Buriani Rosemary Kambarage Nyerere

Buriani Rosemary Kambarage Nyerere

Mtu anaweza feli lakini akipata second chance akijitambua anatoboa .Kwamba walifeli hapa wakaenda kutoboa nje haiondoi uwezekano wa wao kufeli kihalali.
So inakuingia AKILI wanafunzi walio join ni 50+ halafu waliomaliza ni 24? Tunaweza kubishana but ukweli utabaki kua, baadhi ya maprofesa walikua wanawafelisha wananfunzi makusudi.

Nikupe mfano mmoja, mwanzoni mwa miaka ya 90 nilikua A level, kwenye mtihani wa kumaliza form 6, wenzetu waliotutangulia mwaka 1 kwa paper ya Biology, mwalimu mmoja kutoka mkoa wa Arusha by that time (kabla mkoa haujagawanywa ) madarasa yalikua 5 but kwenye paper ya practical walisimamia walimu 2 na ndio walikua wakifundisha somo hilo la Biology hapo shuleni, huyu mwalimu kutoka Arusha na Mwingereza mmoja hivi (wote majina yao nayahifadhi ), ticha huyu mswahili alifelisha wanafunzi wake almost wote wakati yule mwingereza alijali sana nini wanafunzi walicho kifanya. Kwenye practical msimamizi kuna vitu hua ana comment ili kuwarahisishia wasahihishaji, so huyu Mswahili alicomment kwa kukomoa, wakati wanafanya majumuisho, yule Mwingere akachukia sana, huyu mswahili akasema namna hi, " eehe, wanataka kwenda kusoma medicine Muhimbili wakati mimi nilishindwa". Yule mwingereza aliachia ualimu wa hiyo shule mwaka huo huo na kurudi kwao. Hatusemi kwa kukisia, wengi wetu tuna roho mbaya sisi Watanzania
 
wakiwa huko nje walikua wanajishughulisha kama walivyokua hapa bongo!?.. sikatai kua kuna tatizo, ila naamini tatizo kubwa linakua kwa wanafunzi kupenda mteremko na baadae wakifeli kutafuta mtu wa kumpa lawama.. ma lectuters pia hua hawapendi hicho kitu maana kiuhalisia kina-wa discredit!
Kaka, umesajiri wanafunzi 50, wanamaliza 24? Tena hao uliosajiri ni cream hasa kutoka A level??? Nakubalia wanafunzi wana tatizo but hatuwezi kukwepa hili la walimu wao wapya.
 
..UDSM inachukua cream of the cream ya wanafunzi wa Tz.

..Faculty of Law wanachukua cream ya wanafunzi wa HGL, KLF, etc.

..Faculty of Commerce wanachukua the best of the best ya wanafunzi waliochukua EGM, ECA, na Diploma ya CBE.

..Faculty of Engineering wanachukua cream ya PCM, PGM, na best students toke Technical College/ FTC.

..Faculty of Medicine wanachukua cream of the cream ya wanafunzi wa PCB, na Medical Assistant.

..Sasa kwanini failure rates za Medicine na Engineering zinakuwa ziko juu kulinganisha na za faculty kama Law, Commerce, wakati waliofanikiwa kufika UDSM ni cream of the cream kutoka high schools na vyuo vya kati?

..Kuna mchangiaji amesema mwaka 1982 Faculty of Medicine ilipokea wanafunzi 50, lakini 26 hawakufanikiwa kumaliza. Binafsi sina kumbukumbu ya wanafunzi wengi kiasi hicho kushindwa kumaliza masomo ktk Faculty kama Commerce, Law, na Arts.

..Wanafunzi wengi wa UDSM wa faculty kama Commerce hufurahia masomo yao ya chuo kikuu, wakati wale wa Engineering, na Medicine, hulalamika wakati wote kuhusu hofu waliyonayo.

