kwani Lemutuz ana Corona?Mbona li Lemutuz linadunda tu mtaani?
... unazikwa na manispaa ndugu tena wakiwa ndani ya full combat! Hao ndio watakupigia nyimbo? Hata majeneza sidhani ni wote wanazikwa ndani ya majeneza kwa wale wanaozikwa kwenye majeneza! Hata sanda hawavalishwi Mkuu.Ngoja nijichagulie wimbo kabisa, kama ikitokea nimewatoka mnipigie wimbo wa kamanda wa daz nundaz na parapanda.
Wosia uheshimowe.
Aaaah,
Ebu usife bhana, njoo kijijini Ubena Zomozi huku tujufiche.......!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji3] , hizo zipo za kutosha huku ondoa hofu kabisa.[emoji28][emoji28][emoji28]wewe lazima mjeshi .!...yaan ninanenepa coz sina heka heka dah kifo kama nakiona kilee[emoji6][emoji6]!nyama mbuzi zipo? Maana mie napenda mbuzi jaman
Daah, kama ni hivyo ngoja nianze kuzisikiliza sasa hivi angalau nifaidi kidogo.... unazikwa na manispaa ndugu tena wakiwa ndani ya full combat! Hao ndio watakupigia nyimbo? Hata majeneza sidhani ni wote wanazikwa ndani ya majeneza kwa wale wanaozikwa kwenye majeneza! Hata sanda hawavalishwi Mkuu.
[emoji2] [emoji3] , hizo zipo za kutosha huku ondoa hofu kabisa.
Kuna rafiki yangu alikuwa mnene lakini nimeonana nae juzi kapungua bile byahatari namuuliza alikuwa gerezani au kaumwa anasema eti mawazo ya corona....!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi wazungu hawaoshi mikono?Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Nchi yetu sasa inaanza kupitia kipindi kigumu sana kama ilivyotabiriwa na wale tulioitwa waleta taharuki. Hakika ni kipindi cha buriani. Kwa tuliofuatilia kwa kina tabia za gonjwa la korona tunajua masaa 24-48 ni mengi mno na hayatabiriki kabisa.
Hivyo, hiki ndicho kipindi kigumu cha kupeana buriani na wenzetu ilhali tuna na wana pumzi. Buriani ni muhimu kutolewa hata kabla ya wakati maana hatuijui siku wala saa kirusi kitapotujia ama kuwajia wapendwa wetu hapa, pale, na kule.
Makelele tumeyapiga sana. Ushauri tumeutoa usiku kucha. Nafasi ya kudhibiti mlipuko huu bado ipo ila ni finyu mno.
Buriani Wana-JF. Kwaheri ya kuonana jukwaa pendwa la jamii. Tusipoonana tena basi tuonane upande wa pili.
View attachment 1434030
1. Daniel Welwel:http://udadisi.org/2020/04/covid-19-reminder-it-is-not-14th-century.html…
2. Ronald Ndesanjo: http://udadisi.org/2020/04/covid-19-trapped-between-epidemiology.html…
3. Zuhura Yunus: http://udadisi.org/2020/04/coronavirus-and-my-journey-between.html…
4. Jasper Kido: http://udadisi.org/2020/04/scapegoat.html…
5. Zahara Tunda: http://udadisi.org/2020/04/are-you-okay-covid-19-vs-mental-health.html…
6. Dennis Konga: http://udadisi.org/2020/04/where-is-home-covid-19-is-exposing-us.html
7. Mary Fadei: http://udadisi.org/2020/04/in-their-shoes-urban-women-vendors.html…
8. Victoria Lihiru: http://udadisi.org/2020/04/2020-elections-in-tanzania-amid-of.html…
9. Mishy Singano: http://udadisi.org/2020/04/defeating-coronavirus-in-africa-it-is.html…
10. Richard Mabala: http://udadisi.org/2020/04/my-pulpit.html…
11. Muhidin Shangwe: http://udadisi.org/2020/03/the-lockdown-monotony.html
12. Muhidin Shangwe: http://udadisi.org/2020/03/the-young-and-senseless.html…
13. Chambi Chachage: http://udadisi.org/2020/03/is-social-distancing-and-flattening.html…
14. Mishy Singano: http://udadisi.org/2020/03/corona-virus-time-for-africas-reality.html…
15. Jasper Kido: http://udadisi.org/2020/03/corona-and-evangelism.html…
16. Muhanyi Nkoronko: http://udadisi.org/2020/03/dhibiti-taharuki-udhibiti-mlipuko-wa.html
17. Jasper Kido: http://udadisi.org/2020/03/corona-na-umma-wa-tanzania.html…
18. Joakim Ishengoma http://udadisi.org/2020/03/punguzamlipuko-wa-virusi-vya.html…
19. Ashura Kayupayupa: http://udadisi.org/2020/04/how-corona-separated-my-child-from-me.html…
20. Jacqueline Mgumia: http://udadisi.org/2020/03/dhibitimlipuko-dhana-ya-kupunguza.html?q=mgumia…
21. Shameem and Saleem: http://udadisi.org/2020/03/life-in-self-quarantine-tale-of-two.html
22. Isaack Mdindile: Salaam kutoka Brazil: Shajara ya Karantini ya Korona
23. Zuhura Yunus: Niyaonayo Uingereza Ninapoikumbuka Tanzania
24. Isaack Mdindile: http://www.udadisi.org/2020/04/ukistaajabu-ya-tanzania-utayaona-ya.html
View attachment 1434031
Yeah, Kariakoo sio sehemu ya kujiachia. Ukifika pale hakikisha una njia zote za kujikinga na maambukizi.Juzi kuna mzigo niliupeleka kariakoo. Kuna jamaa nikakuta wanabishana wanasema kuwa korona imeisha Tanzania na wana uhakika kabisa. Wanasema watu wengi wameshapona.
Nikapita zangu. Nilipofika mnazimmoja bara bara imefungwa nasikia kuna mtu kadondoka
Yaani Kariakoo ni worst place for now
Juzi kuna mzigo niliupeleka kariakoo. Kuna jamaa nikakuta wanabishana wanasema kuwa korona imeisha Tanzania na wana uhakika kabisa. Wanasema watu wengi wameshapona.
Nikapita zangu. Nilipofika mnazimmoja bara bara imefungwa nasikia kuna mtu kadondoka
Yaani Kariakoo ni worst place for now
Ni kweli Rchard Ndasa is no more?Duh...!.
P
wembamba wanakufa piaHii kitu, ukiwa mzee, afya yenye mgogoro au mnene, uwezo wa kupona ni mdogo sana. Ukishapata ARDS tuu, ndo imetoka, organ zote muhimu zinakosa oxygen, yanabaki masaa tuu.
Kwa niaba yako nampa hongera sababu nimefanikiwa kuacha vyote isipokua papuchiDuh! Mungu akufanyie wepesi ufikie mafanikio makubwa! Ujasiri wa kuacha papuchi ni wa kuigwa! Hongera Sana Mdau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa mujibu wa bank kuu ya Tanzania,pesa ya Tanzania haiwezi kusambaza kirusi cha corona,note yetu ni quality sana kirusi kikitua tu kinakufaEpukeni kushika karasi wanaoshika karasi sana wako hatarini wanasheria na waofisa ni kupokezana karatasi pesa pia japo mnazipenda kwa level ya maambukizi ilivyo pesa usishike