Burudani: Tundu Lissu akisakata rhumba kufurahia ushindi wa Mwabukusi

Burudani: Tundu Lissu akisakata rhumba kufurahia ushindi wa Mwabukusi

Hii ni ishara tosha kwamba sasa TLS ni tawi la chadema, na lazima wakisema jambo lolote, tujue wametumwa na chadema, linatakiwa lichukuliwe kisiasa, na kujibiwa kisiasa, na ikibidi kukwamisha chochote kitakacholetwa na TLS kwa kuwa ni mdomo wa chadema
Wa kupimwa akili wewe..!!

The Tanganyika Law Society (TLS) is the Bar association of Tanzania Mainland, founded in 1954 by an Act of Parliament โ€“ the Tanganyika Law Society Ordinance 1954.

Hiyo act of parliament ndiyo CHADEMA?
 
Madhara yapo Mkuu.

Kila kitu Chini ya jua kina madhara...

Hata kumtandika Mkeo Kila Siku 3 tatu Kuna madhara, wajuvi wa mambo wanasema inafaa uende mbili tu ama kamoja ๐Ÿ˜œ
Kumbe sisi wa kimoja chali tupo sahihi sana kiafya ๐Ÿ˜‚
 
Hakika furaha haijifichi. Baada ya kumfanyia endorsement Wakili Mwabukusi kuwa Rais wa TLS na hatimaye kushinda uchaguzi huo, furaha ya Mwanasheria nguli nchini na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu haikufichika.

Hapa anasakata lumba kama kawaida. Mcheki!


Pia soma:Boniface Mwabukusi ashinda kesi dhidi ya Tanganyika Law Society. Ruksa kugombea Urais wa Chama hicho
Hata ningekuwa mm ningesakata rhumba tena sana tu. Mwabukusi ni mtu na nusu.
 
Wakati BINGWA Lissu akilisakata rumba kwa furaha upande wa pili CCM inatembea na kale ka clip alikosema "CDM si mama yangu"

Ndiyo wanafikiri katawatoa mlisi.
 
๐ŸŽถ๐ŸŽต๐ŸŽน๐ŸŽน๐ŸŽบ๐ŸŽป๐Ÿช˜๐Ÿช‡๐Ÿฅ๐ŸŽผ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚umenikumbusha mbali mno.
Hahaha............ umekumbuka kuruka Majoka??

Those were days ๐Ÿ™Œ
 
Back
Top Bottom