Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Rayvanny ana tuzo ya BET, unataka kusemaje?

Rayvanny ni Mond? Choko wewe acha ushabiki kibua
Siku uyo vanny boy anafungasha virago vyake apo WCB tuzo anamuschia Mond au anasepa nayo?
Tuzo imeandikwa Jina la nani na Certificate imeandikwa jina la nani? Au aliyekua nominated katika tuzo iyo ni nani?

Idiot wewe ukipewa hifadhi kwenu na baba ako ukanunua gari yako kwa jina lako ni Mali ya baba ako?

Tuzo iyo Mondi haimuhusu bali yuko proud kuwa imekuja chini ya lebo yake kwake ni archievement

Tunataka tuzo na certificate yenye jina lake nothing More
 
Huko juu uliandika point, ila hapa ndo ulipo haribu na hatuna budi kukupuuza

Mondi ana nyimbo gani iliyoingia billboard ata top 200? Kwa siku tu ata moja au masaa 7 ?
REMA anayo unajingine la kuongea?
 
Siongelei pesa naongelea kupenya kwa mziki umeelewa REMA uyo chawa kaingiza nyimbo Billboard Baba ako Mond vp ameingiza nyimbo gani uko? Na si Mond tu ata Mfalme wenu na Mmakonde wameingiza lini nyimbo uko?
Tunaongelea tuzo kubwa duniani kama BET mondi anayo? Hakuna msanii aliyewai kuwa nominated Grammy kwenye Mambo ya Album for the first time Burna kawepo ata Davido hajawai Mond vp ashawai

Mwambie Mond wako na mfalme wenu waache kiki kama Burna kama hawajapotea
Ko na davido ni mdogo kwa Rema...?
 
Unaona ulivyo Punga sasa yani ushabiki unakupeleka pabaya ule ukumbi wa Columbiahalle pale german berlin angalia unacapacity ya watu wangapi kama si 3500 iyo elfu 20,000 imetoka wapi acha sifa brother usizani sisi atufatilii show izi za wasanii wetu naweza nkakwambia tu iyo show imefanyika septmber mwaka huu trh 6 kama sijakosea sasa ao watu 20,000 walikanyagana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asee mziki wetu unauliwa na ushabiki mandazi
View attachment 1269383
Punga mwenyewe bwege wewe
 
Kwani one mic,one man =kahama alipiga na nani..?

Hii show ilifanyika kahama au ilifanyika Europe?
Jibu ni hapana ata kina davido uko kwao wanapiga show kama izi na wanajaza utitiri ingia youtube search show zake za africa utaona

Tunataka afanye Europe tuone akijaza ao watu 20,000
 
Ko na davido ni mdogo kwa Rema...?

Davido kasha ingiza nyimbo nyingi tu billboard na zikadumu kwa majuma mengi tu naisi nimekupa jibu so Davido kafanya vitu mara 2 mpka 3 ambavyo REMA ajafanya ila REMA kafanya vitu vichache ambavyo Mond kwenye Game hajafanya mpka sasa kimojawapo ni icho nlicho kutajia
 
Davido kasha ingiza nyimbo nyingi tu billboard na zikadumu kwa majuma mengi tu naisi nimekupa jibu so Davido kafanya vitu mara 2 mpka 3 ambavyo REMA ajafanya ila REMA kafanya vitu vichache ambavyo Mond kwenye Game hajafanya mpka sasa kimojawapo ni icho nlicho kutajia
Ahaaaaaaah bogus sana wewe hakuna kama diamond ,hallelujah imeshaingia na pia diamomd kafanya mambo mengi ambayo davido na huyo rema wako hawajafanya na hawatokuja kufanya ko DIAMOND & WCB BABA LAO NA YAKO NA YENU,OK DOGO KALALE SASA NIMEKUPA FACT.
 
Hii show ilifanyika kahama au ilifanyika Europe?
Jibu ni hapana ata kina davido uko kwao wanapiga show kama izi na wanajaza utitiri ingia youtube search show zake za africa utaona

Tunataka afanye Europe tuone akijaza ao watu 20,000
Ahaaaaaaah kweli shule ni muhimu sana maana hauelewi,ko unajua kama diamond kajaza sana ulaya na nje ya nchi ko unataka kunambia nini..?
 
Columbia halle Berlin inachukuwa watu 3500 tena wanasimama...Burma boy kapiga show O2 Arena 20,000 capacity sold out..Wiz kid sold out mara mbili na Davido mara moja
Ahaaaaah kigezo cha hao watu kusimama ujue nyomi lilikuwa sio poa ko acha ushamba dogo.
 
