Burkina Faso: Rais wa zamani, Blaise Compaore afungwa maisha kwa mauaji ya Mtangulizi wake, Thomas Sankara

Burkina Faso: Rais wa zamani, Blaise Compaore afungwa maisha kwa mauaji ya Mtangulizi wake, Thomas Sankara

Muhimu kuondoa kinga kwa viongozi wote na kuwahukumu viongozi kwa vitendo vyao vinavyovunja na kukiuka sheria wakiwa madarakani iwe mfano kwa wengine.

Tuondoe kinga kwenye katiba mpya.

Bravo Burkina Faso.
Hakuna haja ya kuondoa kinga.

Tukiingia tu kwa nguvu ya umma tayari wote watakuwa marehemu.

Wasifikiri hatuna akili.

Qmammae zao.

Utawala wa kifalme tumechoka
 
Hakuna haja ya kuondoa kinga.

Tukiingia tu kwa nguvu ya umma tayari wote watakuwa marehemu.

Wasifikiri hatuna akili.

Utawala wa kifalme tumechoka

Huu uhuni wao una mwisho, hauko mbali sana. Watu wa kutosha (critical mass) wakiamka na kuweka maslahi ya Taifa mbele, Taifa hili litasimama tena.
 
Sasa mbona yeye yuko Europe na familia yake wanakula bata?

Mtu kaua na wala hajawahi kuwa na msala wowowote ule[emoji849][emoji849] where is karma?
 
Sasa mbona yeye yuko Europe na familia yake wanakula bata?

Mtu kaua na wala hajawahi kuwa na msala wote[emoji849][emoji849] where is karma?
Wala hayupo Europe Huyo,alikimbia hapo Ivory cost mwaka 2014 baada ya kupinduliwa kwa maandamano ya wananchi wake,ndipo alipo mpaka sasa,huyu ni wa kuviziwa anyakuliwe chap,au aliwe kichwa nayeye
 
Wala hayupo Europe Huyo,alikimbia hapo Ivory cost mwaka 2014 baada ya kupinduliwa kwa maandamano ya wananchi wake,ndipo alipo mpaka sasa,huyu ni wa kuviziwa anyakuliwe chap,au aliwe kichwa nayeye
Ila inauma kumuua rafiki yako kisa tamaa ya Madaraka[emoji848]
 
Back
Top Bottom