Wasanii wote waliofanya kwenye show kwenye Arena wote walisindikizwa na wasanii,tana Burna boy alisindikizwa na msanii mkubwa wa Jamaica Steflon don ambaye yupo kwenye album hii ya juzi ya Dj Khaleed.
Wizkid show yake ya juzi kuna wasanii zaidi ya watano,Mondi wasanii watatu walimaindikiza kwenye show yake ya Columbus Germany.
Alafu jiulizeni kwa nini hizi record wanaziweka UK peke yake na si nchi nyingine?
Tatu Wanaijeria peke yao waliopo UK (zaidi ya 200000) wanaweza kujaza O2 arena (20000)
View attachment 1269392