Serikali ya Burkinabe imefuta rasmi Vyama na Mashirika yote ya Kisiasa nchini humo Mamlaka ikisema uamuzi huo ni hatua kuu katika ujenzi wa Serikali, ndani ya mfumo wa mpito unaoendelea tangu Mapinduzi ya 2022.
Baraza la Mawaziri la Burkina Faso limebainisha kuwa kuenea kwa Vyama vya Siasa, vinakuza mgawanyiko kati ya raia na kudhoofisha mfumo wa kijamii.
Shughuli za Vyama vya Siasa tayari zilikuwa zimesitishwa tangu Septemba 2022, kufuatia kuingia madarakani kwa Kapteni Ibrahim Traoré baada ya Mapinduzi yaliyompindua Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba.
Akiwasilisha amri hiyo mwishoni mwa Baraza la Mawaziri, Waziri wa Utawala, Émile Zerbo, pia alitangaza kupitishwa kwa Muswada wa kufuta makubaliano yanayosimamia uendeshaji na ufadhili wa Vyama vya Siasa.
==
Burkina Faso's military-led government dissolved all political parties and groupings Thursday, saying the move was necessary to preserve national unity and reform political governance.
The decree, adopted during a weekly Cabinet meeting presided over by President Ibrahim Traore, also calls for the assets of the dissolved parties to be transferred to the state. A draft law to repeal texts governing party financing and operations has also been prepared for legislative approval.
Minister of Territorial Administration Emile Zerbo said the decision followed a deep analysis of the partisan system.
"This great and important decision is part of the refoundation of the state and follows a deep diagnosis of the partisan system which revealed numerous deviations in the application of the legal regime of political parties and groupings in our country," Zerbo said.
He added that the related draft laws will be sent to the military government-appointed Transitional Legislative Assembly "as soon as possible."
The government said the proliferation of political parties had fostered division among citizens and weakened the social fabric.
Authorities said the dissolution aims to "preserve national unity, strengthen the coherence of government action, and pave the way for a reform of the political governance model."
Burkina Faso has been under military rule since a coup led by Traore in September 2022, the second that year. The country is grappling with a severe security crisis fueled by insurgents linked to al-Qaeda and ISIS (Daesh).
The transitional government has repeatedly postponed elections, initially promised for July 2024, citing the instability. Political party activities had been largely suspended since the coup, though not formally banned until now.
Source: www.aa.com.tr
Miyeyusho kweli, ndio maana tuna hili jinamizi la kijani ambalo halitaki kuachilia madaraka japo ufanisi halina.Watu wanaosema lengo lao kuu ni kushika madaraka, ujue wakiyapata basi lengo lao kuu litakuwa kubaki madarakani. Siasa za demokrasia ya vyama vingi ni miyeyusho.
Tulisema siku nyingi Traore ni dikteta, ila washabiki hawataki kusikia.Huyo jamaa ni dicteta uchawara tu
Huyu jamaa ni suala la muda tu atakuwa Idd aminiSerikali ya Burkinabe imefuta rasmi Vyama na Mashirika yote ya Kisiasa nchini humo Mamlaka ikisema uamuzi huo ni hatua kuu katika ujenzi wa Serikali, ndani ya mfumo wa mpito unaoendelea tangu Mapinduzi ya 2022.
Baraza la Mawaziri la Burkina Faso limebainisha kuwa kuenea kwa Vyama vya Siasa, vinakuza mgawanyiko kati ya raia na kudhoofisha mfumo wa kijamii.
Shughuli za Vyama vya Siasa tayari zilikuwa zimesitishwa tangu Septemba 2022, kufuatia kuingia madarakani kwa Kapteni Ibrahim Traoré baada ya Mapinduzi yaliyompindua Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba.
Akiwasilisha amri hiyo mwishoni mwa Baraza la Mawaziri, Waziri wa Utawala, Émile Zerbo, pia alitangaza kupitishwa kwa Muswada wa kufuta makubaliano yanayosimamia uendeshaji na ufadhili wa Vyama vya Siasa.
==
Burkina Faso's military-led government dissolved all political parties and groupings Thursday, saying the move was necessary to preserve national unity and reform political governance.
The decree, adopted during a weekly Cabinet meeting presided over by President Ibrahim Traore, also calls for the assets of the dissolved parties to be transferred to the state. A draft law to repeal texts governing party financing and operations has also been prepared for legislative approval.
Minister of Territorial Administration Emile Zerbo said the decision followed a deep analysis of the partisan system.
"This great and important decision is part of the refoundation of the state and follows a deep diagnosis of the partisan system which revealed numerous deviations in the application of the legal regime of political parties and groupings in our country," Zerbo said.
He added that the related draft laws will be sent to the military government-appointed Transitional Legislative Assembly "as soon as possible."
The government said the proliferation of political parties had fostered division among citizens and weakened the social fabric.
Authorities said the dissolution aims to "preserve national unity, strengthen the coherence of government action, and pave the way for a reform of the political governance model."
Burkina Faso has been under military rule since a coup led by Traore in September 2022, the second that year. The country is grappling with a severe security crisis fueled by insurgents linked to al-Qaeda and ISIS (Daesh).
The transitional government has repeatedly postponed elections, initially promised for July 2024, citing the instability. Political party activities had been largely suspended since the coup, though not formally banned until now.
