MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Hapana. Itavamiwa na RED-TABARA. Ujue Bujumbura ilipo ni kama km 30 tu kutoka ilipo RED TABARABurundi kuna siku itavamiwa na M23 kwa mgongo wa rwanda.Historia inajirudia
Banyamurenge wanalao jambo bado kigoma na kagera.Tz haiwezi kubali Burundi ianguke ever
Sio kwamba tuache wanyukane???
Wanavyonyoshana kidogo...Sio kwamba tuache wanyukane???
Kwanini wameludi Rusizi, Kwanini wasinge zuia kutokea uvira ?Big up Raisi Ndiyashimiwe, Dug in hapo bondeni Rusizi mahandaki mazito layer after layer ya mahandaki pana na mines na anti tank mines fanya kama mpaka wa Korea kusini na kaskazini.
Lakini usiwaonee hao wakimbizi masikini unaowaweka bila chakula wala maji ya kunywa.
Burundi itaangukaje wakati hao waasi hawazidi 4000 na wamejitanua sana. Burundi ilinde tu mpaka wake na Kongo.Tz haiwezi kubali Burundi ianguke ever
Just imagine jeshi la Watu wasiozidi 10000 wanachukua maneno kiulaini.Burundi itaangukaje wakati hao waasi hawazidi 4000 na wamejitanua sana.
Very true. Kuna jambo linatafutwa na Rwanda ambalo TISS wanapaswa kuamka. Kuna harusi nyingi sana ambazo serikali ya Kigali inagharamikia. Kuna mbili zinafanyika Moshi mwezi wa 3 na 6 mwaka huu. Zinaandaliwa na Rwanda Kwa jina la wabongo.Banyamurenge wanalao jambo bado kigoma na kagera.
Ninachoogopa ni kwamba hii vita ikiingia Burundi inaweza kutrigger machafuko ya kikabila na hata Genocide kwahiyo Jeshi la Burundi likae hapo mpakani na yeyote anayetaka kuingia ndani Burundi litoe Dozi nzito.Just imagine jeshi la Watu wasiozidi 10000 wanachukua maneno kiulaini.
Hatuhitaji ukombozi kutoka kwa M23, matatizo yao yabaki huko huko Kongo walikoamua kutumia mtutu kudai haki zao,sisi hapa tutatumia maandamano na mbinu nyingine za kidemokrasia.M23 wananifurahisha sana.nawatakia ushindi mwema na wakimaliza wake na Tanzania kuwashughulikia Hawa ccm
Sasa hivi ndo imekuwa full blown east African conflict, ambaye hayumo ni Kenya na hao wagonjwa wawili South Sudan na Somalia 😆😆DRC iko vitani; Rwanda vitani, Uganda vitani, Burundi vitani! Maziwa makuu pamechafukwa sio siri tena. Nchi inatakiwa kuwa macho kweli kweli hamkani sio shwari.
Haya ngoja tuone jumiya yetu pendwa EAC itachukua hatua gani dhidi ya mtifuano huu. Otherwise, it is irrelevant.