..Je, tatizo liko kwa wanafunzi wetu wanaochukua PCB,na PCM, au tatizo ni course work ya faculty za Eng na Med, au tatizo ni wahadhiri?

cc Zakumi, Mazindu Msambule
Kwanza pale UD ilijengeka tabia ya kudhani kwamba wasomi wa sayansi hasa engineering ndio wasomi hasa, hi kitu imebadirka sana juzi kati tu hapo baada ya Kikwete kuingia madarakani, alipoweka makamu mkuu wa chuo Ngwini, kina profesa Matthew Luhanga waliwajengea akilini wanafunzi wa sayansi kua ndio hasa vipanga na hi pia ilipelekea hata wahadhiri wa masomo hayo sometimes wamefelisha sana wanafunzi makusudi hasa miaka ya 80 na mwanzoni mwa miaka ya 90; sio kweli kwamba mara zote wanafunzi ni wazembe, mara nyingi wamefelishwa makusudi.
 
Lakini lecturers walikuwa na roho mbaya sana....unachukua cream of the cream iliyomaliza form six na baadaye unafyeka nusu nzima. Intake ilikuwa na 50 na wanamaliza 24 .... Kipindi hicho nchi ilikuwa na idada ya karimu na milioni 20 na chuo kinatoa 24 graduates of medicine. So sad.
Walikuwa wajuba kweli kweli.
 
Nimepata somo murua, na nimeona ukweli yote uliyosema, afu nahisi wee ni mhadhiri wa chuo, tena huko nje.
Sio kwa madini haya lol, [emoji120][emoji120][emoji120]
Ulichoandika nafikiri unanifahamu sana kama wanavyonifahamu wazazi wangu,inanihusu sana hiyo phrase yako.Engineering sehemu kubwa ni vectorial mechanics,kama hukusoma vizuri vector o level na A level,pamoja na mengine madogo madogo,engineering itakusumbua sana,wakati namaliza form iv hatukuwa na mwalimu wa hesabu baada waalimu wetu wa kirusi kuondoka,kumbuka vector ilikuwa ni form iv,nilipoingia A level tulikosa mwalimu wa hesabu hadi tulipoingia second term ya form v,kuingia FoE sasa ndipo sokomoko likaanza.Watanzania tumshukuru Mungu na Baba wa Taifa.
 
Kwa wale tulioingia Chuo Kikuu cha Dar-es –Salaam faculty of Medicine enzi hizo intake ya mwaka 1982 tutamkumbuka ndugu yetu huyu mcheshi sana Rosemery Nyerere.

Miaka hiyo intake moja ilikuwa inachukua wadahiliwa 50 na majina yote tulikuwa tunayakuta kwenye gazeti la Daily News, gazeti la serikali. Basi mwenzetu huyu alifanikiwa kuwa mojawapo wa wateule wachache waliofanikiwa kuingia katika intake ya mwaka 1982 July. Katika intake hiyo tuliofanikiwa kumaliza tulikuwa 24, wengine either walidsco, waliacha tu au walibadilisha course jukwaju.

Rosemary Nyerere hakufanikiwa kumaliza kwani walimdiscontinue mwaka wa pili. Baada ya hapo aliajiriwa Print park kama sikosei.

Wakati huo Dean of Faculty alikuwa ni Professor Honnoli sijui kama yuko hai, siyo kwamba Rosemary Nyerere alidisco hivihivi bali figisu zilitaka kufanyika ili aendelee lakini nakumbuka kuna Lecturer mmoja toka Jamaica alisimama kidedea mpaka Rosemary aling`oka, nakumbuka kama alikamatwa masomo mawili.

Timu wa walimu wetu enzi hizo ninaowakumbuka ni Professor Massawe, Mwaluko, Makene, Karashani, Kimati, Hiza, Msele na Shaba hawa ndo ninawakumbuka.

Tulikuwa tukiishi Muhimbili na kula cafeteria chakula kizuri kweli ambacho kwa sasa hata mkurugenzi hali, Mfano wali kwa kuku na saa nyingine kuku wa kukaanga, ugali na mbogamboga n.k

Rosemary hakuwa kabisa na mbwembwe zozote kama watoto wa Ma-rais wa sasa kama Yule wa Chalinze, alikuwa ni mwanafunzi wa kawaida kabisa na wala usingemdhania ni mototo wa Rais. Cha kushangaza watoto wa mameneja wakati huo ndo walikuwa wanatisha mfano kuna mtoto alikuwa ni wa meneja wa RTC akuwa anakuja na gari Peugeot 504.

