Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Shindwaa kabisa 😒M23 wananifurahisha sana.nawatakia ushindi mwema na wakimaliza wake na Tanzania kuwashughulikia Hawa ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shindwaa kabisa 😒M23 wananifurahisha sana.nawatakia ushindi mwema na wakimaliza wake na Tanzania kuwashughulikia Hawa ccm
Very sad indeed!Sasa hivi ndo umekuwa full blown east African conflict, ambaye hayumo ni Kenya na hao wagonjwa wawili South Sudan na Somalia 😆😆
Burundi wamejaribu ku counter ilo ila wameshindwa ivyo hawana budi kurudi nyumbani kusubiri kitachojiriNinachoogopa ni kwamba hii vita ikiingia Burundi inaweza kutrigger machafuko ya kikabila na hata Genocide kwahiyo Jeshi la Burundi likae hapo mpakani na yeyote anayetaka kuingia ndani Burundi litoe Dozi nzito.
Wewe ni interlahamwe?Banyamurenge wanalao jambo bado kigoma na kagera.
Burundi ilideploy Askari wangapi na silaha kiasi gani huko Kongo? Lazima wale best soldiers watakuwa wako Burundi na silaha nzito bado ziko Buja.Burundi wamejaribu ku counter ilo ila wameshindwa ivyo hawana budi kurudi nyumbani kusubiri kitachojiri
MmmhSio kwamba tuache wanyukane???
Ukiambiwa gari inatumia mafuta unajua kila mtu ni mzungu.Hata kusoma ujui au wewe ni huyu kijana mzeeWewe ni interlahamwe?
Sleeper agents?Very true. Kuna jambo linatafutwa na Rwanda ambalo TISS wanapaswa kuamka. Kuna harusi nyingi sana ambazo serikali ya Kigali inagharamikia. Kuna mbili zinafanyika Moshi mwezi wa 3 na 6 mwaka huu. Zinaandaliwa na Rwanda Kwa jina la wabongo.
Mara ya mwisho nilisikia mji mkuu umehamishwa toka burundiHapana. Itavamiwa na RED-TABARA. Ujue Bujumbura ilipo ni kama km 30 tu kutoka ilipo RED TABARA
Mkuu usimkemee maana kama ndivyo atamanivyo hata asiposema ila yeye ndo anawaz hivo.Shindwaa kabisa 😒
I concur with youSleeper agents?
Ni kama Dar na Dodoma. Bujumbura ni mji wa biashara, Gitega ni makao makuu ya serikaliMara ya mwisho nilisikia mji mkuu umehamishwa toka burundi
Hili Ni kweli. Historia mbaya mno ile ya 1994; tumwombe Mungu aepushe lisitokee/lisijirudie.Burundi kuna siku itavamiwa na M23 kwa mgongo wa rwanda.Historia inajirudia
Asante. Kumbe nilikuwa silijui hilo.Ni kama Dar na Dodoma. Bujumbura ni mji wa biashara, Gitega ni makao makuu ya serikali
m23 walisema wao ni wakongo , sasa Burundi wanafuata nin?Wewe ni interlahamwe?
Sahihi. Mifano hai ipo. Mbongo mwenye kumiliki silaha ndogo( Bastola tu) hata mwondoko na lugha hubadilika. Anaingia nayo bar utadhani hiyo ni "opener"."wape Waafrika bunduki uone watakavyo anza kuuana wenyewe kwa wenyewe "Botha
Rejea kipindi wakimbizi wa Burundi walipokimbilia Congo DRC kwa usalama wao kwa kupokelewa na wenzao(kabila lao) wazawa wa huko Congo DRC mashariki. Wameshakuwa tayari wametulia lakini ile Trauma ya mauaji ya kimbari; hilo zimwi halijawaacha (Ulipaji Kisasi).m23 walisema wao ni wakongo , sasa Burundi wanafuata nin?