ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,787 Reaction score 131,638 Feb 1, 2026 #21 min -me said: Huyo jamaa ni dicteta uchawara tu Click to expand... Vyama vya siasa kwa nchi za kiafrika ni kama barabara za uchochoroni, magendo, wizi nk vyote hupitishwa huko, in a way namuelewa.
min -me said: Huyo jamaa ni dicteta uchawara tu Click to expand... Vyama vya siasa kwa nchi za kiafrika ni kama barabara za uchochoroni, magendo, wizi nk vyote hupitishwa huko, in a way namuelewa.
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 8,048 Reaction score 15,651 Feb 1, 2026 #22 Bush Dokta said: Kama vyama vyenyewe ni kama vile 19 vya Tz? Bora vifutwe tu Click to expand... Kwanini mvifute, acha watu waongee wananchi wataamua,muhimu weka sheria kuzuia vyama au kampeni based on udini, ukabila etc
Bush Dokta said: Kama vyama vyenyewe ni kama vile 19 vya Tz? Bora vifutwe tu Click to expand... Kwanini mvifute, acha watu waongee wananchi wataamua,muhimu weka sheria kuzuia vyama au kampeni based on udini, ukabila etc
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 37,333 Reaction score 50,241 Feb 1, 2026 #23 Yoda said: Hivyo vyama 17 vya Tz ni project ya CCM Click to expand... Teh teh π π umenikumbusha uchaguzi wa mwaka 2020, Kuna kipindi hivi vyama vilimuadhibu Lissu kwa kufungia kampeni zake kwa wiki moja..(Sikumbuki vizuri vilikuwa chini ya mwavuli wa kamati ya maadili au kitu gani). Teh teh π π π hii nchi ina vituko aisee.
Yoda said: Hivyo vyama 17 vya Tz ni project ya CCM Click to expand... Teh teh π π umenikumbusha uchaguzi wa mwaka 2020, Kuna kipindi hivi vyama vilimuadhibu Lissu kwa kufungia kampeni zake kwa wiki moja..(Sikumbuki vizuri vilikuwa chini ya mwavuli wa kamati ya maadili au kitu gani). Teh teh π π π hii nchi ina vituko aisee.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Feb 10, 2026 #24 Watajuta na kukoma kuzaliwa? Laana ya Afrika mpaka kesho kutwa! Attachments 20260210_174929.jpg 208.9 KB · Views: 11
Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 4,951 Reaction score 19,766 Feb 10, 2026 #25 Hueleweki mada yako inatakaje