Ahaaaaaaah bogus sana wewe hakuna kama diamond ,hallelujah imeshaingia na pia diamomd kafanya mambo mengi ambayo davido na huyo rema wako hawajafanya na hawatokuja kufanya ko DIAMOND & WCB BABA LAO NA YAKO NA YENU,OK DOGO KALALE SASA NIMEKUPA FACT.

We choko inaonekana unakaa kwa shemeji unalala sebuleni unacho jua ni ku praise tu atakama Mond akinya wewe nikusifia tu Matako kabisa ivi kumbe nlikua sijui kama wewe ni mtoto wa 2000 asee ngoja niache kukujibu maan unaongea uharo tu kila kitu wewe Mond kafanya unaongea upumbavu hauna fact weka bandiko hapa lini , saa ngapi mwaka gani iyo nyimbo iliingia uko
Nyimbo yenyewe imepigwa ban uko Youtube
 
Ahaaaaaaah kweli shule ni muhimu sana maana hauelewi,ko unajua kama diamond kajaza sana ulaya na nje ya nchi ko unataka kunambia nini..?

Kajaza vipub vya ulaya uko na vikumbi vya kawaida vyenye watu 100-3000
Ila wenzake wa nigeria wanajaza 10,000 mpka kuendelea uko

Afu ungese uache kumlinganisha Madomo wako na Davido ajamfikia kwa lolote lile sio kwa mkwanja , nyimbo zilizo hit mpk show

Na uyo ndo role model wake umesahau alikopy “Eneka” baada ya davido kutoa nyimbo?

Je nani anamkopy mwenzake au nani alimtambulisha mwenzake international ?
 
Ni juzi tu ametoka kuorodheshwa katika tuzo za Grammys 2020 akiwa na album yake ya AfricanGiant.

Kwa sasa anafanya vizuri sana. Namzungumzia Burna Boy kutokea pande za Nigeria. Ngoma zake zinaenda sana.

Je Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa? Au tusubiri.
oluwa bona ni fire
 
Brother kwa era hii Burna ni habari nyingine asee hivi unajua wiki kama mbili zilizopita kaweka rekodi yake ya kujaza Arena huko Uingereza?

Mafanikio ya msanii sio kwenye views, followers na skendo, fuatilia historia ya Burnaboy jamaa alikuepo kitambo tu sema hakuwai wika kiivyo nliwai soma documentary flan wanasema jamaa alianza imba ana 10 yrz na 19 yrz alikuwa anaendesha Range.

Huyu jamaa ana management ya kipekee kwanza mama yake ndio msimamizi wa kazi zake na show kwa ujumla, wanakwambia hata matumizi ya simu kwa jamaa wanacontrol na Management na simu yake wamemuachia Whatsapp tu. Angalia katika account ya Jamaa vitu anavyopost kama sio show na picha za akiwa anatumbuiza au yuko katika harakati za kwenda tumbuiza, kwangu Mimi Burna ni Mkali sana kuliko hata hao kina Davido wanaotumia nguvu nyingi kupambana just imagine jamaa kaja na style yake na kapenya simple tu

The cover artist is exposed
 
Burna kumlinganisha na wakina Wiz na Obo ni kuwakosea heshima hao jamaa,sema kuchaguliwa grammy na matuzo ya hapa na pale kusifanye muwakosee heshima Star boy na Davido....narudia tena sio vyema kuwalinganisha Wiz,Obo Vs Burna,he is too small to them.
Unasema?
mkuu kaangalie record za burna boy
 
Vanessa mdee kwenye interview na millard kasema nyimbo za burnaboy zinapigwa marekani kuliko za davido na wizkid kuanzia radio stations, clubs hadi kwenye malls hapo inakuaje hapo
Hasa ule wimbo wake Wa YE hadi Rihanna alishawahi kurecord anaimbwa kwenye inatastory yake.
Btw burna aimbe nyimbo zote mimi naikubali zaidi "ANYBODY" naupenda mno Nasikitika show yake ni ya garama sana kwangu vinginevyo ningeenda Kesho
 
Kwa maoni yangu Burna Boy namwelewa sana kwenye content ya nyimbo zake na live performance anazofanya.

Pia ni mda wake sasa kama ilivyokuwa kwa Wizkid na Davido ingawa wanafanya vizuri pia.
 
Back
Top Bottom