Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
makocha wetu wanafanya sub za kujiham kwa kujaza mabeki timu mbovu kama hii🚮🚮Hawa walitakiwa wawe wamechapwa hata 5 mpaka sasa. Hawana team kabisa. Ni kama wamekusanywa kusanywa mtaani wakaletwa waje wacheze.
Very disorganized hawajielewi kabisa. Hamna team hapo.
Acha mambo yako.Kwa hiyo wangeifinfa Stars ndiyo wangekuwa Bora?Hawa walitakiwa wawe wamechapwa hata 5 mpaka sasa. Hawana team kabisa. Ni kama wamekusanywa kusanywa mtaani wakaletwa waje wacheze.
Very disorganized hawajielewi kabisa. Hamna team hapo.
Hata stars wangecheza 7 wangeshinda Burkinafaso hawana teamAcha mambo yako.Kwa hiyo wangeifinfa Stars ndiyo wangekuwa Bora?
Hata stars wangecheza 7 wangeshinda Burkinafaso hawana team. Wamekusanywa tu watu wakaenda kuchezaAcha mambo yako.Kwa hiyo wangeifinfa Stars ndiyo wangekuwa Bora?
Hata KMC wanashindaHii Burkinafaso hata wakipewa game wacheze na Azam wanafungwa. Hakuna timu pale.
Ko we unataka tusishinde au?
Mtoto wa kiume unaandika Ko ?Ko we unataka tusishinde au?
Kisa Mzize hajafungaHatimaye Taifa Stars wamepiga bomu mochwari. Kwa kweli ninawapongeza. Kama wataendelea kurusha mabomu kwenye mochwari zote watakazo kutana nazo, naamini watafuzu hatua inayofuata.
Hivi,huwa inakuwa bahati mbaya neno "ko" limejitype au huwa mtu anaandka kwa kudhamiria kabisa?Mtoto wa kiume unaandika Ko ?
Ushoga
Acha roho mbaya, kuwa mzalendo Kwa nchi yako. Hata Senegal alipigwa mbili, Uganda akapigwa moja, na Kenya akaingia mitini. Timu yetu NI nzuri, wanacheza kama Play station, tuipongeze tusiibeze. Hili tunabebaHawa walitakiwa wawe wamechapwa hata 5 mpaka sasa. Hawana team kabisa. Ni kama wamekusanywa kusanywa mtaani wakaletwa waje wacheze.
Very disorganized hawajielewi kabisa. Hamna team hapo.
Hii comment naipa 10/10Acha roho mbaya, kuwa mzalendo Kwa nchi yako. Hata Senegal alipigwa mbili, Uganda akapigwa moja, na Kenya akaingia mitini. Timu yetu NI nzuri, wanacheza kama Play station, tuipongeze tusiibeze. Hili tunabeba
Tangu lini uzalendo ukapatikana kwenye mpira tumia akili weweAcha roho mbaya, kuwa mzalendo Kwa nchi yako. Hata Senegal alipigwa mbili, Uganda akapigwa moja, na Kenya akaingia mitini. Timu yetu NI nzuri, wanacheza kama Play station, tuipongeze tusiibeze. Hili tunabeba
We Kweli zombi sasa Senegal na Uganda Wana ligi Gani ya kutishaHii comment naipa 10/10
Uganda na Senegal wamepasuka halafu mtu haamini mbukinabe kupasuliwa kweli?