Kama Rosemary Nyerere ametangulia mbele za haki basi Mungu amlaze mahala pema na ninakumbuka kama aliwahi kuwa Mbunge wa kuteuliwa au Viti Maalumu mwaka 2000-2005.
Alikuwa anasoma course gani huyo????
 
Ni kweli kabisa Rosemary Nyerere baada ya discontinuation ya medicine pale Muhimbili baade alikwenda kusoma IDM Mzumbe na ali - graduate May 1989 with Advance Diploma in Professional Accountancy (ADPA) with honor akiwa "Ameua" - amepiga A's course zote. July 1989 Alipangiwa kazi kama Assistant Lecturer pale IFM (now a days IFM University) na kuanza kufundisha course za Accountancy mwaka wa kwanza na na wa pili.

Nakumbuka alikuwa rafiki na mcheshi na mtu wa kujichanganya kwa wote na hata wanafunzi wake. Pale IFM (kule nyuma ya jengo) siku hizo kulikuwa na mgahawa unaendeshwa na serikali ya Wanafunzi (almaarufu kama "MUWATA") ulikuwa ukiuza supu, chips kuku, mishakaki, bia, soda. Nakumbuka pale ilikuwa ni kijiwe alichokuwa akikipenda sana ambapo utamkuta akifurahi baada ya classes zake akipiga bia yake na sigara yake mkononi. Kwa hakika bado namuona akiwa kwenye tabasamu yake, upole na ustaarabu wake na sauti yake nyororo.

Nakumbuka alikuwa ni dada mmoja aliyekuwa akishughulishwa zaidi na mambo yake mwenyewe na ya watu aliyatazama tu na kuyaacha kama yalivyo. Na pia namkumbuka siku hizo kama mdada aliyekuwa akipenda kujichanganya kwenye vijiwe vya wanaume zaidi kuliko wanawake wenzie.

Bwana akutangulie katika safari yako.

RIP Rosemary Nyerere.
Alikua anavuta ad sigara?
 
Kwanza pale UD ilijengeka tabia ya kudhani kwamba wasomi wa sayansi hasa engineering ndio wasomi hasa, hi kitu imebadirka sana juzi kati tu hapo baada ya Kikwete kuingia madarakani, alipoweka makamu mkuu wa chuo Ngwini, kina profesa Matthew Luhanga waliwajengea akilini wanafunzi wa sayansi kua ndio hasa vipanga na hi pia ilipelekea hata wahadhiri wa masomo hayo sometimes wamefelisha sana wanafunzi makusudi hasa miaka ya 80 na mwanzoni mwa miaka ya 90; sio kweli kwamba mara zote wanafunzi ni wazembe, mara nyingi wamefelishwa makusudi.
Hii siyo kweli kabisa, ni hisia zako tu. Kabla ya Prof. Luhanga kuwa VC UDSM iliwahi kuongozwa na Prof Mmari, na Mheshimiwa Kuhanga ambao hawakuwa wanasayansi wala mainjinia !
 

Prof. Geoffrey Mmari​

Prof. Geoffrey Raphael Vehaeli Mmari (Dip. Edu. Ba, Ma, Phd), was Born in Moshi, Kilimanjaro region. He is a renowned educator and visionary who has spent his professional life making important contributions to the educational sector in Tanzania and the world at large.
prof.Mmari


Prof. Mmari's Education Profile​

Prof.Mmari took his primary school education from 1940 to 1946 at Ilembula, Njombe which was followed by two years of secondary school education (1949 – 1950) at Ilboru secondary School Arusha.

During 1951 – 1952, Prof Mmari was a student at Tabora Secondary School and in 1953, he joined Makerere University College of East Africa, Kampala, Uganda for the Diploma in Education course which he successfully completed in 1956.

In 1962, Prof Mmari went to the University of Northern Iowa at Cedar Falls in the United States of America (USA) where he obtained his BA and subsequently his MA in 1964. Upon return to Tanzania, he embarked on his PhD studies at the University of Dar es Salaam from 1968 to 1974. Subsequent to attaining the PhD, Prof Mmari attended various short courses locally and abroad in Nigeria, the United Kingdom and the USA.

