Burkinafaso wamejenga kiwanda cha kuzalisha sare za jeshi cha dola milioni 30

Burkinafaso wamejenga kiwanda cha kuzalisha sare za jeshi cha dola milioni 30

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Wameamua kuzalisha sare zao wenyewe kutoka kwenye pamba wanayolima wenyewe. Wanatarajia kuzalisha sare za majeshi na nguo za kiraia. Sasa hivi tutaona wanauza nje sare za kijeshi.

Wanapunguza import na kuongeza ajira nchini mwao. Kila la kheri kwao.

images - 2026-09-19T104226.541.jpeg
1788944528440.jpeg
images - 2026-09-19T104131.814.jpeg
 
Hayo maigizo yataisha tuu subiri mwaka upite hata pedali ya cherehani hutakuta kwenye hilo karakana lao. Waafrica tushazoea kuletewa kutengewa kutafuniwa labda wangeshona Kanga wajifunge viunoni wakakate mauno.
 
FB_IMG_17898155549662845.jpg

Moja ya viwanda vyetu vya mguu sio kokoto pekeake
Wazee wa 361 Luga Luga sare mnaokotea wapi ?
 
Back
Top Bottom