BURIANI Sultan Jamshid BIN Abdulla BIN Khalifa (1926 - 2024)

BURIANI Sultan Jamshid BIN Abdulla BIN Khalifa (1926 - 2024)

Wakati wa utumwa ulikuwepo? Jibu swali, yani mzungu au kanisa lenu litakapotoa historia nanyi mnaipokea kama ilivyo bila kufanya utafiti wowote hahaaaaa, nyie watu hatari sana

Tena huyo lukuvi, sijui mama anakwama wapi kumpa nafasi tena
Nafikiri labda anaona ni njia moja ya kumdhibiti pengine ziko sababu nyengine
 
Pia jaribu kufikiri vyema hapa mada ni usultani wa zanzibar na sultanate..
Na hiko kitabu ni cha kanisa na siasa za tanzania bara..
Wapi na wapi?!

Soma swali ulilouliza huko juu , mbona unasahau mapema au jibu limekugusa ndipo

Inside10 said:
Lengo la kanisa ktk nini?!
 
Back
Top Bottom