Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Muumini mwenzako pale Mbezi Beach LutheranShe was also a beutiful lady.
Tutammiss.
RIP Tumaini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muumini mwenzako pale Mbezi Beach LutheranShe was also a beutiful lady.
Tutammiss.
RIP Tumaini.
Yes wamezaliwa baba mmoja mama mmoja, walifuatana kuzaliwaAna uhusiano na Kakuyu aliyekuwa PPF?
Hakuna mtu aliondoka kwa heshima kubwa kama JPM kama hujuiSafi sana ameondoka kwa heshima.
Mungu amlaze pema AminYes wamezaliwa baba mmoja mama mmoja, walifuatana kuzaliwa
Ndiyo, Emmanuel mdogo wake.Ana uhusiano na Kakuyu aliyekuwa PPF?
Yes , kuna sehemu watu walikunywa pombe kusheherekea!Hakuna mtu aliondoka kwa heshima kubwa kama JPM kama hujui
Aina yako ndio watu huliwa kalio na shetani kwanza kabla ya kuwapeleka motoni.Ni kweli kabisa hizo ndo legacy sio zile za mwendazake Shetani Magufuli
Huwezi kupendwa na kila mtu kama asali au kuchukiwa na kila mtu kama mavi ingawa siku hizi vijana wanazama chumvini na hukoYes , kuna sehemu walikunywa pombe kusheherekea!
Niko kanisani, kanisa limezizimaNimefanya kazi kwenye kampuni yake kwa zaidi ya miaka kumi, hatukuwa na mahusiano ya damu. Wala hakuwa ndugu yangu kabisa, lakini huyu Mama hakuwahi kumuacha mtu aangamie.
Mishahara haikuwa mikubwa, pia mishahara haikuwa kidogo, kampuni yake ilikuwa kioo kwa malipo mazuri kwa kampuni za usafi.
Nilianza kazi kwake nikiwa nimemaliza form four na div 4 ya point 26 mwaka 1998.
Akanishauri nijiendeleze kielimu, nikamwambia Mimi nasomesha wadogo zangu.
Akanipeleka Mwenge Mzumbe QT, kwa gharama zake nikarisiti na kupata div 2.
Kwangu ilikuwa nu furaha kubwa na huzuni pia, nikijiuliza wadogo zangu wawili watasomaje?
Huyu Mama hakuwajua ndugu zangu, lakini alitusomesha wote watatu.
Tunaposema huyu Mama ni mfano muwe mnaelewa.
Hajabadilisha maisha yangu tu, ila ya watu wengi pia.
Zaidi ya wamiliki 85% wa makampuni ya usafi amewasaidia kwa namna Moja ama nyingine
View attachment 1885747
Tumaini Kakuyu Mlewa alikuwa ndiye mtu wa Kwanza kuwa na kampuni professional ya usafi akichukua tenda kwenye ofisi za makampuni mbalimbali, mahospitali viwanda nk kupitia kampuni yake ya Fame Consolidated Services LTD.
Pia aliasisi shughuli za upambaji wa kumbi za starehe, mikutano etc.
Huyu Mama hakuwa mwanasiasa, ila wajasiriamali tunamlilia sana.
Mungu mpokee
Niko kanisani, kanisa limezizima
Mbona hapo kama sio mzee yani kama mama wa makamo tuuHata pale kanisani kwake ni huzuni kubwa, alikuwa Mzee wa Kanisa KKKT Mbezi Beach, mzee mfano wa kuigwa.
Sisi ndo tumeachiwa deni ,kuendeleza maswaLaDeni sio pesa. Ni legacy.. mama ameacha legacy yake kama mtoa mada alivyosema. Inatosha sana