Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Sarri,Pole sana mzee Muddy
Nishapoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sarri,Pole sana mzee Muddy
T...Pole sana
Nafurahi tu kusoma makala zako , maisha yako yana kumbukumbu nyingi sana za picha , hakika ulikuwa makini sana kwa kila kitu ulichokuwa ukifanya enzi zako,
Masupio,Pole sana Mzee; nimefarijika jinsi unavyoeleza details za namna unavyomfahamu Waziri na urafiki wenu wa muda mrefu. Pole kwa kupoteza rafiki mliodumu na hongera kwa uandishi uliotukuka.
Hakika baba alikufanyia jambo jema kabisa kukuoatia kameraT...
Baba alinipa camera ya Kodak nikiwa na miaka 12 na kuanzia hapo nikapena sana kupiga picha.
Kwana nikipenda kujipiga mimi mwenyewe siku hii napenda kuwapiga wengine.
Sisi tulizaliwa katika kipindi muhimu sana cha historia ya Tanganyika hasa sisi ambao tuliozaliwa au kukulia Dar es Salaam.
Nimeshuhudia mengi sana udogoni.
Mkuu kusema kweli wewe ni muhandishi mzuri sana kwenye mambo ya zamani na uzuri wake habari zako zote mara nyingi unaweka picha.Tek...
Thanks for the generous, very generous compliment.
Indeed there are many, many regrets but you cant turn back the clock.
It was fun while it lasted.
My kids would sneak into my photos and ask me, ''Dad is this really you!''
''Why?''
''Dad you were cool!''
Mdukuzi,Nimejifunza kitu.picha ni ushahidi mzuri sana bila picha humu jf ungeonekana story za kutunga
Ox...Mkuu kusema kweli wewe ni muhandishi mzuri sana kwenye mambo ya zamani na uzuri wake habari zako zote mara nyingi unaweka picha.
Inaonekana una mambo mengi ambayo kwa njia moja au nyingine sisi vijana wa siku hizi tunaweza kujifunza.
Nakushauri kila wiki utuletee historia/jambo lolote lile linaweza kutusaidia. Mimi binafsi namjua Waziri kupitia Kilimanjaro band na naamini kwamba kwa ukaribu wako na yeye ungeweza kufanya interview nzuri ya maisha yake kabla ya kufariki kuliko mtu yoyote.
Kama kuna watu maarufu wengine uko nao karibu ni vizuri kuanzisha makala ya kila mwezi kama sio wiki tupate kujua walipoanzia sio mpaka wanapo fariki.
Na usichoke kuweka taarifa hapa kutokana na changa moto unazopata kwamba wewe ni mdini. Hapana wote tumekulia maisha tofauti, kama umekulia maisha ya uislamu basi tunategemea utuletee habari/historia zinazoendana na malezi yako. Na wengine nao wataleta habari/historia zao kuendana na malezi Yao.
Nakutakia kila la kheri, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu na tuendelee kujifunza kutoka kwako.
Niliwahi kusoma kitabu kinaitwa how to win people bila shaka unafua yale yaliyoandikwa kwenye hicho kitabu bila kujuaMdukuzi,
Kuna mambo hata mimi yananishangaza sana.
Inakuwaje leo nikiangalia nyuma kuweza kujuana na watu wengi kiasi hiki?
Nashukuru.
Mdukuzi,Niliwahi kusoma kitabu kinaitwa how to win people bila shaka unafua yale yaliyoandikwa kwenye hicho kitabu bila kujua