Hakuna haja ya kuondoa kinga.Muhimu kuondoa kinga kwa viongozi wote na kuwahukumu viongozi kwa vitendo vyao vinavyovunja na kukiuka sheria wakiwa madarakani iwe mfano kwa wengine.
Tuondoe kinga kwenye katiba mpya.
Bravo Burkina Faso.
Uhuni tena?Muda utafika, tunasubiri. Muhimu kila mtu alipwe mshahara wake kadri ya matendo yake.
Hii itakuwa hatua muhimu kukomesha uhuni.
Uhuni tena?
Hakuna haja ya kuondoa kinga.
Tukiingia tu kwa nguvu ya umma tayari wote watakuwa marehemu.
Wasifikiri hatuna akili.
Utawala wa kifalme tumechoka
Tushirikishe mkuuKuna kitu nilikuwa nawaza.... Au basi.
Namuona mzee Mugabe paleeeMahakama ya kijeshi nchini Burkina Faso imemhukumu rais wa zamani Blaise Compaoré kifungo cha maisha jela kwa mauaji ya mtangulizi wake Thomas Sankara .
Source :AljazeeraView attachment 2178016
Yataishia kwenye karatasi tuu hayo..Putin mauaji ya bucha hayatamwacha salama.
Wala hayupo Europe Huyo,alikimbia hapo Ivory cost mwaka 2014 baada ya kupinduliwa kwa maandamano ya wananchi wake,ndipo alipo mpaka sasa,huyu ni wa kuviziwa anyakuliwe chap,au aliwe kichwa nayeyeSasa mbona yeye yuko Europe na familia yake wanakula bata?
Mtu kaua na wala hajawahi kuwa na msala wote[emoji849][emoji849] where is karma?
Ila inauma kumuua rafiki yako kisa tamaa ya Madaraka[emoji848]Wala hayupo Europe Huyo,alikimbia hapo Ivory cost mwaka 2014 baada ya kupinduliwa kwa maandamano ya wananchi wake,ndipo alipo mpaka sasa,huyu ni wa kuviziwa anyakuliwe chap,au aliwe kichwa nayeye
Nimekuelewa vyema.Kuna kitu nilikuwa nawaza.... Au basi.
Jamaa alikosa utu kabisaIla inauma kumuua rafiki yako kisa tamaa ya Madaraka[emoji848]
Nadhani ilitakiwa apewe adhabu kubwa mno zaidi ya hii!Mahakama ya kijeshi nchini Burkina Faso imemhukumu rais wa zamani Blaise Compaoré kifungo cha maisha jela kwa mauaji ya mtangulizi wake Thomas Sankara .
Source :AljazeeraView attachment 2178016