Burudani ya soka bila EPL

Kila nikitazama mechi za nje huko ulaya Huwa najiuliza kipi kinatufanya tutambiane eti Simba na Yanga wakati mpira wanaocheza ni duni kabisa.

Mechi ya Athletic Bilbao na Atletico Madrid ilikuwa ya kasi sana. That's real football 💪
Hata mimi huwa najiuliza. Hivi hao jamaa wanafanya sana mazoezi mana mwanzo mwisho wachezaji wanakimbia uwanjani! Mpira wa Ulaya una ushindani mkali sana!
 
Jana Azam walionyesha mechi ya Aston villa na Leicester city saa kumi na Moja jioni sasa sijui hii imekaaje?
 
Ni kweli. Yaani kama wikendi ya jana wamerusha mpaka kupitia UTV, palikuwa pamechangamka haswa. Wao waongeze channel na wajitahidi waoneshe EPL hapo watakuwa wamemaliza kazi.
Azam kila Jumamosi kwenye Chanell ya UTV huwa wanaonyesha Live mechi moja ya EPL
 
Hata Pelle hajawahi kutokea na mpira unaendelea kama kawaida.
Pale wengi wamwcheza style zake inshu n mtu mwenye uwezo km wa messi
Hata pele hawezi fanya hiki alichofanya messi. Anapigwa buti akiwa juu ila ajabu hajadondoka
 

Attachments

  • 1724494187755_1724494187758.mp4
    354 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…