Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Huo msamiati kwa wasiohusika haueleweki!Mbona watu wa humu siyo waelewa? Hakuwa informer na Wala hakuwa na issue hizo.Alifanya kazi maalum kwa muktadha wa kazi ya ualimu.Mna nini lakini?
Mgesindikizia habari hii ngumu na picha,walao walioshiriki kazi maalum kwa nyakati tofauti wamfahamu.