Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
WADANDANYIKA hatuwezi fikiria hivyo na masters na PhD!Wameamua kuzalisha sare zao wenyewe kutoka kwenye pamba wanayolima wenyewe. Wanatarajia kuzalisha sare za majeshi na nguo za kiraia. Sasa hivi tutaona wanauza nje sare za kijeshi.
Wanapunguza import na kuongeza ajira nchini mwao. Kila la kheri kwao.
View attachment 3673794View attachment 3673795View attachment 3673796
Vipo wamejenga viwanda vingi tu vya kufyatua matofali au huna habari?Tz tuna majeshi mengi sana, Hakuna sababu ya kukosa kiwanda.
10% inaturudisha sana nyuma.WADANDANYIKA hatuwezi fikiria hivyo na masters na PhD!
Sababu ni tender za wakuu wa majeshi?