sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Kwani kuwa mzee wa kanisa lazima uwe mzee ki umri?Mbona hapo kama sio mzee yani kama mama wa makamo tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuwa mzee wa kanisa lazima uwe mzee ki umri?Mbona hapo kama sio mzee yani kama mama wa makamo tuu
Uko wapi hapa ndani?Niko kanisani, kanisa limezizima
Wajasiriamali Mnamlilia? Sio kwamba ameacha gap la nyinyi kuziba na kujinufaisha?View attachment 1885747
Tumaini Kakuyu Mlewa alikuwa ndiye mtu wa Kwanza kuwa na kampuni professional ya usafi akichukua tenda kwenye ofisi za makampuni mbalimbali, mahospitali viwanda nk kupitia kampuni yake ya Fame Consolidated Services LTD.
Pia aliasisi shughuli za upambaji wa kumbi za starehe, mikutano etc.
Huyu Mama hakuwa mwanasiasa, ila wajasiriamali tunamlilia sana.
Mungu mpokee
Nakutumia namba yangu PMUko wapi hapa ndani?
Unajua siye wasukuma tumewaoa.
Asante sanaPole mkuu.
Sasa unajibu kwa kuuliza??mimi nimeuliza ulipaswa kujibu.Kwani kuwa mzee wa kanisa lazima uwe mzee ki umri?
Jibu liko humo.Sasa unajibu kwa kuuliza??mimi nimeuliza ulipaswa kujibu.
Sawa bin sawiaJibu liko humo.
Ana miaka 61,sawa na SSH.Mbona hapo kama sio mzee yani kama mama wa makamo tuu