Burkinafaso, Ni wabovu sana. Hawana team kwa kweli

Burkinafaso, Ni wabovu sana. Hawana team kwa kweli

Stars wamecheza vizuri, tumeona kupambana kwa kila mchezaji. Stars siyo timu mbovu kwenye haya mashindano kama unavyotuaminisha. Asilimia 70 ya hao wachezaji waliifunga Guinea, Zambia, tena haw Zambia huko kwao. Tujikubali hata kidogo.
 
Tanzania sasa hivi nayo ni Timu nzuri hao jamaa wa magharibi wanatusumbua sana kama Guinea wamekufa mara mbili na wana 9 inacheza Dortmund aisee..
 
Hawa walitakiwa wawe wamechapwa hata 5 mpaka sasa. Hawana team kabisa. Ni kama wamekusanywa kusanywa mtaani wakaletwa waje wacheze.

Very disorganized hawajielewi kabisa. Hamna team hapo.
Wakiwa wachovu we inakuuma nini?
 
We Kweli zombi sasa Senegal na Uganda Wana ligi Gani ya kutisha
Kumbe unakubali kuwa siku hz tuna ligi nzuri kushinda hao jamaa zako halafu unalopoka uhalo humu ndani mkuu.
Unapata wap nguvu ya kushobokea hayo mataifa mengine aisee?
 
Kumbe unakubali kuwa siku hz tuna ligi nzuri kushinda hao jamaa zako halafu unalopoka uhalo humu ndani mkuu.
Unapata wap nguvu ya kushobokea hayo mataifa mengine aisee?
Lini Senegal na Uganda au burkinafaso waliwahi kuwa na ligi nzuri unafuatilia mpira kweli hivi unaakili timamu kweli wewe
 
Hawa walitakiwa wawe wamechapwa hata 5 mpaka sasa. Hawana team kabisa. Ni kama wamekusanywa kusanywa mtaani wakaletwa waje wacheze.

Very disorganized hawajielewi kabisa. Hamna team hapo.
Ligi nyingi za Afrika Magharibi ni dhaifu sana kwa sasa, ningeshangaa sana Burkina Faso wangekua na wachezaji wa ndani wa kutupa upinzani.
 
Hawa walitakiwa wawe wamechapwa hata 5 mpaka sasa. Hawana team kabisa. Ni kama wamekusanywa kusanywa mtaani wakaletwa waje wacheze.

Very disorganized hawajielewi kabisa. Hamna team hapo.

Hatuna timu hapo, Ingelikua timu letu la akina hakimi tungejipigia hata goli 10😄
 
baada ya miaka miwili robo tatu ya wachezaji wa Burkinafaso wtakuwa ulaya, pamoja na kushindwa wamecheza mpira mzuri na pia wana wachezaji wenye vipaji.
 
Ni pale ambapo mtu anayeona anashangalia anaposhinda mbio kwa kushindana na vipofu...., nyie hii timu yenu ni Category A; wakati wenzako haya yaliyokuja ni Makapi hawa wote ambao ndio huwa wanacheza sasa hivi hawawezi kucheza

1754567072614.png
 
Back
Top Bottom