TANZIA Buriani Mama Tumaini Kakuyu Mlewa, Mpambanaji hodari, mwasisi wa shughuli za usafi maofisini na upambaji wa kumbi za mikutano, sherehe nk

TANZIA Buriani Mama Tumaini Kakuyu Mlewa, Mpambanaji hodari, mwasisi wa shughuli za usafi maofisini na upambaji wa kumbi za mikutano, sherehe nk

View attachment 1885747

Tumaini Kakuyu Mlewa alikuwa ndiye mtu wa Kwanza kuwa na kampuni professional ya usafi akichukua tenda kwenye ofisi za makampuni mbalimbali, mahospitali viwanda nk kupitia kampuni yake ya Fame Consolidated Services LTD.

Pia aliasisi shughuli za upambaji wa kumbi za starehe, mikutano etc.

Huyu Mama hakuwa mwanasiasa, ila wajasiriamali tunamlilia sana.

Mungu mpokee
Wajasiriamali Mnamlilia? Sio kwamba ameacha gap la nyinyi kuziba na kujinufaisha?
 
Back
Top Bottom