Distinguished Service to Education in Tanzania​

Professor Geoffrey R.V. Mmari is a renowned educator and visionary who has spent his professional life making important contributions to the educational sector in Tanzania and the world at large. He started his career as a teacher of mathematics as well as Kiswahili at Kahororo Secondary School, Bukoba in 1957, and later on moved to teach mathematics, physics, geography and Kiswahili at Ilboru Secondary School, Arusha from 1958 to 1962. In 1965, Prof. Mmari joined Tabora Secondary School where he taught Mathematics. In 1966 he moved to Shinyanga Secondary School as Headmaster as well as teacher of mathematics and general knowledge, positions he held up to 1969.

From 1970 Prof. Mmari joined tertiary level teaching when he was appointed Lecturer, Institute of Education of University College Dar es Salaam (1970 – 1973). He quickly moved on into administration at tertiary level education while at the same time being involved in teaching. Between 1973 and 1974, Prof. Mmari was the Director of the Institute of Education at the University of Dar es Salaam and later on became the Head of the Department of Education (1974 – 1977). He went on to become the Dean of the Faculty of Arts and Social Sciences (1977 – 1982) and later on rose to the position of Chief Academic Officer of the University of Dar es Salaam (1982 – 1984). During this upward movement, he continued to be involved in teaching and improvement of teaching of mathematics at secondary and tertiary levels of education in the country. In fact, Prof. Mmari has contributed immensely to improvement of the teaching of mathematics in Tanzania and he has been inspirational in that field throughout his career as an active teacher and as an administrator.

Publications​

Prof Mmari is the author of many journal publications. He is also the co-editor (with Colin Legum) of the famous book titled “Mwalimu: the Influence of Nyerere” published by James Currey in London 1995. Prof Mmari has also edited a number of books in mathematics for secondary schools

Prof Mmari as Vice-Chancellor of three public Universities​

Prof. Mmari has held the position of Vice Chancellor at three public universities. He was the first Vice-Chancellor of Sokoine University of Agriculture (SUA) from 1984 –1988 and subsequently held similar positions at the University of Dar es Salaam (UDSM) from 1988 to 1991 and at the Open University of Tanzania (OUT) from 1993 to 2005. He has also served as the Provost of Tumaini University Dar es Salaam College, (TUDARCo), a constituent college of Tumaini University from 2005 to 2013, from where he recently retired. Throughout his tenure in these institutions, Prof Mmari made positive contributions which can still be recalled and seen as improvements in the running of the institutions of higher learning.

Prof. Mmari’s distinguished Service at SUA as its Founding Vice-Chancellor​

Prof. Mmari occupies an important part of the history of Sokoine University of Agriculture as he, in his capacity as SUA’s first Vice-Chancellor (1984 – 1988), was instrumental in laying the foundation for the success associated with SUA as a wellrespected brand name in academics both nationally and internationally.
While a Vice-Chancellor of SUA, he distinguished himself as a very thorough administrator and a role model in public service. He always endeavoured to dig into the full background of any issue brought to his attention and this was very helpful in running the university while fully informed.
He also made sure that all staff (from the lowest to the highest cadre of employees) could seek and obtain his audience without any bureaucratic hurdles. However anyone who brought any issue to him soon found out that he detested half-truths and lies.

A unique attribute of Prof. Mmari was exhibited by his efforts to physically visit different sections/areas of the university to see for himself the real situation on the ground. There are reports that he walked the whole length of SUA land boundary to determine what should be done to prevent squatter encroachments leading to the reinforcement of boarders and demarcation of SUA land using permanent live landmarks including sisal and trees.

Contribution of Professor Mmari as Vice Chancellor of UDSM​

Professor Mmari’s appointment as Vice-Chancellor of the UDSM in 1988, his former University where he held the position of Chief Academic Officer before moving to SUA, was welcomed as home-coming and many were happy that for the first time in the history of the University, a career academic, was appointed Vice-Chancellor. His tenure at UDSM no doubt contributed to maintaining the academic excellence and world fame the UDSM is renown for. Cases in point include the ability of Prof Mmari to diffuse potentially explosive situations involving aggrieved students or staff, when and if they ocurred.

