Buriani Kambale, umetesa sana Ukonga

Buriani Kambale, umetesa sana Ukonga

Wale jamaa.lkama wamesomeaa mazoezi ya jkt sio kwa ubora ulee
 
Wale jamaa.lkama wamesomeaa mazoezi ya jkt sio kwa ubora ulee
Sema utu uzima unanichkuaa mbio Sina siku hzi
Kna siku tulitambaa kuwakimbiza chini ya daraja tukatokeaa coca cola ila tulimshika mmja
Moto aliuona.... Kwanza Ilibidi tumpige fine maana alitutoa stim za bia kichwani

Ova
 
Duh!!!
Alikuwa mtukutu kumbe?
Dunia ina mengi ya sirini hii!!!
Huyu Dogo alinisaidia sana 2014-2015 nilikuwa Nina kazi inayonifanya usiku mnene nikalale ukonga Mombasa au maeneo ya Moshi bar.
Siku moja usiku mnene kwenye SAA saba inaelekea SAA nane nikiwa natembea opposite na ffu ukonga nivuke barabara niingie gereji ccm, nikavamiwa na watoto Wa panya road, ile natafakari nifanye nini akatokea huyu jamaa kwenye uchochoro akawaambia muachieni huyo sister ni MTU poa sana, akanipa namba ya simu nami nikampa yangu nikamuachia buku5 ikawa namtafuta kila nikiwa naenda hayo maeneo, nikajuaga ni mwema kinoma yaani.
Apumzike zake tu!
 
Nlikutana naye siku moja
Nlikuwa natoka big John alafu nlikuwa mitungi
Kuna jamaa akanionesha Ukisikia kambale ndy hyo

Ova
Nilikuwa natafuta comment yako maana ...Jiji umelikama kiganjani.... Ha ha haa !!
 
bola alikuwa anadili na bodaboda kwa jinsi mlivo tabia zenu kujiona sio wakosaji kwa wenye magari
 
Back
Top Bottom