TANZIA Buriani Mama Tumaini Kakuyu Mlewa, Mpambanaji hodari, mwasisi wa shughuli za usafi maofisini na upambaji wa kumbi za mikutano, sherehe nk

Laana aliyotuachia mwendakuzimu yani tangu aondoke ndugu zetu na wapendwa wetu wanapoteza maisha sana. Its not fair at all!

JF Member
 
Ametimiza kusudi la Mungu sote ni wapangaji,kabla ujaondoka duniani,fanya kitu cha faida ukumbwe hata usipokuwepo Ili uje umkumbushe Mungu akupunguzie adhabu.
Nilijenga msikiti, kanisa,kisima,shule,daraja,nk.
 
Niko kanisani, kanisa limezizima
 

Apumzike kwa amani mja wake mola huyu.

Acha tuwasaidie wale wanaojiona ni wazalendo zaidi:

"Aroo! Siyo Corona hiyo. Ni magonjwa mengine. Kama malaria, kisukari, pressure, pumu, seli mundu na saratani."

Kwanza mtu hawezi kuishi milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…