Buriani: Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeth wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia

Buriani: Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeth wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia

Malika Elizabeti wa Pili

220908114827-01-queen-elizabeth-2015.jpg


Elizabeth Regina

830862-1537871872.jpg


Elizabeth Regina with Julius Kambarage Nyerere of Tanzania. Royal Tour of Tanzania, 1979.





Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeti wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia leo Septemba 8 2022 huko Kasri la Balmoral, Uskochi, Uingereza.

Malika Elizabeti amefariki akiwa mtawala aliyetawala Uingereza kwa muda mrefu kuliko watawala wote.
Amekuwa mtawala wa Uingereza kwa zaidi ya miaka 70, kuanzia mwaka 1952. Akiwaandika mawaziri Wakuu 15 Uingereza.

Ni mkuu wa nchi pekee aliyekuwa amesalia aliyewahi kupigana vita vikuu vya pili vya dunia.

Uingereza inafanya siku kumi za maombolezi za kitaifa.

Mwanamfalme Chale anakuwa Mfalme Chale wa Tatu.

Elizabeti wa Pili alikuwa Malika wa kwanza na wa mwisho wa Tanganyika kati ya mwaka 1961 na 1962 kabla Tanganyika haijawa Jamhuri.

Tunamshukuru kwa mema yote aliyofanya na mifano izuri aliyotuachia.

Kwa makosa yake yote tupate kujifunza.
@Kiranga umenifurahisha kwa huo usimulizi.
Kongole.
 
Kwetu wote tumeanza makapuku. Hata hao watoto wa machifu. Na Nyerere mwenyewe kwaweka wote sawa, tuwe na nchi ya watu sawa.

Unaenda Ikulu, unaonea na Nyerere vizuri mpaka unamuomba tausi, na Nyerere asivyo na akili nzuri anakuitia mlinzi wa Ikulu na yeye mwenyewe rais wa nchi anakuahidi kukupa tausi. Mpaka leo namdai tausi wangu mzee yule!

Mpaka kukua kwa kaka Makongoro Charles Nyerere tulikuwa tunaenda sherehe za kwao Ikulu tunamuita "Kaka Mako" au "Kaka Chale".

Muulize Grimey Magombe, mtoto wa marehemu Balozi George Magombe, anazijua parties hizo za Nyerere tulizoenda miaka hiyo ambao tumeijua historia ya Ikulu ya Tanzania kabla hatujazaliwa kwa sababu mama zetu walitembea corridors za Ikulu tangu tuko tumboni na kabla hatujazaliwa.
GrimmeyMagombe yuko wapi siku hizi? Mtoto wa mjini huyo!!
 
Moja ya sababu nikwamba alitumia Kijapan cha awali sana, cha daraja la juu sana, Wajapani wa kawaida wa muda huo hawakumuelewa.
Kwa hiyo ujumbe uliotarajiwa haukuwasilishwa! Na lengo la hotuba yake hiyo halikutimia kama hotuba yake haikueleweka.

Aliona aibu /soni kusema watu wamuelewe, kwamba wameshindwa vita? Mbona matokeo yalikuwa ni yaleyale, na hakuna kilichobadilika!

Najuwa pale Upanga kuna mtaa wa "Malik", hata mie si mgeni sana pale mahala.
 
Kwa hiyo ujumbe uliotarajiwa haukuwasilishwa! Na lengo la hotuba yake hiyo halikutimia kama hotuba yake haikueleweka.

Aliona aibu /soni kusema watu wamuelewe, kwamba wameshindwa vita? Mbona matokeo yalikuwa ni yaleyale, na hakuna kilichobadilika!
Labda alitaka kufundisha watu Kijapani cha asili.
 
Siwezi kubishana na wewe kwa Sababu unaonekana Hilo vazi la u much know huwezi kuvua pi naomba nikupe ushauri mtu mzima akivuliwa nguo huchutuma na kukusaidia hilo jina CHARLES kuandika CHALE ulikosea ila kwa Sababu hutaki kuabika unashupalia ujuaji.
Ni kama Mohamed na Mud
 
Back
Top Bottom