Prof. G.R.V. Mmari’s Contribution as Vice-Chancellor of OUT​

In his tenure as Vice-Chancellor of OUT, Prof. Mmari greatly contributed to moving OUT to its current successful position at the forefront of open and distance learning in Tanzania and in the East African region. This, he achieved through collaboration with existing distance education institutions as well as conventional Universities, including SUA, which contributed through practical training and writing of training materials including books. At the same time, he greatly advanced the development of OUT staff capacity which consequently raised the profile of the Open University of Tanzania as we know it today.

Prof. G.R.V. Mmari as a Provost of TUDARCo​

His recent past position is that of Provost of Tumaini University Dare es Salaam College (TUDARCo), a position he held from 2005 to 2013. As the leader of this institution, he contributed to the growth and expansion of Tumaini University, as a whole, as evidenced by some of the colleges of the university becoming autonomous universities.

Prof G.R.V. Mmari’s Distinguished Service to Society in other Sectors.​

Professor Mmari has had positive impact in many other institutions and/or sectors through active involvement as Chairman/member of the respective boards. These include the Higher Education Accreditation Council, the National Examinations Council, the Tanzania Family Planning Association, the National Board of Auditors and Accountants (NBAA), Tanzania Posts Corporation (POSTA) and Tanzania National Parks (TANAPA).
At different times he has also been a member of the Councils of different universities in Tanzania namely SUA, UDSM, State University of Zanzibar (SUZA), OUT and Tumaini University. He is a prominent member of the Mathematical Society of Tanzania in which he has also served as Chairman. Prof.Mmari also distinguished himself in the news media in Tanzania where he is a former President of the Media Council of Tanzania (MCT) and Chairman of the Board of Trustees of the same organization.

Other recognition​

In 2003, Prof. Mmari was the recipient of the Dr. Martin Luther King Drum Major for Justice Award which is presented in commemoration of Dr. King’s birthday on January 15th. This is an annual award, by the US Ambassador, honoring Tanzanians who have embodied the indomitable spirit of the Rev. Dr. Martin Luther King Junior and his lifelong peaceful effort to achieve justice for all people.
In 2013 Prof.Geoffrey Raphael Vehaeli Mmari received the award of the degree of Doctor Honoris causa of Sokoine University of Agriculture.
 
Ifm sio university NACTE wamekataa leo
Ni kweli kabisa Rosemary Nyerere baada ya discontinuation ya medicine pale Muhimbili baade alikwenda kusoma IDM Mzumbe na ali - graduate May 1989 with Advance Diploma in Professional Accountancy (ADPA) with honor akiwa "Ameua" - amepiga A's course zote. July 1989 Alipangiwa kazi kama Assistant Lecturer pale IFM (now a days IFM University) na kuanza kufundisha course za Accountancy mwaka wa kwanza na na wa pili.

Nakumbuka alikuwa rafiki na mcheshi na mtu wa kujichanganya kwa wote na hata wanafunzi wake. Pale IFM (kule nyuma ya jengo) siku hizo kulikuwa na mgahawa unaendeshwa na serikali ya Wanafunzi (almaarufu kama "MUWATA") ulikuwa ukiuza supu, chips kuku, mishakaki, bia, soda. Nakumbuka pale ilikuwa ni kijiwe alichokuwa akikipenda sana ambapo utamkuta akifurahi baada ya classes zake akipiga bia yake na sigara yake mkononi. Kwa hakika bado namuona akiwa kwenye tabasamu yake, upole na ustaarabu wake na sauti yake nyororo.

Nakumbuka alikuwa ni dada mmoja aliyekuwa akishughulishwa zaidi na mambo yake mwenyewe na ya watu aliyatazama tu na kuyaacha kama yalivyo. Na pia namkumbuka siku hizo kama mdada aliyekuwa akipenda kujichanganya kwenye vijiwe vya wanaume zaidi kuliko wanawake wenzie.