Source: www.aa.com.tr
Serikali ya Burkinabe imefuta rasmi Vyama na Mashirika yote ya Kisiasa nchini humo Mamlaka ikisema uamuzi huo ni hatua kuu katika ujenzi wa Serikali, ndani ya mfumo wa mpito unaoendelea tangu Mapinduzi ya 2022.
Baraza la Mawaziri la Burkina Faso limebainisha kuwa kuenea kwa Vyama vya Siasa, vinakuza mgawanyiko kati ya raia na kudhoofisha mfumo wa kijamii.
Shughuli za Vyama vya Siasa tayari zilikuwa zimesitishwa tangu Septemba 2022, kufuatia kuingia madarakani kwa Kapteni Ibrahim Traoré baada ya Mapinduzi yaliyompindua Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba.
Akiwasilisha amri hiyo mwishoni mwa Baraza la Mawaziri, Waziri wa Utawala, Émile Zerbo, pia alitangaza kupitishwa kwa Muswada wa kufuta makubaliano yanayosimamia uendeshaji na ufadhili wa Vyama vya Siasa.
==
Burkina Faso's military-led government dissolved all political parties and groupings Thursday, saying the move was necessary to preserve national unity and reform political governance.
The decree, adopted during a weekly Cabinet meeting presided over by President Ibrahim Traore, also calls for the assets of the dissolved parties to be transferred to the state. A draft law to repeal texts governing party financing and operations has also been prepared for legislative approval.
Minister of Territorial Administration Emile Zerbo said the decision followed a deep analysis of the partisan system.
"This great and important decision is part of the refoundation of the state and follows a deep diagnosis of the partisan system which revealed numerous deviations in the application of the legal regime of political parties and groupings in our country," Zerbo said.
He added that the related draft laws will be sent to the military government-appointed Transitional Legislative Assembly "as soon as possible."
The government said the proliferation of political parties had fostered division among citizens and weakened the social fabric.
Authorities said the dissolution aims to "preserve national unity, strengthen the coherence of government action, and pave the way for a reform of the political governance model."
Burkina Faso has been under military rule since a coup led by Traore in September 2022, the second that year. The country is grappling with a severe security crisis fueled by insurgents linked to al-Qaeda and ISIS (Daesh).
The transitional government has repeatedly postponed elections, initially promised for July 2024, citing the instability. Political party activities had been largely suspended since the coup, though not formally banned until now.
Source: www.aa.com.tr
Huku Jamvini wadau wanamuita 'Mwana-majumui wa Africa wa kizazi kipya'.Tulisema siku nyingi Traore ni dikteta, ila washabiki hawataki kusikia.
Africa kama imechanganyikiwa
Tena anaweza kuwa wale madikiteta wajinga wajinga.Tulisema siku nyingi Traore ni dikteta, ila washabiki hawataki kusikia.
Kama vyama vyenyewe ni kama vile 19 vya Tz? Bora vifutwe tuSerikali ya Burkinabe imefuta rasmi Vyama na Mashirika yote ya Kisiasa nchini humo Mamlaka ikisema uamuzi huo ni hatua kuu katika ujenzi wa Serikali, ndani ya mfumo wa mpito unaoendelea tangu Mapinduzi ya 2022.
Baraza la Mawaziri la Burkina Faso limebainisha kuwa kuenea kwa Vyama vya Siasa, vinakuza mgawanyiko kati ya raia na kudhoofisha mfumo wa kijamii.
Shughuli za Vyama vya Siasa tayari zilikuwa zimesitishwa tangu Septemba 2022, kufuatia kuingia madarakani kwa Kapteni Ibrahim Traoré baada ya Mapinduzi yaliyompindua Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba.
Akiwasilisha amri hiyo mwishoni mwa Baraza la Mawaziri, Waziri wa Utawala, Émile Zerbo, pia alitangaza kupitishwa kwa Muswada wa kufuta makubaliano yanayosimamia uendeshaji na ufadhili wa Vyama vya Siasa.
==
Burkina Faso's military-led government dissolved all political parties and groupings Thursday, saying the move was necessary to preserve national unity and reform political governance.
The decree, adopted during a weekly Cabinet meeting presided over by President Ibrahim Traore, also calls for the assets of the dissolved parties to be transferred to the state. A draft law to repeal texts governing party financing and operations has also been prepared for legislative approval.
Minister of Territorial Administration Emile Zerbo said the decision followed a deep analysis of the partisan system.
"This great and important decision is part of the refoundation of the state and follows a deep diagnosis of the partisan system which revealed numerous deviations in the application of the legal regime of political parties and groupings in our country," Zerbo said.
He added that the related draft laws will be sent to the military government-appointed Transitional Legislative Assembly "as soon as possible."
The government said the proliferation of political parties had fostered division among citizens and weakened the social fabric.
Authorities said the dissolution aims to "preserve national unity, strengthen the coherence of government action, and pave the way for a reform of the political governance model."
Burkina Faso has been under military rule since a coup led by Traore in September 2022, the second that year. The country is grappling with a severe security crisis fueled by insurgents linked to al-Qaeda and ISIS (Daesh).
The transitional government has repeatedly postponed elections, initially promised for July 2024, citing the instability. Political party activities had been largely suspended since the coup, though not formally banned until now.
Source: www.aa.com.tr
Hivyo vyama 17 vya Tz ni project ya CCMKama vyama vyenyewe ni kama vile 19 vya Tz? Bora vifutwe tu
Ndio maana nasema havina maana kuwepoHivyo vyama 17 vya Tz ni project ya CCM