Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

Hivi rayvan alishachukuaga hii tuzo kama upcoming artist BET nakumbuka, dai hii tuzo anaitamani nusu kufa lakini ndiyo hivyo alijichanganya kuingia kwenye siasa na kuchagua upande ule wa manjano
Tuzo ya Rayvann ilikuwa ni viewers choice..haina lolote hiyo tuzo..i.e hadhi ndogo

Hii ya International act ni kubwa
 
Tuzo zimefanyika mda gani nimeangalia insta ya Millard na BET Africa, mbona sijaona hiko kitu.
 
Kwani si alikua DISQUALIFIED?? Umesahau ile petition yenu?
 
Chuki inakutafunaaaaaa...maamake!
Adui yako yuko ndani yako mkuu kilabuendako na ufanyalo uko na adui yako. Utaisha
 
The best challenges the best...hajajiweka yeye hapo bali kawekwa na panel ya BET...
Wazee wa petition mnasaga meno tu
 
I hope haters wake watafanya sherehe… wakidhani pesa zake zinapubgua benki na anarudi Tandale [emoji3][emoji3]
Issue sio kusagiana kunguni Bali ni uhalisia Diamond bado kinda sana kwa wasanii kutoka Nigeria labda angekuwa anaimba kwa kiingereza au kihisipania labda angejulikana.
 
Hivi rayvan alishachukuaga hii tuzo kama upcoming artist BET nakumbuka, dai hii tuzo anaitamani nusu kufa lakini ndiyo hivyo alijichanganya kuingia kwenye siasa na kuchagua upande ule wa manjano
Pole sana Mond
 
Akose kabisa huyu zuzu..alimsifia Sana mwendazake-mshamba kwenye show yake ya kigoma..nakumbuka Kila baada ya wimbo mmoja alikuwa anaanza kumsifia alafu anamalizia kwa kumsifia bashite mteka watu..(show ilikuwa Ni kusifu na kuabudu) shenzy kabisa huyu kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…