Bwana akutangulie katika safari yako.

RIP Rosemary Nyerere.
 
Hahahahah
..kuongezea tu, mwaka 1982 pamoja na Muhimbili kuwa ni Kitivo cha Tiba cha Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam, yaani Chancellor, alikuwa Raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 
We mpiganaji wa vita ya kagera kumbe ni mkufunzi hongera kwa kuwa na mawazo ya kujindeleza bila hivyo ungekuwa unagogengea glass za bia kama wapiganaji wenzako.
Nilitumikia vita baada ya kumaliza form Form six nikiwa JKT; baada ya vita nilikwenda chuo kikuu na kuanza maisha mengine ya academia. Nitastaafu mwaka kesho na kurudi Tabora. Mambo hayo yalinikuta ningali kijana mdogo sana, sasa hivi nahitaji mapumziko
 
Nilitumikia vita baada ya kumaliza form Form six nikiwa JKT; baada ya vita nilikwenda chuo kikuu na kuanza maisha mengine ya academia. Nitastaafu mwaka kesho na kurudi Tabora. Mabo hayo yalinikuta nigali kijana sana sasa hivi nahitaji malumziko

Hongera sana
 
Katika Jambo ambalo Nyerere alikosea ni Kuruhusu mambo ya kipuuzi kama haya pia Yatokee kwa watoto zake lakini pia Hakufanya jitihada za wazi kuwainua watoto zake kabisaa.. leo hii mtoto wa mwinyi anakuwa Rais wa nyerere hata Ubunge anakosaa...!! Legacy ya Urais aliondoka nayo mwenyewe watoto zake hawakufaidika hata kiodgo na potential ya baba yao mpaka Inafikia kipindi Lectures wanamdico mtoto wa Rais[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nasema wangetafuta kazi ya Kufanyaa maza fakazzz tena sio tanzania idiots kabisaa... uprofesa ushuzi huko huko kwao.
Nyie ndio mnao iharibu nchi kwa sasa,
 
..UDSM inachukua cream of the cream ya wanafunzi wa Tz.

..Faculty of Law wanachukua cream ya wanafunzi wa HGL, KLF, etc.

..Faculty of Commerce wanachukua the best of the best ya wanafunzi waliochukua EGM, ECA, na Diploma ya CBE.

..Faculty of Engineering wanachukua cream ya PCM, PGM, na best students toke Technical College/ FTC.

..Faculty of Medicine wanachukua cream of the cream ya wanafunzi wa PCB, na Medical Assistant.

..Sasa kwanini failure rates za Medicine na Engineering zinakuwa ziko juu kulinganisha na za faculty kama Law, Commerce, wakati waliofanikiwa kufika UDSM ni cream of the cream kutoka high schools na vyuo vya kati?

..Kuna mchangiaji amesema mwaka 1982 Faculty of Medicine ilipokea wanafunzi 50, lakini 26 hawakufanikiwa kumaliza. Binafsi sina kumbukumbu ya wanafunzi wengi kiasi hicho kushindwa kumaliza masomo ktk Faculty kama Commerce, Law, na Arts.

..Wanafunzi wengi wa UDSM wa faculty kama Commerce hufurahia masomo yao ya chuo kikuu, wakati wale wa Engineering, na Medicine, hulalamika wakati wote kuhusu hofu waliyonayo.

..Je, tatizo liko kwa wanafunzi wetu wanaochukua PCB,na PCM, au tatizo ni course work ya faculty za Eng na Med, au tatizo ni wahadhiri?

cc Zakumi, Mazindu Msambule
Kufeli kwa mwanafunzi inatafsiri, uwezo wa mwalimu kufundisha; wanafunzi wengi kufeli inamaana mwalimu alikuwa haeleweki, au hana uwezo wa kufundisha.
Mwalimu mzuri anafundisha vizuri, na somo linaeleweka na wanafunzi watafaulu.
Ifikie hatua sasa, mwalimu anayefelisha wanafunzi wengi, akapangiwe kazi nyingine kwa sababu anachofundisha hakieleweki.​
 
Back
Top Bottom