Buriani

Buriani

Ngoja nijichagulie wimbo kabisa, kama ikitokea nimewatoka mnipigie wimbo wa kamanda wa daz nundaz na parapanda.
Wosia uheshimowe.
... unazikwa na manispaa ndugu tena wakiwa ndani ya full combat! Hao ndio watakupigia nyimbo? Hata majeneza sidhani ni wote wanazikwa ndani ya majeneza kwa wale wanaozikwa kwenye majeneza! Hata sanda hawavalishwi Mkuu.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]wewe lazima mjeshi .!...yaan ninanenepa coz sina heka heka dah kifo kama nakiona kilee[emoji6][emoji6]!nyama mbuzi zipo? Maana mie napenda mbuzi jaman
[emoji2] [emoji3] , hizo zipo za kutosha huku ondoa hofu kabisa.

Kuna rafiki yangu alikuwa mnene lakini nimeonana nae juzi kapungua bile byahatari namuuliza alikuwa gerezani au kaumwa anasema eti mawazo ya corona....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... unazikwa na manispaa ndugu tena wakiwa ndani ya full combat! Hao ndio watakupigia nyimbo? Hata majeneza sidhani ni wote wanazikwa ndani ya majeneza kwa wale wanaozikwa kwenye majeneza! Hata sanda hawavalishwi Mkuu.
Daah, kama ni hivyo ngoja nianze kuzisikiliza sasa hivi angalau nifaidi kidogo.
 
jamaa walituonya mkawaita 'mabeberu' na sasa yanatokea ingawa bado 'tunaficha uchi' wetu, time will tell....
 
[emoji2] [emoji3] , hizo zipo za kutosha huku ondoa hofu kabisa.

Kuna rafiki yangu alikuwa mnene lakini nimeonana nae juzi kapungua bile byahatari namuuliza alikuwa gerezani au kaumwa anasema eti mawazo ya corona....!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hhahahhaa....mie nimejikuta nimerudi kwenye comfort zone...nakula tu sina wala hata presha! Sipend hii hali kbs yaan! Niko relaxd sana...sina heka heka...uwiii...!Mungu atuondolee huyu mdudu jamani turudi kwenye maisha yetu
 
Nchi yetu sasa inaanza kupitia kipindi kigumu sana kama ilivyotabiriwa na wale tulioitwa waleta taharuki. Hakika ni kipindi cha buriani. Kwa tuliofuatilia kwa kina tabia za gonjwa la korona tunajua masaa 24-48 ni mengi mno na hayatabiriki kabisa.

Hivyo, hiki ndicho kipindi kigumu cha kupeana buriani na wenzetu ilhali tuna na wana pumzi. Buriani ni muhimu kutolewa hata kabla ya wakati maana hatuijui siku wala saa kirusi kitapotujia ama kuwajia wapendwa wetu hapa, pale, na kule.

Makelele tumeyapiga sana. Ushauri tumeutoa usiku kucha. Nafasi ya kudhibiti mlipuko huu bado ipo ila ni finyu mno.

Buriani Wana-JF. Kwaheri ya kuonana jukwaa pendwa la jamii. Tusipoonana tena basi tuonane upande wa pili.

View attachment 1434030

1. Daniel Welwel:http://udadisi.org/2020/04/covid-19-reminder-it-is-not-14th-century.html…
2. Ronald Ndesanjo: http://udadisi.org/2020/04/covid-19-trapped-between-epidemiology.html…
3. Zuhura Yunus: http://udadisi.org/2020/04/coronavirus-and-my-journey-between.html…
4. Jasper Kido: http://udadisi.org/2020/04/scapegoat.html…
5. Zahara Tunda: http://udadisi.org/2020/04/are-you-okay-covid-19-vs-mental-health.html…
6. Dennis Konga: http://udadisi.org/2020/04/where-is-home-covid-19-is-exposing-us.html
7. Mary Fadei: http://udadisi.org/2020/04/in-their-shoes-urban-women-vendors.html…
8. Victoria Lihiru: http://udadisi.org/2020/04/2020-elections-in-tanzania-amid-of.html…
9. Mishy Singano: http://udadisi.org/2020/04/defeating-coronavirus-in-africa-it-is.html…
10. Richard Mabala: http://udadisi.org/2020/04/my-pulpit.html…
11. Muhidin Shangwe: http://udadisi.org/2020/03/the-lockdown-monotony.html
12. Muhidin Shangwe: http://udadisi.org/2020/03/the-young-and-senseless.html…
13. Chambi Chachage: http://udadisi.org/2020/03/is-social-distancing-and-flattening.html…
14. Mishy Singano: http://udadisi.org/2020/03/corona-virus-time-for-africas-reality.html…
15. Jasper Kido: http://udadisi.org/2020/03/corona-and-evangelism.html…
16. Muhanyi Nkoronko: http://udadisi.org/2020/03/dhibiti-taharuki-udhibiti-mlipuko-wa.html
17. Jasper Kido: http://udadisi.org/2020/03/corona-na-umma-wa-tanzania.html…
18. Joakim Ishengoma http://udadisi.org/2020/03/punguzamlipuko-wa-virusi-vya.html…
19. Ashura Kayupayupa: http://udadisi.org/2020/04/how-corona-separated-my-child-from-me.html…
20. Jacqueline Mgumia: http://udadisi.org/2020/03/dhibitimlipuko-dhana-ya-kupunguza.html?q=mgumia…
21. Shameem and Saleem: http://udadisi.org/2020/03/life-in-self-quarantine-tale-of-two.html
22. Isaack Mdindile: Salaam kutoka Brazil: Shajara ya Karantini ya Korona
23. Zuhura Yunus: Niyaonayo Uingereza Ninapoikumbuka Tanzania
24. Isaack Mdindile: http://www.udadisi.org/2020/04/ukistaajabu-ya-tanzania-utayaona-ya.html

View attachment 1434031


MKuu hili lipo wazi,
Kwasasa TZ sote ni marehamu watarajiwa.
Tuombeane tu!
 
Juzi kuna mzigo niliupeleka kariakoo. Kuna jamaa nikakuta wanabishana wanasema kuwa korona imeisha Tanzania na wana uhakika kabisa. Wanasema watu wengi wameshapona.
Nikapita zangu. Nilipofika mnazimmoja bara bara imefungwa nasikia kuna mtu kadondoka

Yaani Kariakoo ni worst place for now

Juzi kuna mzigo niliupeleka kariakoo. Kuna jamaa nikakuta wanabishana wanasema kuwa korona imeisha Tanzania na wana uhakika kabisa. Wanasema watu wengi wameshapona.
Nikapita zangu. Nilipofika mnazimmoja bara bara imefungwa nasikia kuna mtu kadondoka

Yaani Kariakoo ni worst place for now
Yeah, Kariakoo sio sehemu ya kujiachia. Ukifika pale hakikisha una njia zote za kujikinga na maambukizi.
 
Hata Mimi nampa hongera saana sababu nimefanikiwa kuacha vyote hivyo isipokua Papuchi pekee nimeshindwa.
 
Epukeni kushika karasi wanaoshika karasi sana wako hatarini wanasheria na waofisa ni kupokezana karatasi pesa pia japo mnazipenda kwa level ya maambukizi ilivyo pesa usishike
Mkuu kwa mujibu wa bank kuu ya Tanzania,pesa ya Tanzania haiwezi kusambaza kirusi cha corona,note yetu ni quality sana kirusi kikitua tu kinakufa
 
Back
Top Bottom