyo yeye alikuwa jambazi la silaha aliuliwa kitambo kidogo kwenye tukio,ukimuona humdhanii aisee aliumizwaga mguu tukajua kaacha kumbe ndo kwaaaanza wanambeba wanaenda nae kwenye tukio.Hajawahi kuwa na mtoto inasemekana walimhasia
 
Duh siamini ila sasa nimejua kila.mjanja ana mjanja wake. Huyu jambazi katesa sana watu kaua sana madereva wa bodaboda za Mombasa.

Alikuwa akikamatwa anafikishwa polisi mnajua anaishia huko wiki inayofwata anatoka na kufanya mara mbili ya aliyofanya huko nyuma.

Pongezi kubwa Mh. Mambosasa na kikosi kazi chako. Nahisi wote waliokuwa naye sasa wataacha
Lala Kambale pumzika dunia ilishakuchoka.
Hana tofauti na CCM inayopola haki za watanzania
 
Marehemu alikua mtu mzuri sana

Marehemu alikua hapendi ugomvi na mtu

Tutamkumbuka marehemu kwa jinsi alivyojitoa kwa jamii

Hakika tumeondokewa na kijana tulie muhitaji sana

Eeeh baba tusaidie maana tunapitia kpindi kigumu

Siku ya mazishi yatasikika hayo maneno
Hana tofauti na CCM inayopola haki za watanzania
 
Pale bwana Nisha piga sana mtungi
Ila nlikujaga pashindwa
Alafu kun chimbo moja Hivi kona ya kuelekea banana Kuna sehemu liuwanjaaaa kna vibar kama 100 pale ukiwa tungi ukitoka ukirudi unaweza sahau kituo chako aisee ulichokuwa

Ova
Hahaa. Pale java au?
 
MPWA MRANGI
NAONA NA PALE DARAJANJ KUMETULIA AMA MLIWAPIGA AK47 MPWA
 
Big Johhns pana club pale au ki pub tu cha kawaida
Pana night club but ni ndogo sana,ukizunguka kwa nyuma kama car wash,kuna kipindi madem walikuwa wanakuja hapo kudanga ,yaan ukitaka kucheza nae lazima ulipie mzee
 
MPWA MRANGI
NAONA NA PALE DARAJANJ KUMETULIA AMA MLIWAPIGA AK47 MPWA
Pale tuliporudi mjni tuliwashuliikia kdg
Ila kwa sjajua kama wamerudi
Pale tukiwepo tnawadhibitigi sisi tukitoka wanarudi[emoji23][emoji23][emoji23]

HAHAHAAAA inabidii tuwamalizee KABISAA wasiirudi TENA
 
Back
Top Bottom