Burudani: Tundu Lissu akisakata rhumba kufurahia ushindi wa Mwabukusi

Wa kupimwa akili wewe..!!

The Tanganyika Law Society (TLS) is the Bar association of Tanzania Mainland, founded in 1954 by an Act of Parliament – the Tanganyika Law Society Ordinance 1954.

Hiyo act of parliament ndiyo CHADEMA?
 
Burudani ya mapafu kivipi kwani haina madhara?
Madhara yapo Mkuu.

Kila kitu Chini ya jua kina madhara...

Hata kumtandika Mkeo Kila Siku 3 tatu Kuna madhara, wajuvi wa mambo wanasema inafaa uende mbili tu ama kamoja 😜
 
Madhara yapo Mkuu.

Kila kitu Chini ya jua kina madhara...

Hata kumtandika Mkeo Kila Siku 3 tatu Kuna madhara, wajuvi wa mambo wanasema inafaa uende mbili tu ama kamoja 😜
Kumbe sisi wa kimoja chali tupo sahihi sana kiafya πŸ˜‚
 
Hata ningekuwa mm ningesakata rhumba tena sana tu. Mwabukusi ni mtu na nusu.
 
Wakati BINGWA Lissu akilisakata rumba kwa furaha upande wa pili CCM inatembea na kale ka clip alikosema "CDM si mama yangu"

Ndiyo wanafikiri katawatoa mlisi.
 
🎢🎡🎹🎹🎺🎻πŸͺ˜πŸͺ‡πŸ₯πŸŽΌπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚umenikumbusha mbali mno.
Hahaha............ umekumbuka kuruka Majoka??

Those were days πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…