Burudani: Tundu Lissu akisakata rhumba kufurahia ushindi wa Mwabukusi

Hakika furaha haijifichi. Baada ya kunfanyia endorsement Wakili Mwabukusi kuwa Rais wa TLS na hatimaye kushinda uchaguzi huo, furaha ya Mwanasheria nguli nchini na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu haikufichika.

Hapa anasakata lumba kama kawaida. Mcheki!

View attachment 3060390
Li Etwege likiona hii video linamaind kichizi nakubaki kung'aka mbona hatujapelekwa miGA.

Jamaa nyau kabisa
 
Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Ccm mmejaa uchawi uchawi tu
 
Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Chuki, hasira na kisirani hawa ndio maadui zako!

Chunga sana. Jilinde nao otherwise watakupeleka kaburini kabla ya muda wako mzee chiembe!

Hee🥺🥺🥺
Yaani wewe, mshikaji anacheza na kufurahia kivyake kule halafu wewe huku unatokota na kuwaka hasira, why????

Hee🥺🥺🥺, mbona unashangaza sana ndugu chiembe? Au una shida ya saikolojia ya akili usaidiwe?
 
CHADEMA hongera sana kwa hatua hii! Mmeonesha nguvu kubwa ya kisiasa na kiweledi, kuwa CDM ni chama cha wasomi, CCM ni chama cha wajinga.
Ni kweli kabisa CHADEMA ni chama cha wasomi na CCM ni cha wajinga ila msije kulalamikia nguvu ya wajinga kwenye sanduku la kura mwaka 2025. Endeleeni na hizo dharau ila tukutane kwenye chaguzi.
 
Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Huu ndo ushindi pekee wa CHADEMA. Tutawaburuza kwenye serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
 
Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Hii ni fikra mbovu kabisa
 
Mwambie chura kiziwi ajipange
 
Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Tundu ni wakili pia
 
Walipata kibali cha kupiga mziki huo, maana wanaleta usumbufu usiku kwa majirani na ni kosa sana hilo, tena RPC wa Dodoma inabidi aliangalie hili, maana tulisikia kelele za muziki usiku sana, kumbe ndio hawa wanapiga muziki bila kibali
 
Uko sahihi sana, maaana wivu na hila ndio nguzo zenu kuu za maisha. Mnaruhusiwa kukwamisha lolote maana hilo tunalitegemea, kwani mkifanya kinyume na hivyo mtatushangaza sana.
 
Walipata kibali cha kupiga mziki huo, maana wanaleta usumbufu usiku kwa majirani na ni kosa sana hilo, tena RPC wa Dodoma inabidi aliangalie hili, maana tulisikia kelele za muziki usiku sana, kumbe ndio hawa wanapiga muziki bila kibali
Sio RPC wa Dodoma tu, mnaweza kumuagiza hata IGP afuatilie kabisa.
 
Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Hauwezi kugombea jambo ukiwa peke yako bila watu nyuma yako, CCM wamekwisha andaa chawa, viroboto na yale madudu ya Arusha ndiyo sababu CCM inategemea Chadema ipate viongozi huku hayo magarasa yamekaa tu yakikodoa macho kama mjijusi iliyobanwa na mlango.
 
Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema

Chadema ni wakenya?
 
Back
Top Bottom