Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Kwani diamond ujui ndo mtanzania wa kwanza na mwafrika kuijaza arena ya ujerumani inayoingiza zaidi ya watu 20,000 mbona hatusemi au unatuona mazuzu sasa unataka tena reality gani..?DIAMOND IS FAR BETTER THAN BURNABOY ebooooooh
Columbia halle Berlin inachukuwa watu 3500 tena wanasimama...Burma boy kapiga show O2 Arena 20,000 capacity sold out..Wiz kid sold out mara mbili na Davido mara moja
 
Hicho ulichoweka ndio Jibu la swali nililokuuliza kuhusu Kauli yako ya diamond kujaza ukumbi wa watu 20,000??


Hivi watanzania tuna nini vichwani ?? Mbona akili zinaturuka ?? Unaelewa maana ya SOLD OUT ?? Nimekwambia weka show ambayo Diamond kajaza ukumbi wa watu 2000 huna jibu ...


Hapo juu nimekuonesha Burna kwa mwaka huu kajaza 4 arenas... Peke yake ... Hizo Ni shows zake ...


Unakuja kutuletea show za One Africa ambazo hualika wasanii kutoka Africa unasema Diamond kajaza na show kuwa SOLD OUT...



KINGINE USICHOJUA HUYO STEFLON DON NI DEM WA BURNA BOY , usishangae kuonekana sehemu kadhaa alipo jamaa.
 
Columbia halle Berlin inachukuwa watu 3500 tena wanasimama...Burma boy kapiga show O2 Arena 20,000 capacity sold out..Wiz kid sold out mara mbili na Davido mara moja
Achana na Huyo mtu asiejua anachoandika.. ukute mtu unapotezea muda wako kubishana na mtoto wa form two.
 
Mkuu kuhusu kusindikizwa kwenye Show/Tour ni kawaida. Hata Chris Brown kwenye One Hell of Night tour. Alikuwa mpaka na Wizkid kule Denmark,Ujerumani.


Future pia aliifunga 02Arena Alikuwa na wasanii wenzake walio msindikiza kama Wizkid,Steflon Don n.k


Tour ya Taylor Swift Kina Camilla Cabello,Ed Sheeran wanakuwepogi Hilo jambo la kawaida.



Mara ya Kwanza Wizkid anakanyaga 02 Arena ilikuwa Show ya Timie Tempa mwaka 2014. BarnaBoy Anakanyaga Arena 02 Ni juzi kwenye StarBoyfest ya Wizkid.


Kwenda kufanya Show na Wasanii wenzako kukusindikiza ni kawaida..
 
Watanzania mna vichwa vigumu Sana ... Ulichoandika na alichopresent jamaa Ni two different things..


Hakuna sehemu kasema Rema anamzidi Diamond ila wewe umekuja kuweka logic zako zisizo na maana ...
[emoji23]huyo diamond wako amepitwa na chipukizi Kama rema. We umeelewaje hapo??
 
Sehemu gani nimesema Mondi amejaza Arena ya watu 20000.

Najua Steflon ana date na Burna Boy,ila nimekukatalia uliposema One Man show,hata hao akina beyonce ,Drake,Kendrick wana sindikizwa na wasanii kwenye tour zao.

Steflon Don ana fan base kubwa Europe,US na nchi Caribbean ana collabo na wasanii wakubwa wa US,profile lake ni kubwa kuliko Burnaboy.

Alafu huwezi fananisha msanii kutoka kusini mwa jangwa la Sahara na Nigeria ambao Wanaija pekee yao wanaweza wakajaza viwanja vitatu kwa mpigo vya mpira (OT,Emirates,Anifield).

Nimekuuliza hivi kwa nini show za UK ndio wanajaza sana kuliko nchi nyingine?Hujanijibu.
 
Ulitaka ajaze Dar live ?? what the hell are you talking???


Nimekuwekea hii snap inaonesha achievements za Burna 2019..Soma hizo arena halafu uje uniambie Kama zote ziko uk ???


Unashangaa Burna Kujaza Uk??? Kasome history yake .. Jamaa kakaa Sana UK....



Hiyo ya Wanaijeria kuwa wengi Ni Point dhaifu Sana kijana.... Unadhani yeye ndio mnaijeria wa kwanza kupiga show UK .. Mbona wakina runtow au Psquare hawafanyi hivyo
 
Kuna jamaa hapo nime mjibu alisema Burna boy alipiga show peke yake,nimemshangaa alafu mnafanya kosa kufananisha Naija na TZ.

Wanaijeria wametupita kila kitu kuanzia mshikamano na upendo waliokuwa nao wasanii,number of Diaspora walio nje ya Nigeria,Decision maker kwenye hivi vyombo vya MTV,Trace,BET ndio maana ukiangalia playlist wana tawala wao.

Naija Diaspora wanao wengi UK pekee wapo zaidi ya laki mbili.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hapo ndo unaweza shinda lkn kabebwa tu kisa junk hana lolote jipya.
Kwa Akili zako za kipa katoka unadhani Billboard Ni sawa na Chat za Top Ten ya Magic FM
 
Huo ukumbi hata Olamide anaweza jaza kwangu mm msanii wa Nigeria kujaza hizo Arena UK ni kitu cha kawaida.

Kwa achievement alizopata mwaka huu anastahili kwani mwaka jana alifanya vizuri.

Namjua Burna Boy yule wa Yawa Dey 2013 mpaka wa hivi sasa wa On the low,namjua vizuri sana ,labda kama ww umemjua sasa hivi.

Point dhaifu kwa mtizamo wako,lkn number hazidanganyi.
 
Sawa Hongera.. Kumbe Naua Mende Kwa Ak-47 ...
 

Sasa uyu steflon nenda angalia ana followerz wangapi alafu atakuja kenge hapa anamfananisha na Mond kisa tu mond ana followez wengi
 
Vanessa mdee kwenye interview na millard kasema nyimbo za burnaboy zinapigwa marekani kuliko za davido na wizkid kuanzia radio stations, clubs hadi kwenye malls hapo inakuaje hapo
Kwa sasa chochote atakachosema huyo binti mtakizoa kama kilivyo na kukiamini. Hata akiwa playlist ya Trump imejaa nyimbo za Burna boy na umbugira wenu mtakubali.
 
Rayvanny ana tuzo ya BET, unataka kusemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…