Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Nafikiri labda anaona ni njia moja ya kumdhibiti pengine ziko sababu nyengineWakati wa utumwa ulikuwepo? Jibu swali, yani mzungu au kanisa lenu litakapotoa historia nanyi mnaipokea kama ilivyo bila kufanya utafiti wowote hahaaaaa, nyie watu hatari sana
Tena huyo lukuvi, sijui mama anakwama wapi kumpa nafasi tena