ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Vyama vya siasa kwa nchi za kiafrika ni kama barabara za uchochoroni, magendo, wizi nk vyote hupitishwa huko, in a way namuelewa.Huyo jamaa ni dicteta uchawara tu
Vyama vya siasa kwa nchi za kiafrika ni kama barabara za uchochoroni, magendo, wizi nk vyote hupitishwa huko, in a way namuelewa.Huyo jamaa ni dicteta uchawara tu
Kwanini mvifute, acha watu waongee wananchi wataamua,muhimu weka sheria kuzuia vyama au kampeni based on udini, ukabila etcKama vyama vyenyewe ni kama vile 19 vya Tz? Bora vifutwe tu
Teh teh 😃 😃 umenikumbusha uchaguzi wa mwaka 2020, Kuna kipindi hivi vyama vilimuadhibu Lissu kwa kufungia kampeni zake kwa wiki moja..(Sikumbuki vizuri vilikuwa chini ya mwavuli wa kamati ya maadili au kitu gani).Hivyo vyama 17 vya Tz ni project ya CCM